Yericko Nyerere aandika Kitabu Kipya cha MOSCOW: Operesheni Ukraine

Yericko Nyerere aandika Kitabu Kipya cha MOSCOW: Operesheni Ukraine

Shoga ni putin alieshindwa kupiga kainchi kadogo siku 3 mpaka sasa mwaka wa 3. Alikavizia usiku usiku angetangaza vita mapema angeona. Shoga putin msafara wake km60 uliteketezwa sijui kama huo uchafu wako umeandika jinsi mlivyoteketezwa pale kyiv
Unaonekana una hasira sana, Ulimia sana Putin kuzuia ushoga?😂
 
Mwaka 2025 nimepanga kutembelea shule nilizosoma nitawabebea zawadi vitabu viwili kila shule kutoka primary hadi chuo sina shaka nitajipatia vitabu 4 ujasusi wa kidola na kiuchumi na vitabu vinne operasheni ukraine, kwaajili ya maktaba kwa shule husika yericko ni mmoja tu nchi hii.
Kusema ukweli nilikua sijui kama operesheni ukraine ilikua imeisha taarifa hii sikuipata vijiweni nimeipata kwa yericko.
Йерико, не уставай писать книги, ты помогаешь Танзании, есть шанс написать много книг по этой области разведки и мировых лидеров, например, коррупция белых и американцев на Ближнем Востоке, развращение евреев в шпионаже, но последнее, но не самое главное, напишите, пожалуйста, книгу о наших исконных религиях, религиях наших предков и духов
 
Utabeba pumba tu hiki kingine bora ujasusi wa kidola alikua na akili bado mwandishi hiki kingine ni story za kuokoteza vijiwe vya kahawa
 
Na ukraine wamekufa wangapi? Muhimu ni kichapo kiendelee ukraine achapike hapohapo nyumbani kwake
Kichapo kinaendelea tuleteeni hao laki3 tuwamalize tena mkakusanye upya tena bada miezi 6. Ukraine imegeuka machinjio ya jeshi la urusi
 
Hivi ni sahihi kitabu kuachiwa kabla ya vita kuisha?

I mean hapa katikati hakuna matukio muhimu ambayo yanaweza kujitokeza na kuwa potential zaidi kwenye kitabu chake?
Hahaha alitaka awe wa kwanza kuandika na kutoa kitabu msije sema ali kopi. Mwenzenu alitamani atoe kitabu hata kabla vita haijaanza wewe unashangaa leo.
 
Mshindi wa Tuzo ya Mwandishi bora wa vitabu barani Afrika na mdau wa JamiiForums ndugu Yericko Nyerere ametangaza leo kuachia kitabu kipya kinachoelezea vita vya Urusi kinachapishwa,

Katika utangulizi wa Kitabu hicho, Yericko Nyerere anasema, Kitabu cha MOSCOW: Operesheni ya Ukraine, ni mahsusi juu ya Oparesheni Maalumu ya Kijeshi ya Urusi nchini Ukraine ya 22 Februari 2022 hadi Octoba 2023, hasa eneo la Mashariki mwa nchi hiyo maarufu kama DONBASS lenye Majimbo ya Donetsk na Luhansk, na Mikoa ya Kherson na Zapolozhye. Kitabu kinaeleza chanzo halisi cha mgogoro wa Ukraine na Urusi kwa ushahidi wa kinyaraka. Kitabu kinaeleza hatua kadha wa kadha zilizochukuliwa na Moscow kabla, wakati na baada ya operesheni hiyo.

Kitabu kinaeleza mtiririko wa mwenendo na matukio halisi kutoka katika uwanja wa mapigano huko Donbass, kutoka ndani na nje ya Ikulu ya Urusi ya Kremlin, kutoka ndani na nje ya Ikulu ya Ukraine, kutoka ndani na nje ya Ikulu ya Marekani ya "White House," na kutoka katika viunga vya Umoja wa Ulaya na NATO ambao kwa PAMOJA Walishirikiana na Ukraine kupambana na Moscow dhidi ya Operesheni hiyo.

Kitabu kina Kurasa 1,400
Sura 1-14,
Marejeo 389
Bei kinauzwa kwa 150,000/=

View attachment 2955976
View attachment 2955977
View attachment 2955978
Ameandikaje kitabu hiki wakati hata Moscow hajawahi kufika!!??

Haya ni maajabu ya karne......lazima amefanya plagiarism huyu
 
Halafu kitajaa uongo mwingi sana kama ilivyo ada ya Putin mwenyewe. Ukiona mtu anatetea sera za Putin na Urusi yake ujue kabisa mtu huyo ana mapungufu makubwa sana kwenye kifuu chake au labda anafanya makusudi tu kuvutia wajinga ilihali yeye mwenyewe akijua kuwa anachotetea siyo cha kweli.
Hii ni personal sana mkuu, kumkashifu mtu kwa opionion zako binafsi
 
Hivi ni sahihi kitabu kuachiwa kabla ya vita kuisha?

I mean hapa katikati hakuna matukio muhimu ambayo yanaweza kujitokeza na kuwa potential zaidi kwenye kitabu chake?
Jamaa anatembea na biti. Fursa hiyo
 
Back
Top Bottom