Yemen wameiangusha ndege ya Marekani ya F-22?

Yemen wameiangusha ndege ya Marekani ya F-22?

Sina cha maana, nime share tu alichokisema Shikhe, so kama una hoja au una pinga basi pingana na Sheikhe wako, siyo mimi mkuu. Mimi itakuwa unanionea tu
Tuletee na alivyosema Papa kua machoko wote waende vatican wakabarikiwe.
 
Habari yeyote ikiletwa na Muslims wa kindaki ndaki wa JF iwekeeni Coution Moderator naombeni ombi langu lizigatiwe... jamaa ni woaongo na humu jf wapo ibadani idara ya Taqiyya.
ILa habari ikiletwa na mgalatia kafiri ndio inakua ipo sawa? Nyie si ndio mlibisha kua Papa hajasema kua karuhusu machoko yenu yabarikiwe? Kuna uongo zaidi ya kuwaambia waumini wafunge bila kula mpaka wafe ili wakaonane na yesu?
 
What is the quality of ur products tika hiz shule? Sizisikii hata top 20 kitaifa...

Hiv unaamin ule utajir wa akina bakhresa ni wa kwao????
My friend, take this , kama ulikua hujui bas leo ndio nakujuza kwamba katika nchi za kiafrika, hakuna matajiri kuwazid wanasiasa. Hao akina Mo sijui taka taka ganu hizo ni front faces tu. Utajiri wa watu huo ambao hata huwajui.
Kwanini wewe hukua kwenye hizo nafasi zaa hao kina Mo na Bakhresa?
 
Msamehe huyo maana hata alichoonge Sheikh hajakielewa.
Sheikh kazungumzia kuwa waislam tuko nyuma kwenye kuilea dini yetu.
Ndio maana akatolea mfano wa padre na sheikh,huwezi muona padre anatembea kwa mguu kwasababu makanisa yanawalea vyema,ila masheikh hawalelewi vyema wao kutembea kwa mguu sunnah.

Tukija upande wa kimaisha nadhani yeye anafahamu kuwa TANZANIA WATU MATAJIRI NI WAISLAM NA HILO WALA HABISHI.
SIO TANZANIA TU DUNIANI WATU MATAJIRI WAISLAM.
Ila hakuelewa sheikh anazungumzia nini MSAMEHE KAKA.
Ok
 
ILa habari ikiletwa na mgalatia kafiri ndio inakua ipo sawa? Nyie si ndio mlibisha kua Papa hajasema kua karuhusu machoko yenu yabarikiwe? Kuna uongo zaidi ya kuwaambia waumini wafunge bila kula mpaka wafe ili wakaonane na yesu?
Allah ndie amesema yeye ndio kubwa la waongo alimpachika mtu sura ya Yesu mtu asiye na hatia ili asurubiwe na Yesu asiguswe..

Mimi nimesema news zinazoletwa na Muslim vindakindaki maana ni waongo mno wanamzidi hadi Allah kwa Uongo
 
Kutoa taarifa za UONGO ndio kitu mna kiweza kwa usahihi hua nashangaa kuna majinga uko juu yame furahia hii taarifa na kusapot ilihali haina ukweli wowote aya majamaa ni takataka kwa kweli ptuuuh 🚮🚮
 
Uliza kwanza hizo radar houthi wanazo?
Dogo akishapasuliwa mayai mda wa mapumziko ndio analetaga uzushi huu.
Kwani ile drone ya MQ waliiangushaje hao Yemeni!?
Wanazo ADS kutoka Iran,japo katika suala la kuiangusha hiyo F-22 raptor mie mwenyewe sijalithibitisha na sijaliafiki.
Maana F-22 ni zaidi ya F-16 kiubora na maneuvering.
 
Uzuri wa Media za Marekani zinasema ukweli.
Ukiona hakuna kitu kwenye media zao jua ni uongo
 
Uzuri wa Media za Marekani zinasema ukweli.
Ukiona hakuna kitu kwenye media zao jua ni uongo
Unaishi ndani ya kaburi? Hujui kinachoendelea huku duniani?

Kuna media zinazopiga propaganda kama media za Marekani?
Hivi huu ushabiki hua unawatia upofu au mnakua hamna akili toka mwanzo tu?

Wakati media za Marekani zinareport kua Saddam Hussein ana silaha za WMD na Iraq ikavamiwa na kuua watoto na wanawake,hizo silaha walizodai Saddam anazo,hawakuzikuta mpaka leo,kuna uongo zaidi ya huo?
 
Tukija upande wa kimaisha nadhani yeye anafahamu kuwa TANZANIA WATU MATAJIRI NI WAISLAM NA HILO WALA HABISHI.
SIO TANZANIA TU DUNIANI WATU MATAJIRI WAISLAM.
Ila hakuelewa sheikh anazungumzia nini MSAMEHE KAKA.
Ndio ni matajiri lakini ni mafisadi papa, wakwepa kodi na ushuru na wanaongoza kwa kuuza ngada. Kwao dhambi tu ni kula kiti moto hadharani na kusema Yesu ni Mungu.

adriz Jagina
 
Kama hizi habari zitathibitishwa itakua ni pigo kubwa mno kwa mabeberu nimequoute kutoka kwenye source muhimu za habari

URGENT: Initial reports indicate that the Yemeni Armed Forces have successfully downed an American F-22 fighter jet in the skies over Al Hudaydah

Update: Yemen Houthis forces in Yemen shot down an American F-22 fighter jet over the Red Sea!! More details coming!!

=========

Houthis down F22
Yemeni anti-aircraft missile provided by Iran shooting down an American F-22 fighter jet! They will deny of course until Houthis take a selfie with the F22. But seems like US is angry and is attacking Houthis full fledged!

Wanasema kwa west nk kuwa F-22 ndo ndege kali na ya ghali zaidi ya kivita duniani zikiwa na F-35..... Cha ajabu hapo Ukraine kwenyewe hawathubutu kupeleka ndege zao wanaleta mchezo wa kuziambia nchi zipeleke ndege za kirusi (MIG's) kwa ahadi ya kupewa F-16

Wakiambiwa wapeleke F-16 F-22 au F-35 wanapiga danadana mara ooh wanapaswa wapewe Training mara mafunzo mara zitakua zinafichwa poland mara wasipewe kwanza sasa kwanini wanaogopa?

Yemen walitungua drone ghali za US tukaambiwa ni uwongo baadae wakakiri, wakapiga aircraft carrier wakapinga ilipoanza kuzama wakakiri, hili la F-22 soon litakua comfirmed kama ambavyo Hezbollah anaziangusha drone ghali na ya kisasa zaidi kwa Israel aina ya Hermes 900.

View attachment 3019924
Suala la.ndege kudunhuliwa Sio ajabu katika Vita.
 
Uzuri wa Media za Marekani zinasema ukweli.
Ukiona hakuna kitu kwenye media zao jua ni uongo
😂😂😂
Media za Marekani zinasema ukweli, ila media za mataifa mengine zinadanganya!
Media kama media!?
Huu uzalendo wako ni kiboko, una Green Card mkongwe, eti!?
 
Mimi nashauri ungemsikiliza huyu Sheikhe kwa sekunde hizi 22 tu, kuna kitu kikubwa sana ungejifunza.
Amekiri keamba moo nyuma sana.
Hata hapa mimi nimesmini kwamba mpo nyuma sana kwa jinsi unavyoichukulia F-22.
View attachment 3019952
masheikh wa tu faivu faivu ndo unawafananisha na masheikh wa yemen?we kichaaa....
 
Mimi nimenukuu Allah alichosema wewe unasema ni ujinga mean unathibitisha hiyo kauli ni ya mjinga so Allah umetuthibitishia ni Mjinga na hama akili thank you very much...

If am wrong Allah akijisifu yeye ndie kubwa la waongo.

Soma Quran 3:53 -55 na tafsiri za kweli
Utakua unawashwa trako wewe,hivyo unatafuta mtu akusugue sio bure.
 
Back
Top Bottom