Yericko Nyerere ashinda Tuzo ya Mwandishi Bora wa Vitabu Afrika

Yule Kijana Mwanasiasa bora na Mwenye upeo mkubwa wa fikra za mbali za kimaendeleo na ustawi ameibuka kidedeo kwenye Anga za Kimataifa.

Kijana huyu ambaye anaishi Kigamboni na mkulima wa Bamia amewashangaza wengi.

Inadaiwa moja ya sifa iliomnyanya hadi kuwashinda magwiji wengine wa Africa ni uchambuzi bora alioonesha kwenye vitabu kama vile;

1. Ujasusi wa Kidola na Kiuchumi
2. The Strategy: Road to Power
3. n.k

Hongera sana Mwandishi Yericko Nyerere sisi Wanajamii forum tumejivunia ushindi wako.

Tunaendelea kukuunga mkono ktk kuleta mageuzi kwenye fikra za kimaendeleo.

View: https://youtu.be/uygRjQOG07U?si=fld8I_KQVZodmMD6
 
Amewashinda waandishi wengine nane waliokuwa katika kinyanganyiro hicho.
 
Mtu baada ya mtu.....nipeni copy
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…