Eyce
JF-Expert Member
- Mar 16, 2016
- 7,185
- 24,330
Hata Beyonce the best performer in the world anafanya lip syncing.
Ndio maana, umewekewa compilation maana wanaona si kitu kizuri kwa hadhi yake japo kwa dances zake inaeleweka
Show ya zuchu vocally haikuwa nzuri ndio maana mwisho wa siku aliishia kucheza Tu na ku hype kiasi.
Nilichopenda ni kimoja Tu, wimbo wa kwanza aliimba kiingereza na wenye swagaa za kinaija ila nyimbo iliyoamsha ni ya singeli. I hope wasanii wamechukua notes