Detective J
JF-Expert Member
- Oct 17, 2016
- 24,058
- 41,518
Naongea na mtu ambae ana assume aanamjua mtu based on jf comments. Come on man, why nihangaike kukuelewesha wakati una umeshipa jipa majibu yako?Nieleweshe. Inawezekana naongea na mtu asiye na exposure anayeangalia kila kitu from an angle of Bongo and Google.
Majibu yako yanaonesha upeo wako kuhusu hili jambo siyo mimi ni wewe.Naongea na mtu ambae ana assume aanamjua mtu based on jf comments. Come on man, why nihangaike kukuelewesha wakati una umeshipa jipa majibu yako?
Then you have bad judgement of characterMajibu yako yanaonesha upeo wako kuhusu hili jambo siyo mimi ni wewe.
Hilo silifahamu mkuuHao viongozi, hata wafanyakazi wabena wengi sana.
Huyu mswahili anaongea nini wakati wikileaks ilionesha submarine ya US ilikaa mwaka mzima hapo bandari ya Dar es salaam ikisikiliza mazungumzo ya Ikulu wakati wanatamfuta alipo Che Guevara bila mtu yoyote hapa Tanzania kujua. Tunatiana ujinga tu wakati pesa ya ujenzi wa shule hatuna.
TANGU apost Ile noti ya uzushi ya Afrika ya Mashariki, nmetokea kumzarau Sana Huyo Jamaa.
Si lazima uwe umepita kwenye hizo taasis ndio uwe na uelewa. Unaweza pita njia nyingine kabisa huko duniani na ukapata picha mambo yanakwendaje
Na pia usisahau kuwa katika vipindi ambavyo idara imefanya kazi katika viwango vya kutukuka, ilikua chini ya uongoz wa watu toka pande za huko huko. Akima emilio mzena, hans kitine, augustine mahiga etc
Kama ni kweli basi ni jambo jema, ila maadam tunanunua bado teknolojia hizo kwa hao wakubwa, wataendelea kutuuzia zile tolea la zamani wanazoweza kuzidukua.Napenda kukwambia kwa sasa afadhali. Mpaka naondoka kwenye service kulikuwa na program wa ku upgrade, na mabadiliko ni makubwa mno leo hii. difference is hawatangazi so walioko nje ya mfumo ni ngumu ku notice hayo
Sleeping agentsWapo watanzania wamekuwa trained na USA au nchi nyingine kuwa informer wao and they are paid. Hasa wanafunzi wanaosoma huko nje. Akija TZ anakuwa ni intelligence but sio intelligence ya TZ. Wenzetu wana wigo kubwa na hata viongozi wakubwa tu wengine ni ma agent wa nchi fulani fulani.
Tumetoka kwenye hoja yako hadi character assessment. Sijui tunaelekea wapi.Then you have bad judgement of character
Sleeping agents
Wewe Leta evidence, Nenda ukasome WikiLeaks.Leta evidence
Naunga Mkono!Na pia usisahau kuwa katika vipindi ambavyo idara imefanya kazi katika viwango vya kutukuka, ilikua chini ya uongoz wa watu toka pande za huko huko. Akima emilio mzena, hans kitine, augustine mahiga etc
Wewe Leta evidence, Nenda ukasome WikiLeaks.
Wikileaks ingekuwa ni story Assange asingekuwa ana kesi ya espionage huko States. Zile diplomatic cables huwezi kuziita ni blah blah na sitajisumbua kuziweka hapa go and find them your goddam self.Claimer ni wewe, then prove it
Nipo wikileaks . Nilisoma. It was just story and blah blah . They did not put any hard evidence or facts.
Kama sometimes wikileaks au African intelligence ndio reference zako…… then utakuwa una mislead watu
I hope unaelewa maana ya hard evidence , au evidence informed .
📝🆒🔊👍👌👏👊🤝🙏🎁🛡️Kusifia penye jema sio dhambi, na kukosoa penye baya pia sio dhambi, lakini kupinga kila kitu au kusifia kila kitu ni dalili ya uchizi.
Wikileaks ingekuwa ni story Assange asingekuwa ana kesi ya espionage huko States. Zile diplomatic cables huwezi kuziita ni blah blah na sitajisumbua kuziweka hapa go and find them your goddam self.
Ndio nyinyi wepesi sana kushikwa akili, ndio maana uchawa umeshamiriMimi nafikiri wewe ndo kilaza..Human Military Intelligence sio kutumikia au kupata mafunzo mahali popote....nenda Gaza kaone kuna mambo yanaishangaza sana Dunia......
Ref Kufufurushwa kwa NDULI
Vipi unataka hadi hili suala likaamuliwe mahakamani ndio utaamini ni fact.That is not a reason.. know kuwa sio kila taarifa ni hard facts