WAZO2010
JF-Expert Member
- Feb 19, 2021
- 1,615
- 3,784
Uliona dunia gani ??ndiyo mkataba huo au cover tu? wekeni mkataba kifungu kwa kifungu na account ya benki na jina la benki inayohusika ku process huu utapeli
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uliona dunia gani ??ndiyo mkataba huo au cover tu? wekeni mkataba kifungu kwa kifungu na account ya benki na jina la benki inayohusika ku process huu utapeli
sasa huo ndiyo mkataba? si bora hata ile jezi imependeza zaidi ? we unaona maandishi hapo? au hadi tu zoom, embu semeni kwanza ni benki gani ita process yaliyomo kwenye huu mkataba kuhusu helaView attachment 2328749
Yerico Nyerere saa ingine anajidhalilisha sana. Anapenda kutafuta kiki za kingese sana
Mleta uzi na wewe chunguzaga vitu kabla ya kuingizwa machaka na mapimbi
Unaleta utoto sasa, kwaherisasa huo ndiyo mkataba? si bora hata ile jezi imependeza zaidi ? we unaona maandishi hapo? au hadi tu zoom, embu semeni kwanza ni benki gani ita process yaliyomo kwenye huu mkataba kuhusu hela
Yap seriousness ipo kwa kusubiria kuona matokeo ya tender sio mkataba wa tender.kuwa serious bwashee
kwaheri mkuu, tunajaribu kuyahoji tu ambayo utopolo siku zote wanahoji kwenye deals za simba msikasirike tuvumilianeUnaleta utoto sasa, kwaheri
Yericko aliwahi kumiliki akili lini?Eti hao ndio Thinking Tanks ya CDMView attachment 2328728
Sasa mkuu mbona mmeiga matapeli simba kuonyesha jezi badala ya mkataba yaani mmeonyesha cover tu kumbe ndani ni empty pages?Yericko aliwahi kumiliki akili lini?
Mental case.Sasa mkuu mbona mmeiga matapeli simba kuonyesha jezi badala ya mkataba yaani mmeonyesha cover tu kumbe ndani ni empty pages?
Labda kwa Pwagu Hersi sitasikitika kusikia ni mental case maana mshauri wake mkuu ni pwaguzi sope takadini ila kwa Kelvin Twissa kucheza deal la kutapeli umma wa watanzania hadharani kiasi hiki inasikitisha sanaMental case.
jikite kwenye hoja wewe, hiyo jezi ndiyo mkataba huo? mkataba tumeonyeshwa cover tu kumbe ndani ni makaratasi matupu? tunataka na jina la benki itakayo process malipoWanapotuita sisi ni mambumbumbu leo nimeamini sababu ya aina ys watu tulionao huku simba ndo maana tunaitwa makolo yani matakataka
Manara atatutesa sanaZeru square, alhaji sope takadini linasemaje kuhusu kuonyeshwa jezi badala ya mkataba na account ya benki itakayotumika kwenye utapeli huu uliosainiwa leo?
Hizo ni jezisasa huo ndiyo mkataba? si bora hata ile jezi imependeza zaidi ? we unaona maandishi hapo? au hadi tu zoom, embu semeni kwanza ni benki gani ita process yaliyomo kwenye huu mkataba kuhusu hela
Huu ni mkataba wa kimahusiano we punguwani,Kwa namna nyingine unaweza ukasema Yanga ndo imefuata huduma Kwa Jackson groupBaada ya simba kuonyesha jezi kwenye mkataba wa m-bet wana utopolo wakiongozwa na kubwa la ma NINCOMPOOPS Alhaji sope takadini zeru square waliwasikitikia sana wanasimba kwamba wametapeliwa kwa kuwa hawakuonyeshwa mkataba wakaishia kuonyeshwa jezi
Sasa ukishangaa ya Pwaguzi albino shangaa ya Pwagu Hersi, leo badala ya wana utopolo kuonyeshwa mkataba wameambulia kuonyeshwa jezi , jingaz kabisa
View attachment 2328713
ndiyo wasaini kwenye jezi? na cover tukaonyeshwa kumbe ndani ni empty pages?Huu ni mkataba wa kimahusiano we punguwani,Kwa namna nyingine unaweza ukasema Yanga ndo imefuata huduma Kwa Jackson group
alhaji sope takadini, kweli kabisaManara atatutesa sana