Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
yupi huyo ?Kuna mtu humu ana tuzo ya msikiti wa Idrisa kisa kumbeza Nyerere 🤣🤣
Nikikumbuka ID yake tamtag ila ni mcheza baoyupi huyo ?
Yule Kijana Mwanasiasa bora na Mwenye upeo mkubwa wa fikra za mbali za kimaendeleo na ustawi ameibuka kidedeo kwenye Anga za Kimataifa.
Kijana huyu ambaye anaishi Kigamboni na mkulima wa Bamia amewashangaza wengi.
Inadaiwa moja ya sifa iliomnyanya hadi kuwashinda magwiji wengine wa Africa ni uchambuzi bora alioonesha kwenye vitabu kama vile;
1. Ujasusi wa Kidola na Kiuchumi
2. The Strategy: Road to Power
3. n.k
Hongera sana Mwandishi Yericko Nyerere sisi Wanajamii forum tumejivunia ushindi wako.
Tunaendelea kukuunga mkono ktk kuleta mageuzi kwenye fikra za kimaendeleo.
View: https://youtu.be/uygRjQOG07U?si=fld8I_KQVZodmMD6
Mhhh!!!,Hebu mkuu fafanua ilikuwaje kuwaje?.Kuna mtu humu ana tuzo ya msikiti wa Idrisa kisa kumbeza Nyerere [emoji1787][emoji1787]
Hongereni sana kwa UshirikianoHongera kwa Watanzania tuliompigia kura zetu, hazikwenda bure.
Tuzo gani hiyo
Uchama uko wapi kwenye hili jambo?CHADEMA wameshaharibu pongezi kwa kuleta uchama kwenye jambo la Kitaifa
HahahaaaaaKila la heri Yericko vijana muundelee kusoma vitabu na mpate maarifa sio kila siku kubeti tu.
Bush Dokta uchama upo hapa👆👆Chedema imeshinda.
Nami ni miongoni mwa waliompigia kura Nyerere.
Hongera Yereko, hongerara Tanznia![emoji123]
Sent using Jamii Forums mobile app
Mtu baada ya mtu.....nipeni copy
Tuzo hizo zilizoandaliwa na Taasisi ya Tuzo za Zikomo Africa Award ya yenye makao makuu nchini Zambia zimefanyika usiku wa kuamkia leo Jumapili, Novemba 19, 2023 nchini humo.
Mara baada ya kutangazwa mshindi kwa kuwashinda washindani wenzake nane kutoka Botswana, Uganda, Zambia na Zimbabwe, Nyerere amewashukuru Watanzania wote waliompigia kura.
"Asanteni sana Watanzania wote mlionipigia kura, Tanzania imeshinda," amesema Nyerere
Baada ya kutwaa Tuzo hiyo, Nyerere ameikabidhi kwa Balozi wa Tanzania nchini Zambi, Luteni Jenerali Mathew Mkingule aliyekuwapo ukumbini kama ishara ya Itifaki ya Ki-nchi na Balozi akatoa neno la ki-nchi la kumpongeza na kuhamasisha Watanzania wasome na waandike vitabu.
Baadhi ya vitabu alivyoandika ni cha Ujasusi wa Kidola na Kichumi, toleo la 2016, Kitabu cha Mapambano ya Madaraka, toleo la 2017, Kitabu cha Strategy The Road to Power, toleo la 2018 na Kitabu cha Mtu Baada ya Mtu, toleo la 2020.
Mbona mnachafua nyuzi za watu makusudically kabisa yaaani......Kuna mtu humu ana tuzo ya msikiti wa Idrisa kisa kumbeza Nyerere 🤣🤣