Odhiambo cairo
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 16,353
- 22,963
Hawa watu maandiko yao ya kiimani yanawachonganisha na majirani zao wasioamini kwenye imani yao. Kule tu kuamini kuwa mYahudi ni adui wa uislamu ni tatizo kubwa. Mbaya zaidi wanasema ni eternal. Kwamba milele yote muIsrael ni adui wa dini yao.Magaidi wa Houth toka Oct 07,2023 wamekiwa wakiishambulia Israel kwa Makombola ambayo yamekuwa yakipopolewa na Mufumo ya ulinzi wa anga ya Israel.
Israel kwa wakati wote wamekuwa waliwaonya Wahouth waache uchokozi wao lakini mara zote hawakuweza kukubali ushauri huo.
Hatimaye siku ya Alhamis iliyopita wanaume wa Jeshi la anga la Israel waliamua kuwatembelea Magaidi hao na walifanikiwa kuwapa adhabu kidogo na kuwaua mawaziri 10 ambao leo hii wanaiga mizoga yao!!!!!
View attachment 3461089
Hahahaha! Aisee we ni gaidi namba moja. Yaani watu wanazika ukaue wooote jamani? Kuweni na huruma na uhai wa binadamu wenzenuHata hapo kwenye msiba wangetembeza kichapo tena na kesho wazike magaidi wengine na kesho yake wakipanga maziko hivyohivyo mpaka waache mizoga ya magaidi barabarani
Kuna wakati lazima tukubali matokeo hata kama machungu 🤣
Kuna wakati lazima tukubali matokeo hata kama machungu 🤣
Bora wao wamezikwa Kuna wale wa kwetu 😡😡😡😡haijulikani walimezwa na chatu au wanyama wakali waliwararua ama waliwekwa kwenye asidi wakayayuka ... Tena baada ya ufirauni wa hali ya juuMagaidi wa Houth toka Oct 07,2023 wamekiwa wakiishambulia Israel kwa Makombola ambayo yamekuwa yakipopolewa na Mufumo ya ulinzi wa anga ya Israel.
Israel kwa wakati wote wamekuwa waliwaonya Wahouth waache uchokozi wao lakini mara zote hawakuweza kukubali ushauri huo.
Hatimaye siku ya Alhamis iliyopita wanaume wa Jeshi la anga la Israel waliamua kuwatembelea Magaidi hao na walifanikiwa kuwapa adhabu kidogo na kuwaua mawaziri 10 ambao leo hii wanaiga mizoga yao!!!!!
View attachment 3461089
Naona unajifariji na kujipa moyo baada ya Magaidi hao kuangamizwa na majeshi hodari ya Israel!!!Bora wao wamezikwa Kuna wale wa kwetu 😡😡😡😡haijulikani walimezwa na chatu au wanyama wakali waliwararua ama waliwekwa kwenye asidi wakayayuka ... Tena baada ya ufirauni wa hali ya juu
Hawa waisraeli ambao Nina hakika sio wale taifa teule la MUNGUwameua wangapi weka kando madhabahu zako za Giza....Naona unajifariji na kujipa moyo baada ya Magaidi hao kuangamizwa na majeshi hodari ya Israel!!!
Mimi siku zote naongea ukweli si kama weweHongera sana hapo umeonyesha ukomavu wako!!
Vipi Abu Obaida kafa?Toka lini Mfuga Midevu na Majini akaongea Ukweli?
Uzuri walishiba supu ya kUnde uduvi na ukwaju.Waliyataka! Wamekipata!
Waue magaidi tu mkuu sio RAIA😀Hahahaha! Aisee we ni gaidi namba moja. Yaani watu wanazika ukaue wooote jamani? Kuweni na huruma na uhai wa binadamu wenzenu
Haa Kuangamiza Tuhata waliokusanyika hapo wangeangamizwa tu
Hamas mpaa mdaa hu hawakutangaza lolote, mimi nasubiri Hamas watangaze ndio tamini, hivi hivi siamin sababu Israel ni waongo sana.Hili ndilo tatizo la Wafuga Midevu na Majini ni wabishi mno!!!
Abu Obaida huyo anakanusha kufaHili ndilo tatizo la Wafuga Midevu na Majini ni wabishi mno!!!