Yericko Nyerere aandika Kitabu Kipya cha MOSCOW: Operesheni Ukraine

Yericko Nyerere aandika Kitabu Kipya cha MOSCOW: Operesheni Ukraine

Operesheni ilikamilika tangu Octobar 2023, kwasasa kilichopo ni offensive ya Ukraine kujaribu kurejesha Ardhi iliyotwaliwa na wanashindwa hadi leo
Maoni yako tu kipindi vita inaanza ulishaonekana Shabiki kama Mwijaku, hicho unachosema kiliisha October 2023, ulikimaliza wewe? Au warusi wao ni wajinga wanaposema hivi sasa kuwa wanajipanga tena kuyakabili mashambulizi mapya?
Kwani kuna wakati Ukraine aliacha kuwa offensive?
Hiyo operation ameimaliza kwa kurudishwa nyima zaidi?
IMG_1700.jpeg
 
Urusi amewahi kufika?
Ukrain je? Ameongea na viongozi ama raia wa huko Urusi!!
Atakiuza na kule Urusi ili wajijue vizuri? Au janja janja tuu anasomasoma mtandaoni anaunga matukio anatuandikia?
Aandike ya nchi yake zaidi ndiyo yaliyo relevant na waTz
 
Hiyo vita mie ilinishinda kufuatilia baada ya kuona media ziko biased,yaan ukweli unategemeana na Chanzo gani unafuatilia,kila chanzo cha habari na ukweli wake. Propaganda zilikuwa nyingi kuliko Habari.
Hahahahaha..wewe ni kama mimi pia imenishinda maana humu kwenyewe kuna warusi , wa ukaraine , wamarekani wote wajuaji na watu wanaripoti as if wako uwanja wa vita
 
Operesheni ilikamilika tangu Octobar 2023, kwasasa kilichopo ni offensive ya Ukraine kujaribu kurejesha Ardhi iliyotwaliwa na wanashindwa hadi leo
Umeandika kwa lugha gani? Kwa maelezo yako ni wazi kitabu hiki ni chakuisifu Russia
 
Operesheni ilikamilika tangu Octobar 2023, kwasasa kilichopo ni offensive ya Ukraine kujaribu kurejesha Ardhi iliyotwaliwa na wanashindwa hadi leo
Jina la kitabu linatakiwa kuwa kubwa kuliko jina la mtunzi…punguza fonts za jina lako….punguza
 
Urusi alitegemewa kumaliza kila kitu ndani ya wiki moja kama alivyopanga, sio vita vya miaka mitatu sasa.
Vita ya ukraine haitakiwi kuisha wanatakiwa wapigwe kwanzia wao hadi wajukuu ili washike adabu.
 
Back
Top Bottom