Ivan Stepanov
JF-Expert Member
- Apr 22, 2023
- 6,799
- 22,209
Na pia usisahau kuwa katika vipindi ambavyo idara imefanya kazi katika viwango vya kutukuka, ilikua chini ya uongoz wa watu toka pande za huko huko. Akima emilio mzena, hans kitine, augustine mahiga etcMbena kwa sifa humuwezi, wanaamini wanajua sana kuliko binadamu yeyote yule. Halafu kazi za ujasusi wanazipenda sana.
Wewe ndiye unayasema hayo.Ni Dhambi Kwa mujibu wa machadomo.
Na wewe umekuwa chawa wa Samia?
Na wamwera jeMbena kwa sifa humuwezi, wanaamini wanajua sana kuliko binadamu yeyote yule. Halafu kazi za ujasusi wanazipenda sana.
Kwa Machadema kumsifia Rais ni Dhambi na lazima uitwe chawa ila Mbowe kusifiwa ni sawa 🤣🤣🤣🤣Wewe ndiye unayasema hayo.
Maccm mna chuki tu na ChademaKwa Machadema kumsifia Rais ni Dhambi na lazima uitwe chawa ila Mbowe kusifiwa ni sawa 🤣🤣🤣🤣
Kama mimi ninavyo mpongeza mama kwa mvua hizi za masika kuja mapema ili tulime mahindiKuwa mpinzania haizuii kupongeza na kukosoa
Ni kawaida kwa mbumbumbu kumchukia mwerevu akidhani kufanya hivyo kutamfanya naye awe mwerevu.Maccm mna chuki tu na Chadema
Kanjanja kawakamata sana baadhi ya watu, wanamuamini kama ni mbobezi wa ujasusi!Huyu kilaza mbona analazimisha vitu hata hajawahi kuwa au kufanya kazi taasisi yeyeto ya usalama let alone sungusungu
Na kielimu ni mweupe kaungaunga upupu wa vyeti mitandaoni hata vya TEKU vina thamani
Well Noted Mkuu....Na pia usisahau kuwa katika vipindi ambavyo idara imefanya kazi katika viwango vya kutukuka, ilikua chini ya uongoz wa watu toka pande za huko huko. Akima emilio mzena, hans kitine, augustine mahiga etc
Tofauti ni nini? Niambie ni technology advancement gani tunayo sisi? US wanadukua mawasiliano ya Chancellor wa Ujerumani bila wao kujua sembuse sisi tunaoshindwa kutengeneza hata machine ya kukoboa mahindi.Sasa miaka hiyo na sasa ni tofauti mno. Ubazungumzia post uhuru where tulikua hatuna technological advanced zozote? Basically ndio tulikuwa chekechea kwenye mambo ya kimataifa. While us was waaay advanced. Simtetei but comparisonzon yako is so off
Tofauti ni nini? Niambie ni technology advancement gani tunayo sisi? US wanadukua mawasiliano ya Chancellor wa Ujerumani bila wao kujua sembuse sisi tunaoshindwa kutengeneza hata machine ya kukoboa mahindi
Hon E President ndiyo nani mkuu?Kwa dhati kabisa nampongeza mfuasi wa Mbowe, ndugu Yeriko kwa kutambua juhudi zinazofanya na serikali ya CCM chini ya Mama Samia Hassan Suluhu. Kaandika hivi kwenye ukurasa wake wa Facebook;
===================
Huu ni ushindi mkubwa sana wa Idara ya Ujasusi nchini Tanzania, Binafsi nafurahi kuona yale niliyoyahubiri kwa miaka 15 na kuyaandikia kitabu cha Ujasusi wa Kidola na Kiuchimi, sasa yanaanza kuzaa matunda.
Nilipongeza uamuzi wa Tz kupeleka majeshi ya ulinzi wa amani DRC, Na leo haya ndio matunda ya Ujasusi wa Kiuchumi.
Well done Community of Intelligence Agencies Of Tanzania (TISS and MI) Well Done Spymaster, Well Done Hon E. President.
Sasa kuna kila dalili njema kwamba Taifa linarejea taratibu na kwa ufanisi kwenye nafasi yake Afrika Mashariki, Kusini mwa Jangwa la Sahara na Afrika kwa Ujumla.
View attachment 2945498
View attachment 2945500
Unaongea maneno mengi lakini mwishoni umekubali so called advanced technology yetu siyo kitu kwa mataifa makubwa kama hoja yangu ya mwanzo. Ukifikiria hata hiyo teknolojia yenye wamebuni wenye inakuwa ujinga mtupu.Kuna mahali nimesema ukiwa advanced kudukuliwa ndio basi? Marekani na advancement zao mpaka leo lakin wanadukuliwa na siri zinaibiwa daily? Kuwa advanced haimaanish ni unakuwa hudukuliki
Nchi ime develop kwa kiasi chake kwa uwezo wake, hawawez kufikia level za mataifa makubwa kwa sasa, but atleast threat za kizaman hazifanikiw kwa sasa
Nadhani wewe ndio hujaelewa na approach from which angle. Read btn the line manUnaongea maneno mengi lakini mwishoni umekubali so called advanced technology yetu siyo kitu kwa mataifa makubwa kama hoja yangu ya mwanzo. Ukifikiria hata hiyo teknolojia yenye wamebuni wenye inakuwa ujinga mtupu.
Inawezekana ilikuwa kweli ila serikali ikaiondoa baada ya pre emptionTANGU apost Ile noti ya uzushi ya Afrika ya Mashariki, nmetokea kumzarau Sana Huyo Jamaa.
Huyo Jamaa mpenda Porojo?!Wewe ndiye unayasema hayo.
Nieleweshe. Inawezekana naongea na mtu asiye na exposure anayeangalia kila kitu from an angle of Bongo and Google.Nadhani wewe ndio hujaelewa na approach from which angle. Read btn the line man
Hao viongozi, hata wafanyakazi wabena wengi sana.Na pia usisahau kuwa katika vipindi ambavyo idara imefanya kazi katika viwango vya kutukuka, ilikua chini ya uongoz wa watu toka pande za huko huko. Akima emilio mzena, hans kitine, augustine mahiga etc