Yericko Nyerere
JF-Expert Member
- Dec 22, 2010
- 17,005
- 20,425
Unaonekana una hasira sana, Ulimia sana Putin kuzuia ushoga?πShoga ni putin alieshindwa kupiga kainchi kadogo siku 3 mpaka sasa mwaka wa 3. Alikavizia usiku usiku angetangaza vita mapema angeona. Shoga putin msafara wake km60 uliteketezwa sijui kama huo uchafu wako umeandika jinsi mlivyoteketezwa pale kyiv
Vp oparesheni ya siku 3 inaendeleeje ya shoga wako putinUnaonekana una hasira sana, Ulimia sana Putin kuzuia ushoga?π
Na ukraine wamekufa wangapi? Muhimu ni kichapo kiendelee ukraine achapike hapohapo nyumbani kwakeBabu putin anakusanya wanajeshi laki3 wapya wale wa kwanza wote wamekwenda na maji zaidi ya laki5
Utabeba pumba tu hiki kingine bora ujasusi wa kidola alikua na akili bado mwandishi hiki kingine ni story za kuokoteza vijiwe vya kahawaMwaka 2025 nimepanga kutembelea shule nilizosoma nitawabebea zawadi vitabu viwili kila shule kutoka primary hadi chuo sina shaka nitajipatia vitabu 4 ujasusi wa kidola na kiuchumi na vitabu vinne operasheni ukraine, kwaajili ya maktaba kwa shule husika yericko ni mmoja tu nchi hii.
Kusema ukweli nilikua sijui kama operesheni ukraine ilikua imeisha taarifa hii sikuipata vijiweni nimeipata kwa yericko.
ΠΠ΅ΡΠΈΠΊΠΎ, Π½Π΅ ΡΡΡΠ°Π²Π°ΠΉ ΠΏΠΈΡΠ°ΡΡ ΠΊΠ½ΠΈΠ³ΠΈ, ΡΡ ΠΏΠΎΠΌΠΎΠ³Π°Π΅ΡΡ Π’Π°Π½Π·Π°Π½ΠΈΠΈ, Π΅ΡΡΡ ΡΠ°Π½Ρ Π½Π°ΠΏΠΈΡΠ°ΡΡ ΠΌΠ½ΠΎΠ³ΠΎ ΠΊΠ½ΠΈΠ³ ΠΏΠΎ ΡΡΠΎΠΉ ΠΎΠ±Π»Π°ΡΡΠΈ ΡΠ°Π·Π²Π΅Π΄ΠΊΠΈ ΠΈ ΠΌΠΈΡΠΎΠ²ΡΡ Π»ΠΈΠ΄Π΅ΡΠΎΠ², Π½Π°ΠΏΡΠΈΠΌΠ΅Ρ, ΠΊΠΎΡΡΡΠΏΡΠΈΡ Π±Π΅Π»ΡΡ ΠΈ Π°ΠΌΠ΅ΡΠΈΠΊΠ°Π½ΡΠ΅Π² Π½Π° ΠΠ»ΠΈΠΆΠ½Π΅ΠΌ ΠΠΎΡΡΠΎΠΊΠ΅, ΡΠ°Π·Π²ΡΠ°ΡΠ΅Π½ΠΈΠ΅ Π΅Π²ΡΠ΅Π΅Π² Π² ΡΠΏΠΈΠΎΠ½Π°ΠΆΠ΅, Π½ΠΎ ΠΏΠΎΡΠ»Π΅Π΄Π½Π΅Π΅, Π½ΠΎ Π½Π΅ ΡΠ°ΠΌΠΎΠ΅ Π³Π»Π°Π²Π½ΠΎΠ΅, Π½Π°ΠΏΠΈΡΠΈΡΠ΅, ΠΏΠΎΠΆΠ°Π»ΡΠΉΡΡΠ°, ΠΊΠ½ΠΈΠ³Ρ ΠΎ Π½Π°ΡΠΈΡ ΠΈΡΠΊΠΎΠ½Π½ΡΡ ΡΠ΅Π»ΠΈΠ³ΠΈΡΡ , ΡΠ΅Π»ΠΈΠ³ΠΈΡΡ Π½Π°ΡΠΈΡ ΠΏΡΠ΅Π΄ΠΊΠΎΠ² ΠΈ Π΄ΡΡ ΠΎΠ²
Kichapo kinaendelea tuleteeni hao laki3 tuwamalize tena mkakusanye upya tena bada miezi 6. Ukraine imegeuka machinjio ya jeshi la urusiNa ukraine wamekufa wangapi? Muhimu ni kichapo kiendelee ukraine achapike hapohapo nyumbani kwake
Ukraine ataendelea kupigiwa sebulen kwake hapohapoKichapo kinaendelea tuleteeni hao laki3 tuwamalize tena mkakusanye upya tena bada miezi 6. Ukraine imegeuka machinjio ya jeshi la urusi
Hilo litakua fundisho kwa mkubwa mwingine kutoingia kichwakichwa kwa wadogo warusi hawatosahau machinjio ya ukraineUkraine ataendelea kupigiwa sebulen kwake hapohapo
Daaah! kama ni first edition,huoni itatugharimu sana sisi wadau?Ni sahihi Tu. Hiyo ni Kama first edition
Hahaha alitaka awe wa kwanza kuandika na kutoa kitabu msije sema ali kopi. Mwenzenu alitamani atoe kitabu hata kabla vita haijaanza wewe unashangaa leo.Hivi ni sahihi kitabu kuachiwa kabla ya vita kuisha?
I mean hapa katikati hakuna matukio muhimu ambayo yanaweza kujitokeza na kuwa potential zaidi kwenye kitabu chake?
Ameandikaje kitabu hiki wakati hata Moscow hajawahi kufika!!??Mshindi wa Tuzo ya Mwandishi bora wa vitabu barani Afrika na mdau wa JamiiForums ndugu Yericko Nyerere ametangaza leo kuachia kitabu kipya kinachoelezea vita vya Urusi kinachapishwa,
Katika utangulizi wa Kitabu hicho, Yericko Nyerere anasema, Kitabu cha MOSCOW: Operesheni ya Ukraine, ni mahsusi juu ya Oparesheni Maalumu ya Kijeshi ya Urusi nchini Ukraine ya 22 Februari 2022 hadi Octoba 2023, hasa eneo la Mashariki mwa nchi hiyo maarufu kama DONBASS lenye Majimbo ya Donetsk na Luhansk, na Mikoa ya Kherson na Zapolozhye. Kitabu kinaeleza chanzo halisi cha mgogoro wa Ukraine na Urusi kwa ushahidi wa kinyaraka. Kitabu kinaeleza hatua kadha wa kadha zilizochukuliwa na Moscow kabla, wakati na baada ya operesheni hiyo.
Kitabu kinaeleza mtiririko wa mwenendo na matukio halisi kutoka katika uwanja wa mapigano huko Donbass, kutoka ndani na nje ya Ikulu ya Urusi ya Kremlin, kutoka ndani na nje ya Ikulu ya Ukraine, kutoka ndani na nje ya Ikulu ya Marekani ya "White House," na kutoka katika viunga vya Umoja wa Ulaya na NATO ambao kwa PAMOJA Walishirikiana na Ukraine kupambana na Moscow dhidi ya Operesheni hiyo.
Kitabu kina Kurasa 1,400
Sura 1-14,
Marejeo 389
Bei kinauzwa kwa 150,000/=
View attachment 2955976
View attachment 2955977
View attachment 2955978
Vp pale Kiev......oparesheni ilifeli au.....mpaka warusi kurudi nyuma??Operesheni ilikamilika tangu Octobar 2023, kwasasa kilichopo ni offensive ya Ukraine kujaribu kurejesha Ardhi iliyotwaliwa na wanashindwa hadi leo
Unaandika na kujijibu π€£π€£π€£Operesheni ilikamilika tangu Octobar 2023, kwasasa kilichopo ni offensive ya Ukraine kujaribu kurejesha Ardhi iliyotwaliwa na wanashindwa hadi leo
Hii ni personal sana mkuu, kumkashifu mtu kwa opionion zako binafsiHalafu kitajaa uongo mwingi sana kama ilivyo ada ya Putin mwenyewe. Ukiona mtu anatetea sera za Putin na Urusi yake ujue kabisa mtu huyo ana mapungufu makubwa sana kwenye kifuu chake au labda anafanya makusudi tu kuvutia wajinga ilihali yeye mwenyewe akijua kuwa anachotetea siyo cha kweli.
ni sawa na kupiga punyeto!!Hivi ni sahihi kitabu kuachiwa kabla ya vita kuisha?
I mean hapa katikati hakuna matukio muhimu ambayo yanaweza kujitokeza na kuwa potential zaidi kwenye kitabu chake?
Ngoja tuone..Ameandikaje kitabu hiki wakati hata Moscow hajawahi kufika!!??
Haya ni maajabu ya karne......lazima amefanya plagiarism huyu
Jamaa anatembea na biti. Fursa hiyoHivi ni sahihi kitabu kuachiwa kabla ya vita kuisha?
I mean hapa katikati hakuna matukio muhimu ambayo yanaweza kujitokeza na kuwa potential zaidi kwenye kitabu chake?
Fantasy kama hizi ni made in Tanzania pekee unazikuta. Mtu yuko Lukuledi, anaandika mambo yanayotokea uwanja wa vita huko Ukraine.Hiki kitabu maelezo yake ameyatoa kwa kupitia video za mtandaoni au kwa kupitia njia ipi?.