Yericko Nyerere: Kama wewe sio mpiga kura usisogee ukumbi wa kupigia kura Mlimani City

Yericko Nyerere: Kama wewe sio mpiga kura usisogee ukumbi wa kupigia kura Mlimani City

Rangi halisi za akina Mbowe..ndio maana wanasema mlihusika Kwa chacha wangwe na mzee kibao
 
20250120_111343.jpg


Hili ni onyo ambalo linatakiwa kuzingatiwa na yoyote asiyependa ulemavu.

Yoyote asiye na watu wanaoweza kumchangia damu. Basi azingatie onyo ili

Chama kimejipanga na kimewekeza nguvu kubwa kwenye usalama wa eneo la uchaguzi.
 
Haka kajamaa bwana eti "tutawanyonya ulimi"🤣🤣
 
Back
Top Bottom