na Ben Gavl kasema ndio mwanzo tu kama kitabu ndio wamefungua peji mojaMagaidi wa Houth toka Oct 07,2023 wamekiwa wakiishambulia Israel kwa Makombola ambayo yamekuwa yakipopolewa na Mufumo ya ulinzi wa anga ya Israel.
Israel kwa wakati wote wamekuwa waliwaonya Wahouth waache uchokozi wao lakini mara zote hawakuweza kukubali ushauri huo.
Hatimaye siku ya Alhamis iliyopita wanaume wa Jeshi la anga la Israel waliamua kuwatembelea Magaidi hao na walifanikiwa kuwapa adhabu kidogo na kuwaua mawaziri 10 ambao leo hii wanaiga mizoga yao!!!!!
View attachment 3461089
Uko kwao Israel nako wasije kusubutu kuzika kwasasa mkono wa wapinzani unaweza kufika popote wkt wowote ndani ya Israel !!!Hata hapo kwenye msiba wangetembeza kichapo tena na kesho wazike magaidi wengine na kesho yake wakipanga maziko hivyohivyo mpaka waache mizoga ya magaidi barabarani
Daah IDF waungwana sana maana sio kwamba hawajui hili tukio la mazishi laa hasha Bali Kwa roho ya unyenyekevu na uungwana uliotukuka wameamua wawaache wawazike wapendwa wao kisha kazi inaanza upyaaaa!!Magaidi wa Houth toka Oct 07,2023 wamekiwa wakiishambulia Israel kwa Makombola ambayo yamekuwa yakipopolewa na Mufumo ya ulinzi wa anga ya Israel.
Israel kwa wakati wote wamekuwa waliwaonya Wahouth waache uchokozi wao lakini mara zote hawakuweza kukubali ushauri huo.
Hatimaye siku ya Alhamis iliyopita wanaume wa Jeshi la anga la Israel waliamua kuwatembelea Magaidi hao na walifanikiwa kuwapa adhabu kidogo na kuwaua mawaziri 10 ambao leo hii wanaiga mizoga yao!!!!!
View attachment 3461089
Tunamuweza vizuri ila hatujaamua tu.Israel atusaidie
Haaaaa!!! Unaitaka miwani ya Yahya Saree????Semaji kapona? nishaweka oda ya ile miwani yake naitaka sana nina "kazi nayo"
Uko kwao Israel nako wasije kusubutu kuzika kwasasa mkono wa wapinzani unaweza kufika popote wkt wowote ndani ya Israel !!!
Aiseee haya kazi kwenu, ila Israel ndo mzuri yeye hajali mtaongea nini, atasema tu ilikuwa malfunction ya gps na TASTunamuweza vizuri ila hatujaamua tu.
Wengi hawaelewi bado kuwa huwezi kushindana na Israel ukashinda. Na kuanzia sasa Israel ndiyo itatawala vyombo vya habari duniani maana tupo siku za mwisho. Kumbuka tu kuwa Biblia imetabiri kuwa siku za mwisho Israel itarejea jwenye ardhi yake na hakuna mtu ataweza kuwaondoa tena. Hata dunia yote ikienda kuipiga hawataweza.Magaidi wa Houth toka Oct 07,2023 wamekiwa wakiishambulia Israel kwa Makombola ambayo yamekuwa yakipopolewa na Mufumo ya ulinzi wa anga ya Israel.
Israel kwa wakati wote wamekuwa waliwaonya Wahouth waache uchokozi wao lakini mara zote hawakuweza kukubali ushauri huo.
Hatimaye siku ya Alhamis iliyopita wanaume wa Jeshi la anga la Israel waliamua kuwatembelea Magaidi hao na walifanikiwa kuwapa adhabu kidogo na kuwaua mawaziri 10 ambao leo hii wanaiga mizoga yao!!!!!
View attachment 3461089
Kuna hawa hapa chini walijaribu wakashindwa wakawa maiti!!!Wengi hawaelewi bado kuwa huwezi kushindana na Israel ukashinda. Na kuanzia sasa Israel ndiyo itatawala vyombo vya habari duniani maana tupo siku za mwisho. Kumbuka tu kuwa Biblia imetabiri kuwa siku za mwisho Israel itarejea jwenye ardhi yake na hakuna mtu ataweza kuwaondoa tena. Hata dunia yote ikienda kuipiga hawataweza.
🤣 🤣 🤣 Afanye namna, wajue uchunguIsrael atusaidie