Kimekuwasha wee baba levo. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji867][emoji867] Basi hapo kimeshakuwasha
😀😀😀😀😀Machawa wa domokayaaa wana haha, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hawana pa kushika, woiiiiiiiiiiih
Nishakwambia utanipa kesi nitakumalizia malinda yaliyobaki uwe kiwete wa kudumuKimekuwasha wee baba levo. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Vipi mimba bado tyuuh? Nataka nikuandalie baby shower shoga angu.
Shost wee nae [emoji23][emoji3][emoji3][emoji3]Nishakwambia utanipa kesi nitakumalizia malinda yaliyobaki uwe kiwete wa kudumu
[emoji23][emoji23][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Kwani Yemi alade Ndio Nini Sasa?Wewe unabishana na yemi alade?
WCB mnahangaika
Kwahiyo Juma lokole instagram profile picture yake kamuweka mama Diamond!!!...Hii nchi ukiwa na pesa raha sana aisee
Naona umempa za uso mambo kama haya ndio napenda mtu akibwabwaja mjibu kwa facts
Good show.
Was she lipsyncing though?
Kuna wapuuzi kama uyo jamaa anafikiri msanii kufanya vizuri ni kushindana kuweka stories instaNaona umempa za uso mambo kama haya ndio napenda mtu akibwabwaja mjibu kwa facts
Huyo davido mwenyewe live band ajui lakini anafanya poa kwenye mziki wasanii wengi tu hapo wamemzidi kwenye kuimba Davido so mzee kufanya vizuri kwenye mziki si kuimba live band tu kuna mengi yanachangia kumfanya msanii awe mkubwaKajitahidi kiasi chake sema naona crowd haimjui maana ninecheki performance ya Davido playlist aliyopanda nayo Jawa, risky, aye na pale ni Lagos crows yote ilisimama inaimba nae. Davido ni khabari ingine mzee mpaka wazungu wanakoma nae halafu wenzetu wakipiga live utapenda na ukitaka kujua mwanamuziki ana kipaji sio kavamia mpe nafasi apige na live band uone.
Hapa kwetu inabidi wajitahidi sana kupiga na live band, backup singers na vyombo. Ifike wakati sasa zuchu agonge nyimbo za kiingereza kwa ajili ya international audience
Davido live mweupe kabisa,kabisa bora Burna.Kajitahidi kiasi chake sema naona crowd haimjui maana ninecheki performance ya Davido playlist aliyopanda nayo Jawa, risky, aye na pale ni Lagos crows yote ilisimama inaimba nae. Davido ni khabari ingine mzee mpaka wazungu wanakoma nae halafu wenzetu wakipiga live utapenda na ukitaka kujua mwanamuziki ana kipaji sio kavamia mpe nafasi apige na live band uone.
Hapa kwetu inabidi wajitahidi sana kupiga na live band, backup singers na vyombo. Ifike wakati sasa zuchu agonge nyimbo za kiingereza kwa ajili ya international audience
Sawa, but we can also be critical.Lets concentrate on her best performance of the night. What matters in showbiz is that you appreciate what you watched. The goal is to keep you entertained.
Sawa, but we can also be critical.
Hata kama ni kwa kumsaidia aendelee zaidi.
Msanii ku lipsync ni scandal.
Haya mambo mnayaendekeza Afrika huku, akitaka kuendelea kwenye level kubwa zaidi duniani, aache ku lipsync. Hilo litamuharibia sifa.
Zuchu ni mdogo bado, anaweza kujiongeza.
Mkisifiasifia tu hamumsaidii kukua.
Hata Beyonce the best performer in the world anafanya lip syncing.Sawa, but we can also be critical.
Hata kama ni kwa kumsaidia aendelee zaidi.
Msanii ku lipsync ni scandal.
Haya mambo mnayaendekeza Afrika huku, akitaka kuendelea kwenye level kubwa zaidi duniani, aache ku lipsync. Hilo litamuharibia sifa.
Zuchu ni mdogo bado, anaweza kujiongeza.
Mkisifiasifia tu hamumsaidii kukua.