Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 53,857
- 121,995
Nitakushukuru kama ukiniwekea tuhuma hata moja tuuMkuu Pascal Mayalla tunaomba majibu yako juu ya hili.
Huyu mtoa maoni anauliza nini tofauti ya tuhuma ulizomshushia Kabendera humu humu JF
Sote tunakumbuka kwamba ni baada ya tuhuma zako nzito dhidi ya mwandishi mwenzako yakamfika yaliyomfika.
Mm Sexless na-declare interest kwa mara nyingine tena kwamba ni shabiki yako mkubwa.
Umeiva?Jamaa kwani simu yako haina uwezo wa screenshot? Kila siku tunakwambia taarifa kama hizo lete na screenshot.
Utanikimbia hadi lini?
Nitakushukuru kama ukiniwekea tuhuma hata moja tuu
P
Pasco U DC umeukosa Mkuu,Naunga mkono hoja, Tanzania inafuata mfumo wa haki wa Uingereza unaofuatwa katika nchi zote za Jumuiya ya Madola, ambao unasema,
Hivyo ukitoa tuhuma zozote in public, hakikisha una ushahidi, hata ukiulizwa unaweza kuthibitisha.
- Watu wote ni sawa mbele ya sheria
- Kila mtu ni innocent until proven guilty
- Mtu hatashitakiwa mara mbili kwa kosa lile lile
- The one who alleges, must prove
- The burden of proof lies with the prosecution
- Every body is entitled of fair trial
- Na mengine mengi
Ushauri kama huu, niliwahi kuutoa humu
PTuacheni ramli chonganishi: Tusihukumu tusije tukahukumiwa. Karma ndio pekee hutoa hukumu ya haki hapa duniani!
Wanabodi, Hili ni bandiko la wito wa Tuacheni Ramli Chonganishi Kuhusu Mhusika wa Shambulizi la Risasi kwa Mhe. Tundu Lissu, kupotea kwa mwana jf maarufu Ben Saanane, kupotea kwa mwanahabari Azory Gwanda, kuibuliwa kwa miili yenye majeraha kwenye viroba, au vitendo vingine vyovyote vya...www.jamiiforums.com
Bado kuna maDED na maDAS atapata tuPasco U DC umeukosa Mkuu,
Kwenye kila story ya The Economist, wanaweka jina la mwandishi, kwenye hizo makala kuna yoyote yeye ndie alikuwa mwandishi?.The Economist na Mauongo Yao Kuihusu Tanzania: Waidanganya Dunia Tuna Torture Wakimbizi! Wanapata Faida Gani? Kwanini Tunanyamazia Uongo Huu?
Wanabodi, Kila mara nasisitiza humu, uongo ukisemwa sana, na kuachwa kujirudia rudia bila kukanushwa, mwishowe uongo huo hugeuka ukweli. Na uongo ambao ni uongo mtupu, ukisemwa kuwa kitu fulani kitatokea, tusipo kanusha uongo huo, halafu hicho kitu kikaja kutokea kweli, then, kufuatia kuanuni...www.jamiiforums.com
Pascal Mayalla ndiye aliyemchongea Erick Kabendera kwa dola
Huwezi elewa kwani hujataka kuelewa...tumzike mama mayala ama njaa Kali kafaidika na alichotaka Pascal ninaweza kuwa sikubaliani naye kwenye mambo mengi, ni kawaida, ila kwa hili hapana. Sioni kosa lake. Nimesoma comments hapo juu sioni yeyote aliyeleta ushahidi wa Pascal kumfanyia snitching...www.jamiiforums.com
No idea, no comment sir. Perhaps I misconceived the two threads.Kwenye kila story ya The Economist, wanaweka jina la mwandishi, kwenye hizo makala kuna yoyote yeye ndie alikuwa mwandishi?.
P
Tena waziwaziii watu hawaogopi!Daudi Albert Bashite
Roho za uliowaua zinakulilia!
Yericko ni TISS, usipoteze muda naeNimeona umeandika ujumbe katika mtandao wa twitter huku ukimshushia tuhuma nzito yule RC wa zamani mwenye kashifa nyingi pengine kuliko wote.
Wasiwasi wangu ni wahusika kukuhitaji wakitaka utoe ushahidi wa tuhuma ulizotoa ingawa si mpya kwani ni wengi wanamtuhumu ila wewe umekwenda mbali kwa kumtaja moja kwa moja.
Hata hivyo, maadam umetaja jina tu bila kuweka cheo alichokuwa nacho, unaweza ukawageuzi kibao kwa kuwataka waseme wamejuje kuwa umemlenga yeye kwani jina kama hilo linaweza kuwa ni la mtu zaidi ya mmoja.
Pia, umekuwa mjanja katika kutaja (kuandika) first name ya muhusika, hivyo itabidi wafanye kazi ya ziada iwapo watakusudia ku-deal na wewe.
All in all, jipange in case of anything kwani kama wameamua kumlinda, basi wanaweza kuwa wakali kwa yoyote anaemuandama wazi wazi kama ulivyofanya.
Ukiambiwa father P teuzi za maDC napo wamekusahau,sio fea kabisa.Naunga mkono hoja, Tanzania inafuata mfumo wa haki wa Uingereza unaofuatwa katika nchi zote za Jumuiya ya Madola, ambao unasema,
Hivyo ukitoa tuhuma zozote in public, hakikisha una ushahidi, hata ukiulizwa unaweza kuthibitisha.
- Watu wote ni sawa mbele ya sheria
- Kila mtu ni innocent until proven guilty
- Mtu hatashitakiwa mara mbili kwa kosa lile lile
- The one who alleges, must prove
- The burden of proof lies with the prosecution
- Every body is entitled of fair trial
- Na mengine mengi
Ushauri kama huu, niliwahi kuutoa humu
PTuacheni ramli chonganishi: Tusihukumu tusije tukahukumiwa. Karma ndio pekee hutoa hukumu ya haki hapa duniani!
Wanabodi, Hili ni bandiko la wito wa Tuacheni Ramli Chonganishi Kuhusu Mhusika wa Shambulizi la Risasi kwa Mhe. Tundu Lissu, kupotea kwa mwana jf maarufu Ben Saanane, kupotea kwa mwanahabari Azory Gwanda, kuibuliwa kwa miili yenye majeraha kwenye viroba, au vitendo vingine vyovyote vya...www.jamiiforums.com
Acha kuhangaika na Yericko mkuu,he is a stateman!!Nimeona umeandika ujumbe katika mtandao wa twitter huku ukimshushia tuhuma nzito yule RC wa zamani mwenye kashifa nyingi pengine kuliko wote.
Wasiwasi wangu ni wahusika kukuhitaji wakitaka utoe ushahidi wa tuhuma ulizotoa ingawa si mpya kwani ni wengi wanamtuhumu ila wewe umekwenda mbali kwa kumtaja moja kwa moja.
Hata hivyo, maadam umetaja jina tu bila kuweka cheo alichokuwa nacho, unaweza ukawageuzi kibao kwa kuwataka waseme wamejuje kuwa umemlenga yeye kwani jina kama hilo linaweza kuwa ni la mtu zaidi ya mmoja.
Pia, umekuwa mjanja katika kutaja (kuandika) first name ya muhusika, hivyo itabidi wafanye kazi ya ziada iwapo watakusudia ku-deal na wewe.
All in all, jipange in case of anything kwani kama wameamua kumlinda, basi wanaweza kuwa wakali kwa yoyote anaemuandama wazi wazi kama ulivyofanya.
Ni TISS aliyechangamka mkuuYericko ni TISS, usipoteze muda nae
HahahahaBado kuna maDED na maDAS atapata tu
Kajinyonge!
Unaweza kuthibitisha hiyo kauli yako ndugu?Yericko ni TISS, usipoteze muda nae
Paschal Mpaka sasa ajajuaga anataka nini! Anasema alisoma tu kama leasure.Pascal Mayala , Salute kwako Mimi ni mmoja wa watu wanaokukubali Sana maana mchango wako kwa nchi yetu ni mkubwa Sana ,hongera Sana.Lakini shida yangu kwako wewe ni MBINAFISI Sana inakuaje wewe ni mwanasheria mzuri kiasi hicho na sheria unazijua vizuri lakini hutaki kuingia na kuitumikia taaluma yako mahakamani kama wakili?
Nchi yetu inakuhitaji Sana kwenye hiyo kazi kwa maana bado tuna mambo mengi ya kufanya kama vile katiba mpya.
Nakuomba Sana na kwa unyenyekevu mkubwa uingie kwenye hii taaluma mchango wako unahitajika Sana.[emoji122][emoji122].
Labda TISS ya Tanzania Institute of Social StudyUnaweza kuthibitisha hiyo kauli yako ndugu?