Yericko nyerere hana sifa hata moja ya kuhoji weledi wa Tundu Lissu ni kijana anaeishi kwa uchawa na ujanja ujanja

Mkuu umemaliza Kila kitu Wala haihitaji uwe na darasa la Saba kujua huyu jamaa hamna kitu heri hata ya bumunda kuliko huyu.

Mimi nilikuwa sijui yote hayo lakini nilibahatika kusoma kitabu chake Cha UJASUSI Ielewa wake binafisi niligundua huyu mwandishi kasimuliwa tu na wazee wajuaji na yeye akaogeza ya kwakwe kihuni kihuni.

Nilijutia sana kupoteza muda kusoma kitabu kile. Hadi nilimwambia alieyenipa sijamuelewa mwandishi wa kitabu hiki na yote yaliyomo yeye mwenyewe akadai alisoma kidogo akaacha ila atakisoma!
 
Kananuka rushwa ya Abdul na Mama.yake
 

Kuna na hili shemeji mwamba pia:



Bila kusahau kuna mstari mwembamba sana baina ya dalali na tapeli!
 
Haahhhhhaaah jamaa umemaliza kilakitu na kitabu chake nachoma moto
Choma mkuu Hela ya mafuta na kutumia hakuna Cha maana mle na utakuwa shahidi ukisoma Kwa kutumia utagundua jamaa Hana uelewa wowote ule isipokuwa amekaa na watu tofauti tofauti wakamsimulia vitu kadhaa wa kadhaa akaongeza na uongo na ujanja ujanja.

Jiulize mtu hajawi ishi urus halafu akuletee kitabu Cha Moscow. Na kwa Uzi wa jamaa hapa nimeamini 300% lile ni bumunda jingine mjini.
 
Uko sahihi, Yericko Nyerere ni mjanja janja tu wa mjini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…