Yericko Nyerere: Kama wewe sio mpiga kura usisogee ukumbi wa kupigia kura Mlimani City

Rangi halisi za akina Mbowe..ndio maana wanasema mlihusika Kwa chacha wangwe na mzee kibao
 
Inaogopesha mkuu, sema tumechelewa kulitambua hili genge linalopigana kufa kupona kumpitisha Mbowe.

Kulamba miguu ya mtu ili ulaji uendelee kuwepo ni mbaya sana na humtoa mtu ufahamu.
Genge la matapeli tupu
 


Hili ni onyo ambalo linatakiwa kuzingatiwa na yoyote asiyependa ulemavu.

Yoyote asiye na watu wanaoweza kumchangia damu. Basi azingatie onyo ili

Chama kimejipanga na kimewekeza nguvu kubwa kwenye usalama wa eneo la uchaguzi.
 
Haka kajamaa bwana eti "tutawanyonya ulimi"🤣🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…