Kwa hiyo, Sasa ni zamu ya CHAUMMA nayo kuwafuata aliowataja?Wakuu,
Huyu hapa kada wa CHADEMA aliyehamia CHAUMMA leo, anadai hakukuwa na uhuru wa kutoa mawazo na anasema CHADEMA haitainuka tena kama ilivyokufa NCCR Mageuzi na CUF
View attachment 3433762
Chadema ni watu, Bora life kuliko kukubali kushiriki uchaguzi wa kitapeliWakuu,
Huyu hapa kada wa CHADEMA aliyehamia CHAUMMA leo, anadai hakukuwa na uhuru wa kutoa mawazo na anasema CHADEMA haitainuka tena kama ilivyokufa NCCR Mageuzi na CUF
View attachment 3433762
Mzee wa Mbutu anaongea kinyalu kabisa😃Wakuu,
Huyu hapa kada wa CHADEMA aliyehamia CHAUMMA leo, anadai hakukuwa na uhuru wa kutoa mawazo na anasema CHADEMA haitainuka tena kama ilivyokufa NCCR Mageuzi na CUF
View attachment 3433762
Nani aliyekiua? Wafuasi wa mbowe ndo wa kulaumiwa sio vinginevyoInasikitisha chama kimekufa
Jasusi muuza vijarida uchwara 🤔 🤔 Wana mabadiliko tumepigwa na vizito vingi hili nalo litapita.Wakuu,
Huyu hapa kada wa CHADEMA aliyehamia CHAUMMA leo, anadai hakukuwa na uhuru wa kutoa mawazo na anasema CHADEMA haitainuka tena kama ilivyokufa NCCR Mageuzi na CUF
Kumlaumu lissu ni kumuonea, yule aliyekipeleka chama mahakamani ndo wa kulaumiwa na SI vinginevyoTUNDU LISU ANATAKA KULETA SIASA ZA HARAKATI ANASAHAU NCHI YENYEWE INAOGOPA KUMWAGA DAMU,NA CCM MTAJI WAO MKUBWA NI AMANI NA VYOMBO VYA DOLA VYOOTE WAMESHIKILIA WAO,SASA ANADHANI ANGEWEZAJE KUTOBOA??
Wakuu,
Huyu hapa kada wa CHADEMA aliyehamia CHAUMMA leo, anadai hakukuwa na uhuru wa kutoa mawazo na anasema CHADEMA haitainuka tena kama ilivyokufa NCCR Mageuzi na CUF
Wewe umeacha lini kukojolewa huko lumumba??Chaumma maana yake anakojolewa ndani na kila mtu
Wale waliofungua kesi walishaondoka pia Chadema.Hivi aliyekipeleka chama mahakamani ni nani? Kama chadema haitainuka, kwa nn msiwaambie wale waliofungua kesi wafute?
Rangi halis ya mbowe ilifahamila mara baada ya kushindwa uchaguzi, mbowe hakuna na mapenzi ya dhati na chadema, kwanza kitendo Cha kukaa kimya aliyekuwa makamu wake upande wa Zanzibar kukifungulia chama kesi bila kusema chochote haikuwa sawa, pili kitendo Cha kukaa kimya pale mwenyekiti wake alivyofunguliwa kesi ya uwongo haikuwa sawa.Kwa mtindo huu Bado tuna safari ndefuBora chama kife tubaki na wale wanaotaka mabadiliko ya kweli siyo wachumia tumbo
Unakuja kugundua chadema ya mbowe ilikuwa na watu wengi wanaowaza kama CCM
Ila kupigadia mabadiliko Africa yahitaji moyo sana kama tuna tatizo kwenye ubongo au laana flani inatutafuna