Yawezekana Tanzania ikawa ya MwiSho kukombolewa, hata Burundi watatutangulia

Hii sauti ni dalili tayari jamaa wameshinda na hakuna kitachotokea!
 
Si uhamie Burundi tu unayoitamani. Yaani kweli wewe unadai ni mtu mzima, leo hii unaona Burundi ni bora kuliko Tz?? You have gone to low
 
You can kill a man, but you can not kill an idea.
 
Huko kote wanawekwa watu wasio na elimu na waliotoka maisha duni. Watu kama hawa hawana namna mbali na juitikia ndio mzee. Hata Samia aliwekwa kwenye umakamu wa rais kwa sababu alikuwa kilaza. Anajua kabisa akifukuzwa kazi anaenda kuuza vileja kizimkazi.
 
Sio wa kuwategema, kama JWTZ kumeisha ingia upuuzi kwa kina Nkunda na Kina Gaguti kutetea udhalimi. Hii nchi imejifia.
Basi wasihamasishe vijana waandamane ili wauawe!!kama wao wamefika bei kwanini wawatoe mhanga watoto wa wenzao!!?

Waache mara moja mpango wa iuhamasisha maandamano!!
 
Pole pole katolewa sadaka ya kuteketezwa Ili kuhalalisha jambo jingine kijasusi!!Sasa nadhani kumepatikana sababu kuu ya kimedani ya kuhalalisha jambo jingine!!

Huwa Nina mashaka sana na washauri wa mama kwenye maswala haya!!

Unamuuaje Humphrey kizembe vile!!?yaani mtu kama Humphrey ni asset isiyopaswa kufa!kwanini usim spin tu somewhere hasta ikulu pale na kumpa KAZI ya kutembea na Samiah kwenye kampeni!!?yaani KAZI yake iwe kama ya kasim majaliwa alivyolazimishwa kushiriki kampeni za mama bila kupenda!!

Huwa Wana feli sana!!
 
Kweli kabisaaaa
 
Kwenda huko!! Kaandamane wewe mwenyewe unafikiri vijana wote ni nyumbu kama wewe!!?
 
Ila jamaa na yeye hakujua hio michezo? aliwaamini hao watu kiasi gani? kwenye harakati kama hizo inakuwaje unaamini mtu 100%?

Kwenye haya masuala ya kuaminiana kuna kitu tunasema 'trust chain' , mimi nakuamini wewe, na wewe unamuamini yule, na yule anamuamini rafiki yake... hio chain inakwenda hivyo na kuendelea.

Ukimpa taarifa huyo mtu, kesho taarifa imefika kwa watu wengi sana, na kila mmoja anasema usimwambie mtu.

Hivi kwa uelewa wa Polepole, elimu yake, maisha aliyoishi, exposure katika masuala ya kiusalama maana ukiwa balozi unakuwa na uelewa mkubwa wa masuala ya kiusalama na pengine balozi/embassy hutumika kama mahala pa kupanga masuala ya kijasusi , ina maana hakujua taratibu za kiusalama za kufuata? kuanzia usalama wa taarifa binafsi, uaminifu na mipango bora? na isitoshe jamaa alikuwepo na ukaribu sana na vongozi wakubwa serikali ya awamu ya 5 hivyo anafahamu mambo mengi sana.

Dah! inatafakarisha sana..
 
Captain tesha nadhani anajua!ilikuaje baada TU ya yeye kuongea elimination ikafanyika!!?
 
Captain tesha nadhani anajua!ilikuaje baada TU ya yeye kuongea elimination ikafanyika!!?
Anyway siku moja itafahamika nini kilitokea...
Lakini nina asilimia nyingi walitofautiana katika mawazo ikapelekea kusalitiana.
Wengine walitaka iwe hivi, wengine wakasema hapana inapaswa kuwa vile..
 
Anyway siku moja itafahamika nini kilitokea...
Lakini nina asilimia nyingi walitofautiana katika mawazo ikapelekea kusalitiana.
Wengine walitaka iwe hivi, wengine wakasema hapana inapaswa kuwa vile..
"Head of the mission till 2027" nilisoma mahali,ikanifanya nitafakari,inamaana Brother HP ndio angesimamia mageuzi Hadi 2027 ndio uchaguzi ufanyike!!?

Kama ccm mtanadao wsligundua na kumtega kupitia captain Ili ajitokeze wamle kichwa,Ina maana wameharibu mpango mzima au majasusi Wana plan B!!?

Tusubiri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…