Kiranga
Platinum Member
- Jan 29, 2009
- 78,790
- 128,275
Kama hana nuclear, bado wanamstahi tu, wakiamua kumfuta wanamfuta.Yemen anajua fika kuwa hawezi kupigana US hata kijografiq hawezi kumfikia yeye anaweza kupigana na nchi za Mashariki ya Kati ikiwemo Israel na pamoja na umasikini wake wanamuogopa mfano huu…
🛑 According to Politico, 19 countries joined the US-led coalition in the Red Sea, but 9 of them refuse to have their names published, including Arab countries.
Yemen anajihamini ana silaha ambazo nchi za magharibi hawazijui zimetokq Iran na Urusi.
Japan alijifanya kuwa anapigania upande wa Mfalme Mungu-Mtu Hirohito.
Kapigwa nuclear mbili tu, kafyata mkia mpaka leo.
Watu wanaheshimu sheria za kimataifa tu na kutaka ku preserve amani, kwa vita ya mbwai mbwai Yemen atalia tu.