Mwambie product anazokula kila siku ukiondoa alizovuna shambani na zile za mchina na India zilibaki zote ni Azam, Mo, Rostam, GSM etcOyaa mbona hunijibu sasa unapita tu 😡😡😡😡😡
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mwambie product anazokula kila siku ukiondoa alizovuna shambani na zile za mchina na India zilibaki zote ni Azam, Mo, Rostam, GSM etcOyaa mbona hunijibu sasa unapita tu 😡😡😡😡😡
We utakuwa umeshakufa yawezekana wewe ni mummified body maana HII kutu ulojaza kichwani huwezi kuwa mzima na unavuta ooksiijeniHakuna wa kushoot down Raptor. Siasa tu izo.
Ila si mnasema mashehk hawana elimu hawana wanalojua??Sina cha malana, nime share tu alichokisema Shikhe, so kama una hoja au una pinga basi pingana nah Sheikhe wako, siyo mimi mkuu. Mimi itakuwa unanionea tu
Unarejea nilichowahi ku comment? Au watu wengine wamekusimulia kuhusiana na comments zangu?Ila si mnasema mashehk hawana elimu hawana wanalojua??
Sasa iweje leo shehk awe reference??
Waislamu sasahivi mnajitahidi kwenye propagandaKama hizi habari zitathibitishwa itakua ni pigo kubwa mno kwa mabeberu nimequoute kutoka kwenye source muhimu za habari
URGENT: Initial reports indicate that the Yemeni Armed Forces have successfully downed an American F-22 fighter jet in the skies over Al Hudaydah
Update: Yemen Houthis forces in Yemen shot down an American F-22 fighter jet over the Red Sea!! More details coming!!
=========
Houthis down F22
Yemeni anti-aircraft missile provided by Iran shooting down an American F-22 fighter jet! They will deny of course until Houthis take a selfie with the F22. But seems like US is angry and is attacking Houthis full fledged!
Wanasema kwa west nk kuwa F-22 ndo ndege kali na ya ghali zaidi ya kivita duniani zikiwa na F-35..... Cha ajabu hapo Ukraine kwenyewe hawathubutu kupeleka ndege zao wanaleta mchezo wa kuziambia nchi zipeleke ndege za kirusi (MIG's) kwa ahadi ya kupewa F-16
Wakiambiwa wapeleke F-16 F-22 au F-35 wanapiga danadana mara ooh wanapaswa wapewe Training mara mafunzo mara zitakua zinafichwa poland mara wasipewe kwanza sasa kwanini wanaogopa?
Yemen walitungua drone ghali za US tukaambiwa ni uwongo baadae wakakiri, wakapiga aircraft carrier wakapinga ilipoanza kuzama wakakiri, hili la F-22 soon litakua comfirmed kama ambavyo Hezbollah anaziangusha drone ghali na ya kisasa zaidi kwa Israel aina ya Hermes 900.
View attachment 3019924
Na makalioKwenye zile drone za US ambazo hazionekani kwenye rada wanazionaje?
Kumbe hawa wote ni waislam, mimi sikujua hivyo...😛😛😛😛Msamehe huyo maana hata alichoonge Sheikh hajakielewa.
Sheikh kazungumzia kuwa waislam tuko nyuma kwenye kuilea dini yetu.
Ndio maana akatolea mfano wa padre na sheikh,huwezi muona padre anatembea kwa mguu kwasababu makanisa yanawalea vyema,ila masheikh hawalelewi vyema wao kutembea kwa mguu sunnah.
Tukija upande wa kimaisha nadhani yeye anafahamu kuwa TANZANIA WATU MATAJIRI NI WAISLAM NA HILO WALA HABISHI.
SIO TANZANIA TU DUNIANI WATU MATAJIRI WAISLAM.
Ila hakuelewa sheikh anazungumzia nini MSAMEHE KAKA.
www.eurasiantimes.com
Wana eject. Wanakuja kua rescued na team yao.NAJIULIZA TU.
Nini huwa fate(hatima) ya marubani wa hzo ndege zinazodunguliwa!?
Unaleta list waliyoiandaa wenyewe hao wazungu!?
Hakuna ndege isiyopigikaHakuna wa kushoot down Raptor. Siasa tu izo.
Hutua kwenye enemy territory,ndege haiwezi kwenda piga karibu,lazima utaangukia kwa aduiWana eject. Wanakuja kua rescued na team yao.
Nakubali. Ila hawasemi Raptor imepigwa na na SAM gani?Hakuna ndege isiyopigika
Kutosema wamepiga kwa silaha gani siyo issue na si lazimaNakubali. Ila hawasemi Raptor imepigwa na na SAM gani?
Ila kusema F-22 ni lazima, si wangesema tu fighter? Okay sio issue. Poa.Kutosema wamepiga kwa silaha gani siyo issue na si lazima
Dinar ndio vitu gani, nani anazijua hizo Dinar wakati hata waarabu wenyewe hawana shida nazo.Unaleta list waliyoiandaa wenyewe hao wazungu!?
List yenye kubagua!?
Nenda Qatar kuna matajiri wenye utajiri mara tano mpaka kumi ya ELON MUSK.
Ila Forbes wamekataa kuwaweka eti wakidai utajiri wao sio wa kuhamasisha ni wa kupeana.
Kuna waarabu wana utajiri wa dinar bilion mia naa.
We unasemea utajiri wa billion dollars!?
bas utajiri wenu ni issue mkuu. Kama hata vitu vya maana hamna like classic schools, colleges etc ,what is the use of ur riches??? Raha ya utajiru ikufanyeni japo muwe well civilized bas mkuu..!Tukija upande wa kimaisha nadhani yeye anafahamu kuwa TANZANIA WATU MATAJIRI NI WAISLAM NA HILO WALA HABISHI.
SIO TANZANIA TU DUNIANI WATU MATAJIRI WAISLAM.
Ila hakuelewa sheikh anazungumzia nini MSAMEHE KAKA.
Halafu hiyo list yeye anayo. Anataka kama Azim Dewji ndiye tajiri basi na warithi wake watarsjiwa na wenyewe watajwe kuwa ni matajiri badala ya hivi sasa anavyotajwa MO, wakiambiwa.Dinar ndio vitu gani, nani anazijua hizo Dinar wakati hata waarabu wenyewe hawana shida nazo.