Yemen wameiangusha ndege ya Marekani ya F-22?

Yemen wameiangusha ndege ya Marekani ya F-22?

bas utajiri wenu ni issue mkuu. Kama hata vitu vya maana hamna like classic schools, colleges etc ,what is the use of ur riches??? Raha ya utajiru ikufanyeni japo muwe well civilized bas mkuu..!
Muulize maana ya utajiri au tija ya utajiri… atakeambia kugawa nyama siku ya siku kuu, kugawa tende na kugawa bukubuku kila mwezi
 
bas utajiri wenu ni issue mkuu. Kama hata vitu vya maana hamna like classic schools, colleges etc ,what is the use of ur riches??? Raha ya utajiru ikufanyeni japo muwe well civilized bas mkuu..!
Mkuu unataka nikutajie shule za maana za matajiri wa kiislam Tanzania!?
Check the list;
1)Yemeni English medium Chang'ombe.
2)Alhikma schools.
3)Kirinjiko.
4)Forest hill/imaan schools Morogoro.
5)Almuntazir.
6)Daarul Arqam.
7)Al ihsan.
8)Chalinze Islamic.
Hizo zinakutosha.
Kuna vituo vya afya vingi tu waislam wamefungua japo ni vituo vya afya vya kati.
Kwa upande wa vyuo bado tuko nyuma nakubali.

Ila KIBIASHARA tumeteka hii nchi na hilo haubishi,wafanyabiashara wakubwa wengi waislam.
Tukitizama mchango wa Azam tu katika kukuza sekta mbali mbali za kiuchumi hapa nchini huwezi pimia.
Azam kainua sekta ya viwanda,michezo,habari,burudani na usafiri.
Je hivyo havina tija katika uchumi wa nchi!?
Una lingine la kuuliza mkuu!?
 
Mkuu unataka nikutajie shule za maana za matajiri wa kiislam Tanzania!?
Check the list;
1)Yemeni English medium Chang'ombe.
2)Alhikma schools.
3)Kirinjiko.
4)Forest hill/imaan schools Morogoro.
5)Almuntazir.
6)Daarul Arqam.
7)Al ihsan.
8)Chalinze Islamic.
Hizo zinakutosha.
Kuna vituo vya afya vingi tu waislam wamefungua japo ni vituo vya afya vya kati.
Kwa upande wa vyuo bado tuko nyuma nakubali.

Ila KIBIASHARA tumeteka hii nchi na hilo haubishi,wafanyabiashara wakubwa wengi waislam.
Una lingine la kuuliza mkuu!?
What is the quality of ur products tika hiz shule? Sizisikii hata top 20 kitaifa...

Hiv unaamin ule utajir wa akina bakhresa ni wa kwao????
My friend, take this , kama ulikua hujui bas leo ndio nakujuza kwamba katika nchi za kiafrika, hakuna matajiri kuwazid wanasiasa. Hao akina Mo sijui taka taka ganu hizo ni front faces tu. Utajiri wa watu huo ambao hata huwajui.
 
Nilijua utaongea haya.
Katika shule za primary Alhikma ilishatoa wanafunzi bora mara nyingi sana haswa kipindi cha Kikwete.
Japo sikuifuatilia sasa hivi.
Nenda kafuatilie matokeo ya hizo shule zikifaulisha wanafunzi vizuri.

Hata Yusuph Manji mlisema vivyo hivyo utajiri wa wanasiasa yeye front tu tena utajiri wa Kikwete,mwishowe ikatoka ripoti ya Yusuph Manji kampuni zake kongwe ambazo zilianzishwa kabla ya hizi za hapa Tanzania huko UINGEREZA ZA QUALITY GROUP zikipokea tuzo ya ulipaji bora wa kodi.Au Kikwete akamchukua Manji na kwenda kuwekeza nae UINGEREZA!?
Hata ile QC ya pale Pugu road ni Kikwete kaingia ubia ila sio ya Kikwete.QC zipo takriban mataifa 29 na ina jumla ya makampuni sio chini ya 120.Mengine yameanzishwa hata Kikwete hajulikani kama atakua rais.

Hao wanasiasa hutumia matajiri kuongeza utajiri wao kupitia wao n humo ndimo wanaficha uwekezaji wao,ila sio kwamba huo utajiri ni wa wanasiasa.
Kuna mwanasiasa mjinga anamuokota tu mwarabu eti kisa mwarabu ndio ampe utajiri na aufiche kwake!??
Aya vipi kuhusu wamiliki wa Yemeni schools?
Maana ile shule ni ya waAbri kutoka Yemeni,je nao wanasiasa ndio imewapa utajiri!!??
We mzee GULAM DEWJI kapambana toka enzi kuukuza utajiri wa kizazi chake kina Mo dewji leo useme utajiri wa wanasiasa!?
Bro mmeishiwa vya kuongea kiasi hiki!?
 
Nilijua utaongea haya.
Katika shule za primary Alhikma ilishatoa wanafunzi bora mara nyingi sana haswa kipindi cha Kikwete.
Japo sikuifuatilia sasa hivi.
Nenda kafuatilie matokeo ya hizo shule zikifaulisha wanafunzi vizuri.

Hata Yusuph Manji mlisema vivyo hivyo utajiri wa wanasiasa yeye front tu,mwishowe ikatoka ripoti ya Yusuph Manji kampuni zake kongwe ambazo zilianzishwa kabla ya hizi za hapa Tanzania huko UINGEREZA ZA QUALITY GROUP zikipokea tuzo ya ulipaji bora wa kodi.
Hata ile QC ya pale Pugu road ni Kikwete kaingia ubia ila sio ya Kikwete.

Hao wanasiasa hutumia matajiri kuongeza utajiri wao kupitia wao n humo ndimo wanaficha uwekezaji wao,ila sio kwamba huo utajiri ni wa wanasiasa.
Kuna mwanasiasa mjinga anamuokota tu mwarabu eti kisa mwarabu ndio ampe utajiri na aufiche kwake!??
Aya vipi kuhusu wamiliki wa Yemeni schools?
Maana ile shule ni ya waAbri kutoka Yemeni,je nao wanasiasa ndio imewapa utajiri!!??
We mzee GULAM DEWJI kapambana toka enzi kuukuza utajiri wa kizazi chake kina Mo dewji leo useme utajiri wa wanasiasa!?
Bro mmeishiwa vya kuongea kiasi hiki!?
Braza, bado nyuma sana.
 
Pongezi za dhati na hongera kwa Allah na mudy kwa kufanikiwa kuiangusha F-22. Kweli kwa hili wamejitahidi wanahitaji kupongezwa na kuendelea kutiwa moyo.

Mnyonge mnyongeni haki yake mpe.

Big up Allah na Mudi watu wangu wa nguvu never give up pamoja sana tu 🤟🏿👌🏿👊🏿🤜🏿🤛🏿💪🏿💪🏿💪🏿💪🏿

Jagina ielewemitaa Malaria 2
Allah aliwatenga wapalestina na anawacheleweshea ushindi kwa kuwa queer wengi wanasapoti palestina
 
Mie nimeshanawa mikono.
Amini unachokiamini kaka.
Ahahah.. sawa . Uzur hapa tunapeana changamoto za kujengana tu wala sio mashindano.
Anyways, hizo shule umenitajia hapo, kuna namna uko connected nazo? I want to know something
 
Hii si ndio iliopo hapa Duce si ndio?

Hiz ni za sec au primary?
Yeah Yemeni ni hiyo iliyopo hapo DUCE.
Ila mie nilianza soma kipindi imekodisha majengo UPANGA kabla haijahamishwa na kujengwa hapo.
Hapo nilirudi tena advance kidocho.
Sasa hivi haiko vizuri kivile kitaaluma watoto wanaendekezwa sana.

Hizo shule nilizokutajia zina kuanzia montessori mpaka High school japo zingine zinaishia O'level.
 
Zinatumia mitaala ya ndani au nje?
 
Hii taarifa yako mbona ni ww tu ndie ulie ripot source ya hii taarifa ni chombo gani cha habari kime ripot?
 
Habari yeyote ikiletwa na Muslims wa kindaki ndaki wa JF iwekeeni Coution Moderator naombeni ombi langu lizigatiwe... jamaa ni woaongo na humu jf wapo ibadani idara ya Taqiyya.
 
Mimi nashauri ungemsikiliza huyu Sheikhe kwa sekunde hizi 22 tu, kuna kitu kikubwa sana ungejifunza.
Amekiri keamba moo nyuma sana.
Hata hapa mimi nimesmini kwamba mpo nyuma sana kwa jinsi unavyoichukulia F-22.
View attachment 3019952
Hawapendiwi sababu ya uongo uliotukuka... yaani unakuta shehe anadanganya wazi wazi kisa anachomeka neno kuwa kasema Mtume au kasema Allah basi waumini wanakuwa hawana la kufanya japo uongo wa wazi..

Eti ukipiga Takbira Allahu akbar mara tatu kama kuna moto unawaka moto unazimika Mtume ahakusema uongo.. basi wanatulia.. uongo uongo wa kiibilisi.. Sikilizeni fix za wazi wazi eti waislam hawaendi motoni sababu wanasema Allahu Akbar.

View: https://youtu.be/nr9VnNM9W7g?t=829

Mungu anasingiziwa ana mwanawe... Sheikh Kipoozeo soma Aya hii kisha useme Yesu ni Mtoto wa Nani na Mimba imeshika kwa sperm za nani

Kama haamini Yesu alikuwepo kabla why Mariam aliambiwa atapata Mimba na mtoto atakaye zaliwa ni mtakatifu na ataitwa Yesu.. sasa hapo jibu kuwa alikuwepo na amekuja na jina lake Mungu pamoja nasi Emmanuel.

Koran imedanganya kuwa Yesu ni kama Adam na Allah alisema awe akawa... Aya ya uongo kwani Adam aliumbwa kwa Udongo na wala sio ''BE'' akawa Jibu Sheikh muongo, Allah muongo.

Mariam alitokewa na Jibril kisha akapuliza roho ya Allah katika uchi Mariam akapata Mimba sasa Mtoto wa Nani?

Koran inasema Jesus ni 1. Messenger 2. Yesu ni Word(Neno) 3 Yesu ni Roho ya Allah inayoendelea kuwepo kwenye mwili wa yesu. hapo huo utatu Yesu ni nani enyi muslims? Neno ndio kalam iliyoumba,Yesu ndie roho ya Allah parmanent yesu ndie Mtume.. Je ni Binadamu? au ni Mungu...

Mungu unasema kupata mtoto ni dhiki je Mudy aliposema Mungu akopeshwe pesa na pesa akawa anampokelea yeye ALLAH alikuwa anadhiki pia?
 
Back
Top Bottom