Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 53,857
- 121,995
Mkuu Jidu, kuna kitu sii watu wengi wanakijua kuhusu, kitu kinachoitwa "colour therapy", watu wanachagua kitu fulani kutokana na rangi zake!.Wrong and wishful thinking!
Ni kosa kubwa ku politicise michezo.
Ikitoka michezo itaingia dini.
Mwalimu aliwahi kusema huko ni kufilisika kisiasa.
Amini usiamini kuna watu wanaipenda timu fulani kutokana tuu na jezi yake!. Mimi nilimpenda sana Pele, hivyo nikaipenda timu ya Brazil, enzi zile za jezi yao ya stripes nyeusi na nyeupe.
Kwenye UK Premier League, nikajikuta nimeipenda New Castle kwasababu tuu ya jezi!.
Bendera zote zenye rangi nyekundu ni rangi ya damu, watu wenye allergy ya damu, wakiona tuu kitu chenye nyekundu, wanakichukia!. Hivyo amini usiamini kuna watu wanaipenda Yanga kutokana na jezi yake, na kuna watu, wanakipenda kile "Chakijani" kutokana na rangi zake!. Subiria tarehe 28 October, uone nani ataibuka mshindi kati ya Chakijani, na chenye rangi ya damu damu!.
https://www.google.com/url?sa=t&sou...Vaw3NF_WZEf1JJBr5l-KI6rEZ&cshid=1598850233224
P