Yemi Alade afunguka; Zuchu kamfunika Davido na Wanaija wengine

Kimekuwasha wee baba levo. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Vipi mimba bado tyuuh? Nataka nikuandalie baby shower shoga angu.
Nishakwambia utanipa kesi nitakumalizia malinda yaliyobaki uwe kiwete wa kudumu
 
Good show.

Was she lipsyncing though?

Lets concentrate on her best performance of the night. What matters in showbiz is that you appreciate what you watched. The goal is to keep you entertained.
 
Kajitahidi kiasi chake sema naona crowd haimjui maana ninecheki performance ya Davido playlist aliyopanda nayo Jawa, risky, aye na pale ni Lagos crows yote ilisimama inaimba nae. Davido ni khabari ingine mzee mpaka wazungu wanakoma nae halafu wenzetu wakipiga live utapenda na ukitaka kujua mwanamuziki ana kipaji sio kavamia mpe nafasi apige na live band uone.

Hapa kwetu inabidi wajitahidi sana kupiga na live band, backup singers na vyombo. Ifike wakati sasa zuchu agonge nyimbo za kiingereza kwa ajili ya international audience
 
Huyo davido mwenyewe live band ajui lakini anafanya poa kwenye mziki wasanii wengi tu hapo wamemzidi kwenye kuimba Davido so mzee kufanya vizuri kwenye mziki si kuimba live band tu kuna mengi yanachangia kumfanya msanii awe mkubwa
 
Kajitahidi kiasi chake sema naona crowd haimjui maana ninecheki performance ya Davido playlist aliyopanda nayo Jawa, risky, aye na pale ni Lagos crows yote ilisimama inaimba nae. Davido ni khabari ingine mzee mpaka wazungu wanakoma nae halafu wenzetu wakipiga live utapenda na ukitaka kujua mwanamuziki ana kipaji sio kavamia mpe nafasi apige na live band uone.

Hapa kwetu inabidi wajitahidi sana kupiga na live band, backup singers na vyombo. Ifike wakati sasa zuchu agonge nyimbo za kiingereza kwa ajili ya international audience
Davido live mweupe kabisa,kabisa bora Burna.
 
Nasubiria kesho nione perfomance ya Camilla Cabello kwenye Uefa Opening ceremony by Pepsi.

Zuchu aliperform vizuri tuongee la ukweli.
 
Lets concentrate on her best performance of the night. What matters in showbiz is that you appreciate what you watched. The goal is to keep you entertained.
Sawa, but we can also be critical.

Hata kama ni kwa kumsaidia aendelee zaidi.

Msanii ku lipsync ni scandal.

Haya mambo mnayaendekeza Afrika huku, akitaka kuendelea kwenye level kubwa zaidi duniani, aache ku lipsync. Hilo litamuharibia sifa.

Zuchu ni mdogo bado, anaweza kujiongeza.

Mkisifiasifia tu hamumsaidii kukua.
 
IMG-20220528-WA0000.jpg

Mziki wa zuchu unahusisha muvements nyingi stejini ndo maana anakuwa anafanya lip sync (kama picha inavyojieleza)...

Angalia show za mbosso afu uone km huwa anafanya lip sync!

WCB wanalielewa sana soko la mziki kuliko asilimia kubwa sana ya watanzania na ndo maana wametokea kuiteka kanda hii kwa miziki mizuri na shows kali stejini
 
Sawa, but we can also be critical.

Hata kama ni kwa kumsaidia aendelee zaidi.

Msanii ku lipsync ni scandal.

Haya mambo mnayaendekeza Afrika huku, akitaka kuendelea kwenye level kubwa zaidi duniani, aache ku lipsync. Hilo litamuharibia sifa.

Zuchu ni mdogo bado, anaweza kujiongeza.

Mkisifiasifia tu hamumsaidii kukua.
Hata Beyonce the best performer in the world anafanya lip syncing.

Back
Top Bottom