kimsboy
JF-Expert Member
- Oct 17, 2016
- 9,846
- 20,319
Kama hizi habari zitathibitishwa itakua ni pigo kubwa mno kwa mabeberu nimequoute kutoka kwenye source muhimu za habari
URGENT: Initial reports indicate that the Yemeni Armed Forces have successfully downed an American F-22 fighter jet in the skies over Al Hudaydah
Update: Yemen Houthis forces in Yemen shot down an American F-22 fighter jet over the Red Sea!! More details coming!!
=========
Houthis down F22
Yemeni anti-aircraft missile provided by Iran shooting down an American F-22 fighter jet! They will deny of course until Houthis take a selfie with the F22. But seems like US is angry and is attacking Houthis full fledged!
Wanasema kwa west nk kuwa F-22 ndo ndege kali na ya ghali zaidi ya kivita duniani zikiwa na F-35..... Cha ajabu hapo Ukraine kwenyewe hawathubutu kupeleka ndege zao wanaleta mchezo wa kuziambia nchi zipeleke ndege za kirusi (MIG's) kwa ahadi ya kupewa F-16
Wakiambiwa wapeleke F-16 F-22 au F-35 wanapiga danadana mara ooh wanapaswa wapewe Training mara mafunzo mara zitakua zinafichwa poland mara wasipewe kwanza sasa kwanini wanaogopa?
Yemen walitungua drone ghali za US tukaambiwa ni uwongo baadae wakakiri, wakapiga aircraft carrier wakapinga ilipoanza kuzama wakakiri, hili la F-22 soon litakua comfirmed kama ambavyo Hezbollah anaziangusha drone ghali na ya kisasa zaidi kwa Israel aina ya Hermes 900.