Yericko Nyerere: Kuna kila dalili njema Taifa linarejea kwenye nafasi yake Afrika Mashariki

Yericko Nyerere: Kuna kila dalili njema Taifa linarejea kwenye nafasi yake Afrika Mashariki

Nieleweshe. Inawezekana naongea na mtu asiye na exposure anayeangalia kila kitu from an angle of Bongo and Google.
Naongea na mtu ambae ana assume aanamjua mtu based on jf comments. Come on man, why nihangaike kukuelewesha wakati una umeshipa jipa majibu yako?
 
Naongea na mtu ambae ana assume aanamjua mtu based on jf comments. Come on man, why nihangaike kukuelewesha wakati una umeshipa jipa majibu yako?
Majibu yako yanaonesha upeo wako kuhusu hili jambo siyo mimi ni wewe.
 
Huyu mswahili anaongea nini wakati wikileaks ilionesha submarine ya US ilikaa mwaka mzima hapo bandari ya Dar es salaam ikisikiliza mazungumzo ya Ikulu wakati wanatamfuta alipo Che Guevara bila mtu yoyote hapa Tanzania kujua. Tunatiana ujinga tu wakati pesa ya ujenzi wa shule hatuna.

Leta evidence
 
Si lazima uwe umepita kwenye hizo taasis ndio uwe na uelewa. Unaweza pita njia nyingine kabisa huko duniani na ukapata picha mambo yanakwendaje

Wapo watanzania wamekuwa trained na USA au nchi nyingine kuwa informer wao and they are paid. Hasa wanafunzi wanaosoma huko nje. Akija TZ anakuwa ni intelligence but sio intelligence ya TZ. Wenzetu wana wigo kubwa na hata viongozi wakubwa tu wengine ni ma agent wa nchi fulani fulani.
 
Na pia usisahau kuwa katika vipindi ambavyo idara imefanya kazi katika viwango vya kutukuka, ilikua chini ya uongoz wa watu toka pande za huko huko. Akima emilio mzena, hans kitine, augustine mahiga etc

Jeshini na Intelligence imejaza sana watu wa huko, sio tu kwa sababu wanapenda hizo kazi. Lakini pia ancestors wao wengi walishaingia back then…. So ile kuingizana, mostly , mtoto wa nyoka ni nyoka

However, by nature , wanapenda hizo kazi na wanajua kuzifanya kwa ustadi wa hali ya juu. Wana vifua vipana. angalia hata major
Generals tulio nao, hukosi mtu wa huko.

Mfano wazaramo, are not suitable kwa hiyo kazi , ni kwa muktadha wa ethinicity yao ; but haina maana kuwa hawapo
 
Napenda kukwambia kwa sasa afadhali. Mpaka naondoka kwenye service kulikuwa na program wa ku upgrade, na mabadiliko ni makubwa mno leo hii. difference is hawatangazi so walioko nje ya mfumo ni ngumu ku notice hayo
Kama ni kweli basi ni jambo jema, ila maadam tunanunua bado teknolojia hizo kwa hao wakubwa, wataendelea kutuuzia zile tolea la zamani wanazoweza kuzidukua.

T14 Armata
 
Wapo watanzania wamekuwa trained na USA au nchi nyingine kuwa informer wao and they are paid. Hasa wanafunzi wanaosoma huko nje. Akija TZ anakuwa ni intelligence but sio intelligence ya TZ. Wenzetu wana wigo kubwa na hata viongozi wakubwa tu wengine ni ma agent wa nchi fulani fulani.
Sleeping agents
 
Wewe Leta evidence, Nenda ukasome WikiLeaks.

Claimer ni wewe, then prove it

Nipo wikileaks . Nilisoma. It was just story and blah blah . They did not put any hard evidence or facts.

Kama sometimes wikileaks au African intelligence ndio reference zako…… then utakuwa una mislead watu

I hope unaelewa maana ya hard evidence , au evidence informed .
 
Wikileaks ingekuwa ni story Assange asingekuwa ana kesi ya espionage huko States. Zile diplomatic cables huwezi kuziita ni blah blah na sitajisumbua kuziweka hapa go and find them your goddam self.
 
Kusifia penye jema sio dhambi, na kukosoa penye baya pia sio dhambi, lakini kupinga kila kitu au kusifia kila kitu ni dalili ya uchizi.
📝🆒🔊👍👌👏👊🤝🙏🎁🛡️
 
Wikileaks ingekuwa ni story Assange asingekuwa ana kesi ya espionage huko States. Zile diplomatic cables huwezi kuziita ni blah blah na sitajisumbua kuziweka hapa go and find them your goddam self.

That is not a reason.. know kuwa sio kila taarifa ni hard facts
 
Mimi nafikiri wewe ndo kilaza..Human Military Intelligence sio kutumikia au kupata mafunzo mahali popote....nenda Gaza kaone kuna mambo yanaishangaza sana Dunia......

Ref Kufufurushwa kwa NDULI
Ndio nyinyi wepesi sana kushikwa akili, ndio maana uchawa umeshamiri
Huyo mbuzi anajua military intelligence ya ugoko
 
Back
Top Bottom