Yemen wameiangusha ndege ya Marekani ya F-22?

Kwahiyo umetuletea tujadili umbea? Hizo tabia waachie wanawake hakukuwa na ulazima wa kuleta habar ambayo haijadhibitishwa humu.
 
Source?
 
Yohana 12:49
Mimi sikunena kwa mamlaka yangu mwenyewe,ila Baba aliyenituma,ndiye aliyeniamuru niseme nini na niongee nini,

Hivi Mungu anaweza kupewa amri kweli? Toka usingizini,soma Bible mwenyewe usiwe unasomewa na wewe unameza tu,Yesu sio Mungu.
 
Sina cha maana, nime share tu alichokisema Shikhe, so kama una hoja au una pinga basi pingana na Sheikhe wako, siyo mimi mkuu. Mimi itakuwa unanionea tu
Shikhe ndio nini sasa?

Shikhe=Sheikh
 
Vihabari vya kuokoteza hivi
 
Labda utajiri wa kufuga majini
 
Haya tuwekee list ya hao matajiri wa kiarabu wenye dinar bill mia
 
Huu ni ujinga kujitambulisha na maswala ya kidini, watanzania tunatakiwa kujitambulisha kama watanzania na wala sio kwa misingi ya imani za watu.

Wanaochangia utajiri wa mtu yeyote ni watanzania wote bila kujali itikadi zao za kisiasa, mirengo yao ya kikabila wala imani zao za kidini hivyo utajiri wa mtu huchangiwa na mambo mengi.

Watu wanaoongelea mambo ya kidini kila saa ni watu wa kuwakwepa kabisa kwa sababu ya ufinyu wao wa kifikra. Tanzania haiwezi kujengwa na fikra finyu za kidini bali itajengwa na watanzania wote wenye imani za kidini na wasio na imani hizo.
 

Nyani kaingia, kalisahau. boga lake
 
Marekani mbona jicho tu sema mainstream za kiyahudi zinambeba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…