American Dream
JF-Expert Member
- Mar 18, 2022
- 313
- 352
🔥🔥🔥
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naona hizi mbinu kwa LAVALAVA, QUEEN DARLEN na MBOSSO ZIMEDUNDA VIBAYA mnoo ndugu LOKOLE.Hamna maajabu bali kupeana muda na kuwekeza. WCB msanii wanamtizama kama bidhaa na ndio maana wanaipa thamani na wana ipromoti.
Hapo ndipo wanapozipiga bao label nyingi za East Africa, kuna wasanii wengine wapo kwenye label ambazo hata wao wenyewe hawajui zinahusiana na nini.
Diamond ndiye msanii pekee yupo tayari kusimamisha projects zake binafsi kwa ajili ya kumpromoti na kumpush msanii wake,wasanii wengine wameanzisha label kama kufuata mkumbo, ila wana wapotezea mda wasanii walio wasaini kwani muda haumsubiri mtu.
Sasa wewe mbona huheshimu mitazamo ya wengine? Huyo Yemi alikua Jaji wa hilo onyesho? Yeye alipewa mamlaka ya kutoa hukumu kua nani kamfunika nani? Hivi machawa kwanini hua mnajitoa ufahamu?Sawa mtazamo wake ndio huo Zuchu kamfunika Davido
Naona hizi mbinu kwa LAVALAVA, QUEEN DARLEN na MBOSSO ZIMEDUNDA VIBAYA mnoo ndugu LOKOLE.
Haya malalamiko yako ungempelekea Yemi Alade ndio niliyemnukuu kama ni uchawa kaufanya Yemi...mkuu utateseka mpaka lini? kubali tu kuna watu wamebarikiwaSasa wewe mbona huheshimu mitazamo ya wengine? Huyo Yemi alikua Jaji wa hilo onyesho? Yeye alipewa mamlaka ya kutoa hukumu kua nani kamfunika nani? Hivi machawa kwanini hua mnajitoa ufahamu?
Inaonekana huyo Yemi akikwambia kua yeye ni mungu na akafungua nyumba ya ibada basi wewe ndio utakua mtu wa kwanza kwenda kumuabudu.Haya malalamiko yako ungempelekea Yemi Alade ndio niliyemnukuu kama ni uchawa kaufanya Yemi...mkuu utateseka mpaka lini? kubali tu kuna watu wamebarikiwa
Ubarikiwe kiongozi kwa kuuongea ukweliHata kama Uyo Yemi aladee asingesema, kiukweli WCB kwa ujumla mnatuwakilisha vyema kimataifa, Kwa ufupi Zuchu umezidi kupaa sana, unajua kumiliki Jukwaa tofauti na wasanii wengine....
Hope to join WCB management very soon for more improvement.
WCB ni ya Watanzania wote.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Akikujibu nitag puliiizzzzzNaona hizi mbinu kwa LAVALAVA, QUEEN DARLEN na MBOSSO ZIMEDUNDA VIBAYA mnoo ndugu LOKOLE.
Baada ya Zuchu kufanya show kwenye jukwaa la kimataifa kwenye African Day ambayo host alikuwa Idris Elba.
Zuchu alifanya show ya kukata na mundu kiasi crowd yote ikabaki na butwaa hapo mjini Lagos kwa wapopo.
Akaibuka yemi Alade akaongea na media za kimataifa akasema ameshangazwa na show ya Zuchu kwani ni ya kiwango cha kustaajabisha akasema ndio show bora kwenye usiku huo.
Zuchu alifanya show nzuri kushinda Davido na wasanii wengine wa Nigeria waliopanda kwenye stage hiyo.
Baada ya Zuchu kufanya show kwenye jukwaa la kimataifa kwenye African Day ambayo host alikuwa Idris Elba.
Zuchu alifanya show ya kukata na mundu kiasi crowd yote ikabaki na butwaa hapo mjini Lagos kwa wapopo.
Akaibuka yemi Alade akaongea na media za kimataifa akasema ameshangazwa na show ya Zuchu kwani ni ya kiwango cha kustaajabisha akasema ndio show bora kwenye usiku huo.
Zuchu alifanya show nzuri kushinda Davido na wasanii wengine wa Nigeria waliopanda kwenye stage hiyo.
Hujaelewa hoja mezaniZuchu amshinde Davido!! huu uchawa ni pro max
Unaneng'eneka kama umekalia bunzi na ndio maana mnajuana na Lokole.Naona hizi mbinu kwa LAVALAVA, QUEEN DARLEN na MBOSSO ZIMEDUNDA VIBAYA mnoo ndugu LOKOLE.
🖕🖕 Basi hapo kimeshakuwashaMachawa wa domokayaaa wana haha, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hawana pa kushika, woiiiiiiiiiiih