YERIKO NYERERE ADAI WANA YANGA WAMETAPELIWA LEO

View attachment 2328749
Yerico Nyerere saa ingine anajidhalilisha sana. Anapenda kutafuta kiki za kingese sana

Mleta uzi na wewe chunguzaga vitu kabla ya kuingizwa machaka na mapimbi
sasa huo ndiyo mkataba? si bora hata ile jezi imependeza zaidi ? we unaona maandishi hapo? au hadi tu zoom, embu semeni kwanza ni benki gani ita process yaliyomo kwenye huu mkataba kuhusu hela
 
Mental case.
Labda kwa Pwagu Hersi sitasikitika kusikia ni mental case maana mshauri wake mkuu ni pwaguzi sope takadini ila kwa Kelvin Twissa kucheza deal la kutapeli umma wa watanzania hadharani kiasi hiki inasikitisha sana
 
Wanapotuita sisi ni mambumbumbu leo nimeamini sababu ya aina ys watu tulionao huku simba ndo maana tunaitwa makolo yani matakataka
 
Wanapotuita sisi ni mambumbumbu leo nimeamini sababu ya aina ys watu tulionao huku simba ndo maana tunaitwa makolo yani matakataka
jikite kwenye hoja wewe, hiyo jezi ndiyo mkataba huo? mkataba tumeonyeshwa cover tu kumbe ndani ni makaratasi matupu? tunataka na jina la benki itakayo process malipo
 
Huu ni mkataba wa kimahusiano we punguwani,Kwa namna nyingine unaweza ukasema Yanga ndo imefuata huduma Kwa Jackson group
 
Huu ni mkataba wa kimahusiano we punguwani,Kwa namna nyingine unaweza ukasema Yanga ndo imefuata huduma Kwa Jackson group
ndiyo wasaini kwenye jezi? na cover tukaonyeshwa kumbe ndani ni empty pages?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…