Yericko Nyerere, tweet yako inaweza kukuletea shida kwanini ina tuhuma nzito kwa muhusika

Kuna uongo katika tuhuma hizo?
Kama kuna ukweli nenda mahakamani kazithibitishe. Usije ukawa kama jirani yangu Mwakiaba, aliyekuwa Mwenyekiti wa Mtaa wa Nyahingi hapa Jijini Mwanza kupitia Chadema kajifanya mjuaji karopoka. Kapelekwa mahakamani athibitishe, akabaki analia tu. Kahukumiwa, mke wake akaanza kupitisha daftari mtaani tumchangie asifungwe. Leo kimya!!!!!
 

Mkuu US waliweka wazi kwanini walimzuia kuingia US ,moja ya issue kubwa ni kudhulumu haki ya kuishi ya baadhi ya watu(Simple ni Kuua)...Kwahiyo Yericko Nyerere yuko sahihi.
 
Je, Wewe ni DCI / Mkurugenzi wa PCCB?
 
"Mfumo wa haki"!!! "Justice system"
Nadhani umejielekeza vibaya "common law" is very different na hicho ulicho maanisha.
Pili kama aliyetajwa anaona hakutendewa haki/kaonewa/kadhalilishwa akafungue shauri mahakamani dhidi ya yerico for the record
membe versus musiba & f.karume vrs musiba wote wamemshtaki msiba kwa mazingira yanayofanana na hayo.
NB: siungi mkono kudhalilisha watu mitandaoni
 
Hii hapa
 
Yeriko kamtaja Paulo Makonda kwenye tweet, huyu mnayemtetea ni Paul Makonda.

Hili kitaalamu tunaliitaje..?
 
Ndio mkuu.

Askofu Rashidi na Askofu Rashid ni watu wawili tofauti
Hapana bwana.

Inaweza ulizwa kisemantiki Rashidi na Rashid zina tofauti? Mfano Rashidi ni jina la kinywaji na Rashid ndiyo jina la binadamu. Ikionekana semantically haipo hivyo inakua concluded hivyo viwili vinabeba maana moja.

Ndiyo kwenye Paulo na Paul. Semantically zina maana tofauti? Haziwakilishi same entity yaani jina la binadamu?

Lisu alichomoka easily kwenye JPM kwavile ni kifupi na haihold water semantically kusema inamaanisha kitu kimoja.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…