Yericko Nyerere, tweet yako inaweza kukuletea shida kwanini ina tuhuma nzito kwa muhusika

Yericko Nyerere, tweet yako inaweza kukuletea shida kwanini ina tuhuma nzito kwa muhusika

Mkuu Pascal Mayalla tunaomba majibu yako juu ya hili.

Huyu mtoa maoni anauliza nini tofauti ya tuhuma ulizomshushia Kabendera humu humu JF

Sote tunakumbuka kwamba ni baada ya tuhuma zako nzito dhidi ya mwandishi mwenzako yakamfika yaliyomfika.

Mm Sexless na-declare interest kwa mara nyingine tena kwamba ni shabiki yako mkubwa.
Nitakushukuru kama ukiniwekea tuhuma hata moja tuu

P
 
Nitakushukuru kama ukiniwekea tuhuma hata moja tuu

P

Naunga mkono hoja, Tanzania inafuata mfumo wa haki wa Uingereza unaofuatwa katika nchi zote za Jumuiya ya Madola, ambao unasema,
  1. Watu wote ni sawa mbele ya sheria
  2. Kila mtu ni innocent until proven guilty
  3. Mtu hatashitakiwa mara mbili kwa kosa lile lile
  4. The one who alleges, must prove
  5. The burden of proof lies with the prosecution
  6. Every body is entitled of fair trial
  7. Na mengine mengi
Hivyo ukitoa tuhuma zozote in public, hakikisha una ushahidi, hata ukiulizwa unaweza kuthibitisha.

Ushauri kama huu, niliwahi kuutoa humu
P
Pasco U DC umeukosa Mkuu,
 
Kwenye kila story ya The Economist, wanaweka jina la mwandishi, kwenye hizo makala kuna yoyote yeye ndie alikuwa mwandishi?.
P
 
Nimeona umeandika ujumbe katika mtandao wa twitter huku ukimshushia tuhuma nzito yule RC wa zamani mwenye kashifa nyingi pengine kuliko wote.

Wasiwasi wangu ni wahusika kukuhitaji wakitaka utoe ushahidi wa tuhuma ulizotoa ingawa si mpya kwani ni wengi wanamtuhumu ila wewe umekwenda mbali kwa kumtaja moja kwa moja.

Hata hivyo, maadam umetaja jina tu bila kuweka cheo alichokuwa nacho, unaweza ukawageuzi kibao kwa kuwataka waseme wamejuje kuwa umemlenga yeye kwani jina kama hilo linaweza kuwa ni la mtu zaidi ya mmoja.

Pia, umekuwa mjanja katika kutaja (kuandika) first name ya muhusika, hivyo itabidi wafanye kazi ya ziada iwapo watakusudia ku-deal na wewe.

All in all, jipange in case of anything kwani kama wameamua kumlinda, basi wanaweza kuwa wakali kwa yoyote anaemuandama wazi wazi kama ulivyofanya.
Yericko ni TISS, usipoteze muda nae
 
Naunga mkono hoja, Tanzania inafuata mfumo wa haki wa Uingereza unaofuatwa katika nchi zote za Jumuiya ya Madola, ambao unasema,
  1. Watu wote ni sawa mbele ya sheria
  2. Kila mtu ni innocent until proven guilty
  3. Mtu hatashitakiwa mara mbili kwa kosa lile lile
  4. The one who alleges, must prove
  5. The burden of proof lies with the prosecution
  6. Every body is entitled of fair trial
  7. Na mengine mengi
Hivyo ukitoa tuhuma zozote in public, hakikisha una ushahidi, hata ukiulizwa unaweza kuthibitisha.

Ushauri kama huu, niliwahi kuutoa humu
P
Ukiambiwa father P teuzi za maDC napo wamekusahau,sio fea kabisa.
Wanamteua Mchopanga wanakuacha jembe letu?
 
Nimeona umeandika ujumbe katika mtandao wa twitter huku ukimshushia tuhuma nzito yule RC wa zamani mwenye kashifa nyingi pengine kuliko wote.

Wasiwasi wangu ni wahusika kukuhitaji wakitaka utoe ushahidi wa tuhuma ulizotoa ingawa si mpya kwani ni wengi wanamtuhumu ila wewe umekwenda mbali kwa kumtaja moja kwa moja.

Hata hivyo, maadam umetaja jina tu bila kuweka cheo alichokuwa nacho, unaweza ukawageuzi kibao kwa kuwataka waseme wamejuje kuwa umemlenga yeye kwani jina kama hilo linaweza kuwa ni la mtu zaidi ya mmoja.

Pia, umekuwa mjanja katika kutaja (kuandika) first name ya muhusika, hivyo itabidi wafanye kazi ya ziada iwapo watakusudia ku-deal na wewe.

All in all, jipange in case of anything kwani kama wameamua kumlinda, basi wanaweza kuwa wakali kwa yoyote anaemuandama wazi wazi kama ulivyofanya.
Acha kuhangaika na Yericko mkuu,he is a stateman!!
 
Pascal Mayala , Salute kwako Mimi ni mmoja wa watu wanaokukubali Sana maana mchango wako kwa nchi yetu ni mkubwa Sana ,hongera Sana.Lakini shida yangu kwako wewe ni MBINAFISI Sana inakuaje wewe ni mwanasheria mzuri kiasi hicho na sheria unazijua vizuri lakini hutaki kuingia na kuitumikia taaluma yako mahakamani kama wakili?

Nchi yetu inakuhitaji Sana kwenye hiyo kazi kwa maana bado tuna mambo mengi ya kufanya kama vile katiba mpya.
Nakuomba Sana na kwa unyenyekevu mkubwa uingie kwenye hii taaluma mchango wako unahitajika Sana.[emoji122][emoji122].
Paschal Mpaka sasa ajajuaga anataka nini! Anasema alisoma tu kama leasure.
 
Back
Top Bottom