Hismastersvoice
JF-Expert Member
- Jan 26, 2013
- 21,741
- 26,735
Ukweli wako uweke hapa.Muongo muongo tu Jamaa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ukweli wako uweke hapa.Muongo muongo tu Jamaa
Ila Nyerere Yericko hakuna mtu muleNyerere alikuwa akili kubwa
Yericko Nyerere tangu adanganye kuwa hawa wamama wa kariakoo ni masista wa shirika la maryknol ndipo nilipomuona tapeli.Mjumbe wa mikutano mkuu wa CHADEMA Yeriko Nyerere amesema Taarifa za Siri za Shirika la Ujasusi la Marekani CIA za mwaka 1953 zinaonyesha CIA waliamini mtu aliyepaswa kukabidhiwa Nchi ya Tanganyika basda ya wakoloni wa Kiingereza kuondoka ni Kiongozi wa Wachagga Mangi Thomas Mariale
Yeriko Nyerere ameweka Taarifa Ukurasani kwake X
Mlale unono
Kwako Madaraka Nyerere 😄
Kwa mujibu wa Yericko wa Maduma;hizo taarifa amezitoa wapi?Lete ukweli 😄
Aisee aisee aisee, kumbe babu yangu alidhulumiwa eeeh?! Ngoja...Mjumbe wa mikutano mkuu wa CHADEMA Yeriko Nyerere amesema Taarifa za Siri za Shirika la Ujasusi la Marekani CIA za mwaka 1953 zinaonyesha CIA waliamini mtu aliyepaswa kukabidhiwa Nchi ya Tanganyika basda ya wakoloni wa Kiingereza kuondoka ni Kiongozi wa Wachagga Mangi Thomas Mariale
Yeriko Nyerere ameweka Taarifa Ukurasani kwake X
Mlale unono
Kwako Madaraka Nyerere 😄
plus babaake na mbowe walishawishi machief tzNyerere akawazidi akili kina mangi.
kuna watu walikuwa wakorogaji kuna bwana mmoja toka pande kwa wameru alienda dai uhuru wa kaskazini ya arusha watu walishikwa na hasira ushawishi wa mzee aikaeli(rafiki mkubwa wa nyerere) kwa kina mariale na machief wengine wa tz ndo wakakubali nyerere aongoze jahazi wengi mnamsema mariale ila hawakua na huo mpango at the time sababu alikuwa kwenye memorundum of understanding. na wazungu ila pia kuna wazee wakiswahili ndo waliompokea. nyerere mjini na kumuongezea ushawishi(Sykes,said,mohaaa, nk....haikuwa safari ndogoThomas Marealle alitaka Uhuru ucheleweshwe angalau miaka 10 baada ya 1961. Ni kweli kuwa Nyerere njia yake haikuwa nyepesi hasa kipindi cha utawala wa Gavana Edward Twinning.
Pia Machifu wa Tanganyika kipindi hicho walikuwa washirika wa Utawala wa Kikoloni kwa njia ya Indirect Rule na walikuwa na baraza lao(Chiefs Council)
Uwezekano wa Mangi Marealle kuwa chaguo la kuachia nchi ulikuwa mkubwa kwa sababu alikuwa kwenye mfumo na pia alikiwa msomi.
Yeriko anawadanganya wajinga. Kipindi hicho cha ukoloni Uingereza alikuwa na nguvu za kijasusi kuliko hata hao marekani. Waingereza waliijua nguvu ya Nyerere ndo maana wakampa nchi bila kumwaga damu kama kwingine. Julius K Nyerere alikuwa ni akili-kubwa aliwazidi akili machifu wote akiwemo huyo mareale.