Yemen: Tutageuza Bahari Nyekundu kuwa kaburi la muungano unaoongozwa na Marekani iwapo wutaamua kuchukua hatua yoyote dhidi ya Yemen

Kama hana nuclear, bado wanamstahi tu, wakiamua kumfuta wanamfuta.

Japan alijifanya kuwa anapigania upande wa Mfalme Mungu-Mtu Hirohito.

Kapigwa nuclear mbili tu, kafyata mkia mpaka leo.

Watu wanaheshimu sheria za kimataifa tu na kutaka ku preserve amani, kwa vita ya mbwai mbwai Yemen atalia tu.
 
God bless Yemen
 
The Yemenis are so badass man… The US Eisenhower Aircraft Carrier is at 70miles distance from Djibouti and Yemeni speedboats continue their patrol & warning off ships in the same area.

Yemen fought against American military equipment for 9 years, they aren’t scared of anything.
 

Attachments

  • IMG_8336.jpeg
    47.9 KB · Views: 3
Kitu kingine kigumu kwa Yemen kuna makundi mawili moja lipo na US na Saudia, UK, hao waasi wapo na Iran na Urusi. Sasa hilo bomu watalipiga wapi?
 

View:
Allahu%20Akbar%20Kabeer%20!
 
Kwa hiyo hizo sheria za kimataifa mpalestina hazimusu? Na kwa nini kila penye mgogoro duniani marekani ana mkono wake,, soon mzani utakaa sawa duniani mrusi kawafungua watu macho kule Ukraine
Biden amawambia MuIsrael aheshimu sheria za kimataifa. Ila Wamarekani na Waisraeli wana ushkaji wa historia ndefu kwa hiyo hawezi kumgeuka mazima.



The White House
The White House
MENU
TO SEARCH THIS SITE, ENTER A SEARCH OCTOBER 29 2023

Readout of President Biden’s Call with Prime Minister Netanyahu of Israel​

  1. HOME
  2. BRIEFING ROOM
  3. STATEMENTS AND RELEASES
President Joseph R. Biden, Jr. spoke this morning with Prime Minister Benjamin Netanyahu of Israel.

The leaders discussed developments in Gaza. The President reiterated that Israel has every right and responsibility to defend its citizens from terrorism and underscored the need to do so in a manner consistent with international humanitarian law that prioritizes the protection of civilians. The President and Prime Minister discussed ongoing efforts to locate and secure the release of hostages, to include American citizens who remain unaccounted for and may be held by Hamas.

The President underscored the need to immediately and significantly increase the flow of humanitarian assistance to meet the needs of civilians in Gaza. The President and the Prime Minister agreed to remain in regular consultation both directly and through their respective national security teams.
 
Hao Waarabu labda kwenye vita za kuviziana kigaidi tu, kwenye vita ya conventional nchi na nchi hawawezi kupigana hata na jimbo la California tu.
 
Kitu kingine kigumu kwa Yemen kuna makundi mawili moja lipo na US na Saudia, UK, hao waasi wapo na Iran na Urusi. Sasa hilo bomu watalipiga wapi?
Kwani Yemen iko wapi?
 
Hio njia kwetu inakwepeka, inawaathiri North Africa na Mataifa kama Israel ama Ulaya.


Kuwakwepa Houth ndio wana pitia huku kwetu wanazungukia south Africa.
 
Kwa mujibu wa waziri mkuu wa UK ni kwamba hao wa Yemeni nyuma yake kuna mrusi na muirani ambao wanataka kupandisha bei ya mafuta na bidhaa ili uchumi wa nchi za magharibi uvurugike.
 
Waarabu vita wanapigana kwa mdomo0
 
Huyu nzi kazi ya kwanza ni kutunguliwa yeye,kabla ya hao kobaz wengine wapewe kipigo cha mbwa mwizi
 
First statement from Yemen after the announcement of coalition led by USA:

‎"With this foolishness, you will learn who Yemen is."
Yemen failed state anatishia viranja wa dunia🤣😅😂
 
Kiukweli waarabu hawawezi vita na USA pamoja na washirika weka ndio maana ni rahisi kuwagawa
Waarabu hamna kitu kamwe hawawez vita hata na nchi kama India maana US ni mbali sanaaaaaaa. Na washukuru Mungu kawapa baraka ya mafuta na gesi vinginevyo wangekuwa nchi za mavumbini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…