YERIKO NYERERE ADAI WANA YANGA WAMETAPELIWA LEO

YERIKO NYERERE ADAI WANA YANGA WAMETAPELIWA LEO

View attachment 2328749
Yerico Nyerere saa ingine anajidhalilisha sana. Anapenda kutafuta kiki za kingese sana

Mleta uzi na wewe chunguzaga vitu kabla ya kuingizwa machaka na mapimbi
sasa huo ndiyo mkataba? si bora hata ile jezi imependeza zaidi ? we unaona maandishi hapo? au hadi tu zoom, embu semeni kwanza ni benki gani ita process yaliyomo kwenye huu mkataba kuhusu hela
 
Mental case.
Labda kwa Pwagu Hersi sitasikitika kusikia ni mental case maana mshauri wake mkuu ni pwaguzi sope takadini ila kwa Kelvin Twissa kucheza deal la kutapeli umma wa watanzania hadharani kiasi hiki inasikitisha sana
 
Wanapotuita sisi ni mambumbumbu leo nimeamini sababu ya aina ys watu tulionao huku simba ndo maana tunaitwa makolo yani matakataka
 
Wanapotuita sisi ni mambumbumbu leo nimeamini sababu ya aina ys watu tulionao huku simba ndo maana tunaitwa makolo yani matakataka
jikite kwenye hoja wewe, hiyo jezi ndiyo mkataba huo? mkataba tumeonyeshwa cover tu kumbe ndani ni makaratasi matupu? tunataka na jina la benki itakayo process malipo
 
Baada ya simba kuonyesha jezi kwenye mkataba wa m-bet wana utopolo wakiongozwa na kubwa la ma NINCOMPOOPS Alhaji sope takadini zeru square waliwasikitikia sana wanasimba kwamba wametapeliwa kwa kuwa hawakuonyeshwa mkataba wakaishia kuonyeshwa jezi

Sasa ukishangaa ya Pwaguzi albino shangaa ya Pwagu Hersi, leo badala ya wana utopolo kuonyeshwa mkataba wameambulia kuonyeshwa jezi , jingaz kabisa



View attachment 2328713
Huu ni mkataba wa kimahusiano we punguwani,Kwa namna nyingine unaweza ukasema Yanga ndo imefuata huduma Kwa Jackson group
 
Back
Top Bottom