Yericko Nyerere, tweet yako inaweza kukuletea shida kwanini ina tuhuma nzito kwa muhusika

Majina mengi tu ya watu yanatofautishwa na herufi moja.

Hili sina shaka nalo kabisa ingawa ukianza kuchambua kisarufi ndio utaleta maana unayoizungumzia hapo.

Mamlaka zetu za Elimu zinatutaka majina yetu yote yafanane kwa kila hatua ya Elimu unayopita, herufi moja ikitofautiana huwa jina linakuwa tofauti.

Kwa mantiki hiyo Yeriko kacheza kama Pele
 
Tangu ashuhwe kileleni, dhahama pia zilipotea tangia siku hiyo ya kushushwa.
 
Ooh haya sawa
 
Kumbe una hadithi nzuri hivi!
 
Alipigwa Faini Ya Uongo na Mahakama??Funguka
 
Mbona kama taarifa haijakamilika au ina hang hang tu.
 
Ungeongea nae hukohuko Twitter au kwa njia nyingine badala ya kutushirikisha humu jf kwa jambo kama hili. Lisilo na kichwa wala miguu!

Sent from my G80 using JamiiForums mobile app
 

Endelea kufarijika na taarifa hii ya Marekani kama unajua vema kusoma kiingereza utaelewa....
 
All in all, jipange in case of anything kwani kama wameamua kumlinda, basi wanaweza kuwa wakali kwa yoyote anaemuandama wazi wazi kama ulivyofanya.
Huu ndio ukweli wameamua kumlinda muuaji Bashite kwa kua ni shoga ake / ”shostito” na Samia. Watanzania sio wajinga.
 
Vp kuhusu kabendera hukumtendea haki mwandishi mwenzako ujue
Mkuu Pascal Mayalla tunaomba majibu yako juu ya hili.

Huyu mtoa maoni anauliza nini tofauti ya tuhuma ulizomshushia Kabendera humu humu JF na tuhuma za Yericko kwa Makonda?

Sote tunakumbuka kwamba ni baada ya tuhuma zako nzito dhidi ya mwandishi mwenzako yakamfika yaliyomfika.

Mm Sexless na-declare interest kwa mara nyingine tena kwamba ni shabiki yako mkubwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…