Yericko Nyerere: Kuna kila dalili njema Taifa linarejea kwenye nafasi yake Afrika Mashariki

Yericko Nyerere: Kuna kila dalili njema Taifa linarejea kwenye nafasi yake Afrika Mashariki

Ila huyu jamaa kiukweli ni mweupeeee ukiondoa vistori vyake vya kukopi na kupest sasa anajiona ni CIA
 
We can do much as a country ila the so called wasomi na vichwa kama wamebeba matango pori are always letting us down .
 
Napenda kukwambia kwa sasa afadhali. Mpaka naondoka kwenye service kulikuwa na program wa ku upgrade, na mabadiliko ni makubwa mno leo hii. difference is hawatangazi so walioko nje ya mfumo ni ngumu ku notice hayo
Sawa mkuu.
 
Back
Top Bottom