Yericho Nyerere siyo familia ya Nyerere.

Yericho Nyerere siyo familia ya Nyerere.

Poppy Hatonn

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2021
Posts
3,095
Reaction score
4,632
Yericko Nyerere sasa hivi anamuunga mkono Mbowe.
Familia ya Nyerere haimpingi Mbowe isipokuwa ni lazima wakati kama huu kusema kwamba tunafuatilia huo Uchaguzi wa Chadema kama wengine wanavyoufuatilia lakini hatuko upande wowote. Atakayeshinda ashinde.
Makundi lazima yawepo katika Chama ndivyo alivyokuwa anasema Bernard Membe. Nani( mjinga) anasema hayapaswi kuwepo makundi katika Chama au yeye atayaondoa makundi katika Chama. Makundi lazima yatakuwepo wakati wa Uchaguzi halafu baada ya Uchaguzi watu watakuja pamoja tena. Ndivyo alivyokuwa anasema Bernard Membe.
Lakini sasa huyu Yericko Nyerere anaposema anamsapoti Mbowe na huyu Yericko Nyerere ana jina linafanana na letu tukikaa kimya itaonyesha tacit support for Mbowe.
Kwa hiyo nilitaka niliweke sawa hili.
Chadema wafanye Uchaguzi kwa amani. Shida yenyewe ni kwamba there is a lot of money involved in these things na watu wengine ni watoto wa wakulima maskini huwezi kawaambia wafanye kampeni za amani.
But you have to understand that a political party is not a military organization.
Mafia,wale Italian Cosa Nostra, wakisajoliwa wanaapa kwenye sanamu ya Mama Mtakatifu, sasa sijui Chadema wao wanaapa wapi.Kwa hiyo watu wadumishe amani.
Pia nimeona familia ya Nyerere tumepongezwa sana last week kwenye mkutano wa Mwamposa baada ya kufika " protocol Toka Ikulu ikiongozwa na Steve Nyerere"
Very funny. Nadhani huwezi kuwazuia wasanii wasifanye mambo haya.
 
Fanyeni jambool mkuu ikiwezekana mlisajiri Jina, Hawa wahuni wanatelezea Ganda la ndizi

A .Nyerere tumekusikia Ila mkipata muda nenedeni mkaiombe mizimu yenu ipate kuwafungulia baraka za kujitambua .

Maana sio tu hamfanani na baba wa Taifa Ila hata mkiongea mkiandika mnatia wasi wasi Sana.
Kokote duniani sijui kama unaweza kudandia jina la Kiongozi wa nchi na ukalazimisha kulitumia kwa nguvu na ubabe wakati wewe sio ukoo huo. Labda wanasheria watuelimishe.
 
Kokote duniani sijui kama unaweza kudandia jina la Kiongozi wa nchi na ukalazimisha kulitumia kwa nguvu na ubabe wakati wewe sio ukoo huo. Labda wanasheria watuelimishe.

Mimi jina langu naitwa Nyerere na nimepewa sasa sijui unataka kusemaje wewe mswahili

Brand za kibiashara ndo zinazingatia majina na sio haya majina ya Nyerere ,Mkapa n.k
 
Kokote duniani sijui kama unaweza kudandia jina la Kiongozi wa nchi na ukalazimisha kulitumia kwa nguvu na ubabe wakati wewe sio ukoo huo. Labda wanasheria watuelimishe.
Kuna dada mmoja marekani anaitwa Teanna Trump mfatilie kazi zake ndio utajua ni kawaida
 
Back
Top Bottom