Yemi Alade afunguka; Zuchu kamfunika Davido na Wanaija wengine

Naona hizi mbinu kwa LAVALAVA, QUEEN DARLEN na MBOSSO ZIMEDUNDA VIBAYA mnoo ndugu LOKOLE.
 
Sawa mtazamo wake ndio huo Zuchu kamfunika Davido
Sasa wewe mbona huheshimu mitazamo ya wengine? Huyo Yemi alikua Jaji wa hilo onyesho? Yeye alipewa mamlaka ya kutoa hukumu kua nani kamfunika nani? Hivi machawa kwanini hua mnajitoa ufahamu?
 
Sasa wewe mbona huheshimu mitazamo ya wengine? Huyo Yemi alikua Jaji wa hilo onyesho? Yeye alipewa mamlaka ya kutoa hukumu kua nani kamfunika nani? Hivi machawa kwanini hua mnajitoa ufahamu?
Haya malalamiko yako ungempelekea Yemi Alade ndio niliyemnukuu kama ni uchawa kaufanya Yemi...mkuu utateseka mpaka lini? kubali tu kuna watu wamebarikiwa
 
Haya malalamiko yako ungempelekea Yemi Alade ndio niliyemnukuu kama ni uchawa kaufanya Yemi...mkuu utateseka mpaka lini? kubali tu kuna watu wamebarikiwa
Inaonekana huyo Yemi akikwambia kua yeye ni mungu na akafungua nyumba ya ibada basi wewe ndio utakua mtu wa kwanza kwenda kumuabudu.
 
Hata kama Uyo Yemi aladee asingesema, kiukweli WCB kwa ujumla mnatuwakilisha vyema kimataifa, Kwa ufupi Zuchu umezidi kupaa sana, unajua kumiliki Jukwaa tofauti na wasanii wengine....
Hope to join WCB management very soon for more improvement.
WCB ni ya Watanzania wote.
 
Ubarikiwe kiongozi kwa kuuongea ukweli
 
Naona hizi mbinu kwa LAVALAVA, QUEEN DARLEN na MBOSSO ZIMEDUNDA VIBAYA mnoo ndugu LOKOLE.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Akikujibu nitag puliiizzzzz
 
Zuchu amshinde Davido!! huu uchawa ni pro max
 
Wanaijeria walichotuzidi ni janjajanja tu!
 
Mimi mnisamehe sana hata mwanamziki a perform namna gani kama haimbi live ni CD playback simpi heshima. Nadhani true performance ni mtu kuimba live music lakini kuweka CD nyuma unaweza hata kumchukua mcheza dance mmoja hatari sana aka perform tu maana shughuli kuimba ndio huko kwenye changamoto. Show with playback kwangu big NO hasa za kimataifa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…