GE2025 Yericko Nyerere: Lissu amepotosha 'No Reforms No Election', hakumwelewa Mbowe

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
"Watu wengi wamekuwa wakipotosha No Reforms No Election ya Freeman Mbowe ilikuwaje na No Reforms No Election ya Tundu Lissu ikoje. Wanatumia udhaifu wa wanachama kwamba haya yote yalikuwa yameanzishwa na Mbowe na ndiyo hayahaya, si kweli"

Aliyekuwa Kada wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Yericko Nyerere akizungumza hivi karibuni katika Makao Makuu ya Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA) mkoani Dar es Salaam kabla ya kutangaza rasmi kuhamia CHAUMMA.

View attachment 3436644
Huyu jamaa ni bonge la mjinga, anaonyesha hizi falsafa zinatekezwa kwa mtazamo wa kiongozi, na sio wanachama. Hata ni kwa mtazamo wa viongozi, basi hii ya Lisu tumeikubali zaidi wanacdm kuliko hiyo ya Mbowe.
 
"Watu wengi wamekuwa wakipotosha No Reforms No Election ya Freeman Mbowe ilikuwaje na No Reforms No Election ya Tundu Lissu ikoje. Wanatumia udhaifu wa wanachama kwamba haya yote yalikuwa yameanzishwa na Mbowe na ndiyo hayahaya, si kweli"

Aliyekuwa Kada wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Yericko Nyerere akizungumza hivi karibuni katika Makao Makuu ya Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA) mkoani Dar es Salaam kabla ya kutangaza rasmi kuhamia CHAUMMA.

View attachment 3436644
hana marinda huyu
 
Back
Top Bottom