Muulize maana ya utajiri au tija ya utajiri… atakeambia kugawa nyama siku ya siku kuu, kugawa tende na kugawa bukubuku kila mwezibas utajiri wenu ni issue mkuu. Kama hata vitu vya maana hamna like classic schools, colleges etc ,what is the use of ur riches??? Raha ya utajiru ikufanyeni japo muwe well civilized bas mkuu..!
Mkuu unataka nikutajie shule za maana za matajiri wa kiislam Tanzania!?bas utajiri wenu ni issue mkuu. Kama hata vitu vya maana hamna like classic schools, colleges etc ,what is the use of ur riches??? Raha ya utajiru ikufanyeni japo muwe well civilized bas mkuu..!
What is the quality of ur products tika hiz shule? Sizisikii hata top 20 kitaifa...Mkuu unataka nikutajie shule za maana za matajiri wa kiislam Tanzania!?
Check the list;
1)Yemeni English medium Chang'ombe.
2)Alhikma schools.
3)Kirinjiko.
4)Forest hill/imaan schools Morogoro.
5)Almuntazir.
6)Daarul Arqam.
7)Al ihsan.
8)Chalinze Islamic.
Hizo zinakutosha.
Kuna vituo vya afya vingi tu waislam wamefungua japo ni vituo vya afya vya kati.
Kwa upande wa vyuo bado tuko nyuma nakubali.
Ila KIBIASHARA tumeteka hii nchi na hilo haubishi,wafanyabiashara wakubwa wengi waislam.
Una lingine la kuuliza mkuu!?
Anaogopa sura yako😃Mwambie product anazokula kila siku ukiondoa alizovuna shambani na zile za mchina na India zilibaki zote ni Azam, Mo, Rostam, GSM etc
Nilijua utaongea haya.What is the quality of ur products tika hiz shule? Sizisikii hata top 20 kitaifa...
Hiv unaamin ule utajir wa akina bakhresa ni wa kwao????
My friend, take this , kama ulikua hujui bas leo ndio nakujuza kwamba katika nchi za kiafrika, hakuna matajiri kuwazid wanasiasa. Hao akina Mo sijui taka taka ganu hizo ni front faces tu. Utajiri wa watu huo ambao hata huwajui.
Braza, bado nyuma sana.Nilijua utaongea haya.
Katika shule za primary Alhikma ilishatoa wanafunzi bora mara nyingi sana haswa kipindi cha Kikwete.
Japo sikuifuatilia sasa hivi.
Nenda kafuatilie matokeo ya hizo shule zikifaulisha wanafunzi vizuri.
Hata Yusuph Manji mlisema vivyo hivyo utajiri wa wanasiasa yeye front tu,mwishowe ikatoka ripoti ya Yusuph Manji kampuni zake kongwe ambazo zilianzishwa kabla ya hizi za hapa Tanzania huko UINGEREZA ZA QUALITY GROUP zikipokea tuzo ya ulipaji bora wa kodi.
Hata ile QC ya pale Pugu road ni Kikwete kaingia ubia ila sio ya Kikwete.
Hao wanasiasa hutumia matajiri kuongeza utajiri wao kupitia wao n humo ndimo wanaficha uwekezaji wao,ila sio kwamba huo utajiri ni wa wanasiasa.
Kuna mwanasiasa mjinga anamuokota tu mwarabu eti kisa mwarabu ndio ampe utajiri na aufiche kwake!??
Aya vipi kuhusu wamiliki wa Yemeni schools?
Maana ile shule ni ya waAbri kutoka Yemeni,je nao wanasiasa ndio imewapa utajiri!!??
We mzee GULAM DEWJI kapambana toka enzi kuukuza utajiri wa kizazi chake kina Mo dewji leo useme utajiri wa wanasiasa!?
Bro mmeishiwa vya kuongea kiasi hiki!?
Mie nimeshanawa mikono.Braza, bado nyuma sana.
Allah aliwatenga wapalestina na anawacheleweshea ushindi kwa kuwa queer wengi wanasapoti palestinaPongezi za dhati na hongera kwa Allah na mudy kwa kufanikiwa kuiangusha F-22. Kweli kwa hili wamejitahidi wanahitaji kupongezwa na kuendelea kutiwa moyo.
Mnyonge mnyongeni haki yake mpe.
Big up Allah na Mudi watu wangu wa nguvu never give up pamoja sana tu 🤟🏿👌🏿👊🏿🤜🏿🤛🏿💪🏿💪🏿💪🏿💪🏿
Jagina ielewemitaa Malaria 2
Ahahah.. sawa . Uzur hapa tunapeana changamoto za kujengana tu wala sio mashindano.Mie nimeshanawa mikono.
Amini unachokiamini kaka.
Mie nimesoma Yemeni schools.Ahahah.. sawa . Uzur hapa tunapeana changamoto za kujengana tu wala sio mashindano.
Anyways, hizo shule umenitajia hapo, kuna namna uko connected nazo? I want to know something
Hii si ndio iliopo hapa Duce si ndio?Mie nimesoma Yemeni schools.
Hiz ni za sec au primary?Ila nina vijana wanaosoma Forest hill na wengine Almuntazir hadi sasa ambao ni wadogo zangu.
Yeah Yemeni ni hiyo iliyopo hapo DUCE.Hii si ndio iliopo hapa Duce si ndio?
Hiz ni za sec au primary?
Zinatumia mitaala ya ndani au nje?Yeah Yemeni ni hiyo iliyopo hapo DUCE.
Ila mie nilianza soma kipindi imekodisha majengo UPANGA kabla haijahamishwa na kujengwa hapo.
Hapo nilirudi tena advance kidocho.
Sasa hivi haiko vizuri kivile kitaaluma watoto wanaendekezwa sana.
Hizo shule nilizokutajia zina kuanzia montessori mpaka High school japo zingine zinaishia O'level.
Zooote zinatumia mtaala wa NECTA wa ndani kasoro Almuntazir wanachanganya hawa, ila naskia sasa hivi wanatumia cambridge full hapo Almuntazir.Zinatumia mitaala ya ndani au nje?
Shukrani chiefZooote zinatumia mtaala wa NECTA wa ndani kasoro Almuntazir wanachanganya hawa, ila naskia sasa hivi wanatumia cambridge full hapo Almuntazir.
Wana eject. Wanakuja kua rescued na team yao.
Hawapendiwi sababu ya uongo uliotukuka... yaani unakuta shehe anadanganya wazi wazi kisa anachomeka neno kuwa kasema Mtume au kasema Allah basi waumini wanakuwa hawana la kufanya japo uongo wa wazi..Mimi nashauri ungemsikiliza huyu Sheikhe kwa sekunde hizi 22 tu, kuna kitu kikubwa sana ungejifunza.
Amekiri keamba moo nyuma sana.
Hata hapa mimi nimesmini kwamba mpo nyuma sana kwa jinsi unavyoichukulia F-22.
View attachment 3019952