Dalili zinaonyesha hivo, inaonekana mbowe kashaongea na mwanawe....emu subiri mbona nimemuina James Mbowe hapo pasi na Shaka Mbowe Freeman ataenda CHAUMA
Lakini Amin mbowe ana mkono katika kukihujumu chadema, iwe kisiri au waziwazi, muda utasemaWale waliofungua kesi walishaondoka pia Chadema.
Kiufupi Chadema inahujumiwa na Dola.
MNA AKILI ZA MATOPE KABISA NYIE WATU YAAANI TUCHELEWESHE UCHAGUZO KWAAJILI YA CHADEMA TU? INAMAANA VYAMA VINGINE VYOTE HAWANA AKIL WENYE AKILI NI CHADEM PEKEYAO? MMECHELEWA SANA MAMBO YANAENDA MBELE HAYASIMAMI WALA KURUDI NYUMA MTAELEWA TUJasusi muuza vijarida uchwara 🤔 🤔 Wana mabadiliko tumepigwa na vizito vingi hili nalo litapita.
Nimekumbuka ""WORKING CLASS MOVEMENTS IN EUROPE KULIKUAGA NA """"DARLING HARD CHARTISTS""" Hawa walifail ku identify their true enemies kati ya industrial revolution or machines.
Naona chauma wame fail ku identify their true enemy ambae ni CCM na serikali Yake yaani ilitakiwa tag la maana kugomea uchaguzii kwa vyama vyoootee mpaka reforms zifanyike na ikiwezekana katiba mpya mpaka ipatikane..
Kituo kinacho fuata ni AIKAELI MBOWE 😔 LISEMWALO LIPO NA KAMA LIPO LAJA..
KinaBora chama kife tubaki na wale wanaotaka mabadiliko ya kweli siyo wachumia tumbo
Unakuja kugundua chadema ya mbowe ilikuwa na watu wengi wanaowaza kama CCM
Ila kupigania mabadiliko Africa yahitaji moyo sana kama tuna tatizo kwenye ubongo au laana flani inatutafuna
Watu wamekufa kwa ajili yako na wamepoteza kila kitu kwa ajili yako leo unawageuka kisa uenyekiti Africa tuna tatizo gani sijui na huo wenyekiti umekaa miaka 20Rangi halis ya mbowe ilifahamila mara baada ya kushindwa uchaguzi, mbowe hakuna na mapenzi ya dhati na chadema, kwanza kitendo Cha kukaa kimya aliyekuwa makamu wake upande wa Zanzibar kukifungulia chama kesi bila kusema chochote haikuwa sawa, pili kitendo Cha kukaa kimya pale mwenyekiti wake alivyofunguliwa kesi ya uwongo haikuwa sawa.Kwa mtindo huu Bado tuna safari ndefu
Unaonyesha unyonge mnoo! Na kukata tamaaKumlaumu lissu ni kumuonea, yule aliyekipeleka chama mahakamani ndo wa kulaumiwa na SI vinginevyo
Mbona chadema iko imara sana! as long as ina watu, basi iko imara! wewe nenda kapiganie ubunge kigamboniWakuu,
Huyu hapa kada wa CHADEMA aliyehamia CHAUMMA leo, anadai hakukuwa na uhuru wa kutoa mawazo na anasema CHADEMA haitainuka tena kama ilivyokufa NCCR Mageuzi na CUF
Wakuu,

Ni kweli enzi za mbowe hakukuwa na uhuru wa kutoa mawazo mpaka pale FAM alipoingia choo cha kike cha kutaka kuwaondoa woote waliokataa pesa ya Abdul na Mama yake...na hapo ndipo game changer TAL aliposhika usukani.....na kuruhusu watu kufunguka..mkatoka baruti washenzi nyie. Hivi sijui chama chenu kitaitwa chama cha nini manake mnapingana na chama cha upinzani....Wakuu,
Huyu hapa kada wa CHADEMA aliyehamia CHAUMMA leo, anadai hakukuwa na uhuru wa kutoa mawazo na anasema CHADEMA haitainuka tena kama ilivyokufa NCCR Mageuzi na CUF
Hatujali Wala Nini hata mseme.nini sisi ni chadema wote mnaobwabwaja mlikuwa na maslahi binafsi Cdm pumbaaavWakuu,
Huyu hapa kada wa CHADEMA aliyehamia CHAUMMA leo, anadai hakukuwa na uhuru wa kutoa mawazo na anasema CHADEMA haitainuka tena kama ilivyokufa NCCR Mageuzi na CUF
Na wala hajiulizi kwanini hizo vyama vinakufa isipokuwa CCM pekee? Huko ndiko anayo uhakika kuwa haitakufa au anakwenda kunyofoa vyake kabla ya CHAUMA kufa?.Kwa hiyo, Sasa ni zamu ya CHAUMMA nayo kuwafuata aliowataja?
Anatakiwa awe kondoo tu ndio salama yake? Zama hizo zilishapita boss.TUNDU LISU ANATAKA KULETA SIASA ZA HARAKATI ANASAHAU NCHI YENYEWE INAOGOPA KUMWAGA DAMU,NA CCM MTAJI WAO MKUBWA NI AMANI NA VYOMBO VYA DOLA VYOOTE WAMESHIKILIA WAO,SASA ANADHANI ANGEWEZAJE KUTOBOA??