Yemen yashambulia ndege vita ya USA na kuzamisha meli ya Uingereza!

Yemen yashambulia ndege vita ya USA na kuzamisha meli ya Uingereza!

Hili eneo la Middle East Mungu tu aingilie kati,kila mtu kiburi na hawa ogopi kabisa.

Wahouthi walivyo shambuliwa kambi zao na US,ndio wamechacharuka kabisa. Wameongeza mashambulizi na wamewaajili maelfu ya vijana wapya kwenye jeshi lao na msimamo wao,mpaka watakapo cease fire Gaza nao ndio wataacha na huko Gaza kwenye vita haishi leo wala kesho.

US na washirika wake waliomba waungane kwenye kupambana na Wahouth,UK pekee ndiye aliye support na kutoa Meli yake moja ya kivita wengine wamekataa,Ufaransa yy akasema atatoa wanajeshi ila hawezi kutoa Meli zake za kivita.

Na sasa hivi kwa mujibu wa US,Wahouth wanatumia Drone Submarine kufanya mashambulizi.
 
Safi sana Houthi. Endeleeni tu hadi USA aje kuwavamia halafu tuanze kuandamana anawaonea.
We huoni kama huyo USA ndo mvamizi,, lini umesikia nchi yoyote duniani imerusha ndege vita katika anga la USA au hata meli vita kukatiza tu,, yeye anafuata nini pale mashariki ya kati maelfu ya kilomita kutoka kwake... Au ndo mahaba mkuu
 
Mahaba gani tena? Mimi nimesema waendelee tu kuchapana
 
Hicho kidrone ndo kiarabu kinaitwa ndege vita

Kaangalie bei ya hiyo drone yako!!

Several MQ-9 aircraft have been retrofitted with equipment upgrades to improve performance in "high-end combat situations", and all new MQ-9s will have those upgrades. 2035 is the projected end of the service life of the MQ-9 fleet. The average unit cost of an MQ-9 is estimated at $30 million in 2022 dollars.
 
Unaelewa nini ukiambiwa come to halt??
Hiyo meli imechakazwa halt maana yake ni terminate hivyo huwenda ni kweli imezama.
Soma link uliyoleta kwa ufasaha.

Ili mradi wabishe, hawataki kukili kua Yemen amekua kidume hapo middle East
 
Safi sana Houthi. Endeleeni tu hadi USA aje kuwavamia halafu tuanze kuandamana anawaonea.
Muwe mnaacha mahaba nyuma ili akili itangulie mbele,

Watu wanaandamana kwa kua hao Zionists wenu kuua wanawake na watoto wasio na hatia,kupiga refugee camps,Hospitali...vita vina sheria yake,mpaka leo Zionist kamasi zinawatoka kwa kikundi kidogo tu cha Hamas,licha ya kupewa silaha na kusaidiwa na US na mataifa ya Europe,

Hao Houthi wamewafuata US huko kwao?
 
Kuamini kwako au kutokuamini kwako hakubadilishi ukweli kua wamarekani wenzako japo wewe ni mmarekani mweusi wa Ifakara,wamechezea kichapo.
Aisee! Magaidi lazima yafutiliwe mbali kabisa kwenye uso wa dunia.

Pole sana wavaa gauni
 
Muwe mnaacha mahaba nyuma ili akili itangulie mbele,

Watu wanaandamana kwa kua hao Zionists wenu kuua wanawake na watoto wasio na hatia,kupiga refugee camps,Hospitali...vita vina sheria yake,mpaka leo Zionist kamasi zinawatoka kwa kikundi kidogo tu cha Hamas,licha ya kupewa silaha na kusaidiwa na US na mataifa ya Europe,

Hao Houthi wamewafuata US huko kwao?
Wewe labda ndio una mahaba. Mimi nasema waendelee tu kutwangana ila wasituletee kelele au vilio wakianza kuumizana. Sijali afe mmarekani,muingereza,myemen au gazan wafe tu.
 
Back
Top Bottom