Kwamba jina la kitabu ni YERICKO NYERERE na mtunzi wake ni MOSCOW OPERESHENI UKRAINEš¤£š¤£.Mshaurini jina la Kitabu lionekane zaidi kuliko jina lake..katika cover ya Kitabu.
Ukiangalia haraka haraka unaweza kudhani jina la Kitabu ni YERICKO NYERERE
Maoni yako tu kipindi vita inaanza ulishaonekana Shabiki kama Mwijaku, hicho unachosema kiliisha October 2023, ulikimaliza wewe? Au warusi wao ni wajinga wanaposema hivi sasa kuwa wanajipanga tena kuyakabili mashambulizi mapya?Operesheni ilikamilika tangu Octobar 2023, kwasasa kilichopo ni offensive ya Ukraine kujaribu kurejesha Ardhi iliyotwaliwa na wanashindwa hadi leo
Anataka hata kikiwa kwa mbali kwenye meza za wauza Vitabu Putin alione jinaMshaurini jina la Kitabu lionekane zaidi kuliko jina lake..katika cover ya Kitabu.
Ukiangalia haraka haraka unaweza kudhani jina la Kitabu ni YERICKO NYERERE
Ukikisoma utakutana na comments zako za humu JafHiki kitabu maelezo yake ameyatoa kwa kupitia video za mtandaoni au kwa kupitia njia ipi?.
Kama anaokoteza habari za mitandaoni,anawezaje kusema ni ukweli halisi wa mambo yaliyopo Ukraine?Hahahahaha...hili nimejiuliza lkn siku hz si kuna mitandao anapita huko amepata
Kwahiyo kaandika akiwa Ukraine? Kwenye mitandao hkn habari za kweli?Kama anaokoteza habari za mitandaoni,anawezaje kusema ni ukweli halisi wa mambo yaliyopo Ukraine?
kitabu mwendokasi/vodafasta hakiwezi kuwa kinene vileKitabu mwendokasi au vodafasta.
Hiyo vita mie ilinishinda kufuatilia baada ya kuona media ziko biased,yaan ukweli unategemeana na Chanzo gani unafuatilia,kila chanzo cha habari na ukweli wake. Propaganda zilikuwa nyingi kuliko Habari.Kwahiyo kaandika akiwa Ukraine? Kwenye mitandao hkn habari za kweli?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Vita itokee Ukraine,mwandishi yupo Kigamboni maisha yake yote. Matango pori ni Sumu.
Hahahahaha..wewe ni kama mimi pia imenishinda maana humu kwenyewe kuna warusi , wa ukaraine , wamarekani wote wajuaji na watu wanaripoti as if wako uwanja wa vitaHiyo vita mie ilinishinda kufuatilia baada ya kuona media ziko biased,yaan ukweli unategemeana na Chanzo gani unafuatilia,kila chanzo cha habari na ukweli wake. Propaganda zilikuwa nyingi kuliko Habari.
Ni sahihi Tu. Hiyo ni Kama first editionHivi ni sahihi kitabu kuachiwa kabla ya vita kuisha?
I mean hapa katikati hakuna matukio muhimu ambayo yanaweza kujitokeza na kuwa potential zaidi kwenye kitabu chake?
Umeandika kwa lugha gani? Kwa maelezo yako ni wazi kitabu hiki ni chakuisifu RussiaOperesheni ilikamilika tangu Octobar 2023, kwasasa kilichopo ni offensive ya Ukraine kujaribu kurejesha Ardhi iliyotwaliwa na wanashindwa hadi leo
Jina la kitabu linatakiwa kuwa kubwa kuliko jina la mtunziā¦punguza fonts za jina lakoā¦.punguzaOperesheni ilikamilika tangu Octobar 2023, kwasasa kilichopo ni offensive ya Ukraine kujaribu kurejesha Ardhi iliyotwaliwa na wanashindwa hadi leo
Mrusi wa Mbutu umesikia kuwa mwaka huu ni mwaka wa Putin kuingia kaburini kwa kuuliwa kama kuku?Operesheni ilikamilika tangu Octobar 2023, kwasasa kilichopo ni offensive ya Ukraine kujaribu kurejesha Ardhi iliyotwaliwa na wanashindwa hadi leo
Urusi alitegemewa kumaliza kila kitu ndani ya wiki moja kama alivyopanga, sio vita vya miaka mitatu sasa.Kitabu cha nini na movie tunaiona live ukraine anavyochezea kichapo
Vita ya ukraine haitakiwi kuisha wanatakiwa wapigwe kwanzia wao hadi wajukuu ili washike adabu.Urusi alitegemewa kumaliza kila kitu ndani ya wiki moja kama alivyopanga, sio vita vya miaka mitatu sasa.