Kawauza wenzake Chauma halafu yeye kapiga zake kimya! Atakuwa amesoma mwelekeo kaona huko Chauma wananchi wala hawana habari. Mwikitio wa wananchi kwa Chauma ungekuwa "positive" huenda angejiunga mapema sana baada ya kuwatanguliza wale virusi G55Mbowe alikuwa mwizi sana pesa zote za chadema alikomba kwenye Account, alipiga udalali wa siasa kwa siri baadae akaja kubainika alipotoka jela akalamba Asali tokea hapo amekuwa Dalali Sugu wa kuidhoofisha chadema kuwauza G55 kwa chauma ubwabwa chama cha majungu na wasaliti watupu
Uonevu wa kuwatesa kuwabambikia kesi chadema haujauona?Matusi ya Wanachadema bhana 😂
Then mkitukana ndo mambo yataenda kwa haki?Uonevu wa kuwatesa kuwabambikia kesi chadema haujauona?
jamaa yupo CHAUMMA lakini obsessed na TAL na CHADEMA!"Watu wengi wamekuwa wakipotosha No Reforms No Election ya Freeman Mbowe ilikuwaje na No Reforms No Election ya Tundu Lissu ikoje. Wanatumia udhaifu wa wanachama kwamba haya yote yalikuwa yameanzishwa na Mbowe na ndiyo hayahaya, si kweli"
Aliyekuwa Kada wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Yericko Nyerere akizungumza hivi karibuni katika Makao Makuu ya Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA) mkoani Dar es Salaam kabla ya kutangaza rasmi kuhamia CHAUMMA.
View attachment 3436644
Akili,mawazo,vita yao iko chademajamaa yupo CHAUMMA lakini obsessed na TAL na CHADEMA!
Kwa hiyo No reforms No Election aliielewa Mbowe peke yake? Na huyu alikuwa Makamu wake kwa hiyo hata yeye hakushirikishwa? Hata Katibu hakuelewa isipokuwa yeye na Mbowe?"Watu wengi wamekuwa wakipotosha No Reforms No Election ya Freeman Mbowe ilikuwaje na No Reforms No Election ya Tundu Lissu ikoje. Wanatumia udhaifu wa wanachama kwamba haya yote yalikuwa yameanzishwa na Mbowe na ndiyo hayahaya, si kweli"
Aliyekuwa Kada wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Yericko Nyerere akizungumza hivi karibuni katika Makao Makuu ya Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA) mkoani Dar es Salaam kabla ya kutangaza rasmi kuhamia CHAUMMA.
View attachment 3436644
Endeleeni kula mema ya nchi, lakini mkumbuke kwamba siku moja, yaja ambayo wote mnaokula kwa ulafi kwa kudhulumu stahiki za wanyonge, mtakuja kulipia ulafi na ufisadi wenu. Mungu hadhihakiwi. Chochote apandacho mtu ndicho atakuja kuvuna kwa wakati wake. Haijalishi itachukua muda mrefu au mfupi kiasi gani? Mafisadi wote mliopo ndani ya CCM jiandaeni kuja kulipia uovu wenu.Matusi ya Wanachadema bhana 😂
Mm n jobless, mm sio chadema wala sio ccm ila mtu akizingua mtasema tuu.Endeleeni kula mema ya nchi, lakini mkumbuke kwamba siku moja, yaja ambayo wote mnaokula kwa ulafi kwa kudhulumu stahiki za wanyonge, mtakuja kulipia ulafi na ufisadi wenu. Mungu hadhihakiwi. Chochote apandacho mtu ndicho atakuja kuvuna kwa wakati wake. Haijalishi itachukua muda mrefu au mfupi kiasi gani? Mafisadi wote mliopo ndani ya CCM jiandaeni kuja kulipia uovu wenu.
Kutukana sio uungwana. Na wanaofanya hivyo wanakosea. Lakini ujumbe unafika japo kwa njia isiyo ya kiungwana,- na hiyo inatokana na hasira ambazo zimesababishwa na wahuni walishika hatamu za utawalaThen mkitukana ndo mambo yataenda kwa haki?
Nonsensical crap"Watu wengi wamekuwa wakipotosha No Reforms No Election ya Freeman Mbowe ilikuwaje na No Reforms No Election ya Tundu Lissu ikoje. Wanatumia udhaifu wa wanachama kwamba haya yote yalikuwa yameanzishwa na Mbowe na ndiyo hayahaya, si kweli"
Aliyekuwa Kada wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Yericko Nyerere akizungumza hivi karibuni katika Makao Makuu ya Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA) mkoani Dar es Salaam kabla ya kutangaza rasmi kuhamia CHAUMMA.
View attachment 3436644
Mbona hukuzungumzia uchaguzi wa 2024 hicho kikundi chenu kilikuwa hakijaundwa?"Watu wengi wamekuwa wakipotosha No Reforms No Election ya Freeman Mbowe ilikuwaje na No Reforms No Election ya Tundu Lissu ikoje. Wanatumia udhaifu wa wanachama kwamba haya yote yalikuwa yameanzishwa na Mbowe na ndiyo hayahaya, si kweli"
Aliyekuwa Kada wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Yericko Nyerere akizungumza hivi karibuni katika Makao Makuu ya Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA) mkoani Dar es Salaam kabla ya kutangaza rasmi kuhamia CHAUMMA.
View attachment 3436644
usikute mbowe anakasukuma kinyesi aka kambilikimo"Watu wengi wamekuwa wakipotosha No Reforms No Election ya Freeman Mbowe ilikuwaje na No Reforms No Election ya Tundu Lissu ikoje. Wanatumia udhaifu wa wanachama kwamba haya yote yalikuwa yameanzishwa na Mbowe na ndiyo hayahaya, si kweli"