Tako hilo linahitaji mume jamaniWakuu,
Huyu hapa kada wa CHADEMA aliyehamia CHAUMMA leo, anadai hakukuwa na uhuru wa kutoa mawazo na anasema CHADEMA haitainuka tena kama ilivyokufa NCCR Mageuzi na CUF
Tako hilo linahitaji mume jamaniWakuu,
Huyu hapa kada wa CHADEMA aliyehamia CHAUMMA leo, anadai hakukuwa na uhuru wa kutoa mawazo na anasema CHADEMA haitainuka tena kama ilivyokufa NCCR Mageuzi na CUF
Chadema ni chaka la watu wasiokuwa na maarifa ya siasaWakuu,
Huyu hapa kada wa CHADEMA aliyehamia CHAUMMA leo, anadai hakukuwa na uhuru wa kutoa mawazo na anasema CHADEMA haitainuka tena kama ilivyokufa NCCR Mageuzi na CUF
Ndio ukweli wenyewe tulijua, Tundu Lissu aruhusu umkosoe? Lissu ni dikteta ni kwamba hajapata madaraka tuWakuu,
Huyu hapa kada wa CHADEMA aliyehamia CHAUMMA leo, anadai hakukuwa na uhuru wa kutoa mawazo na anasema CHADEMA haitainuka tena kama ilivyokufa NCCR Mageuzi na CUF
Kama mlivyomuua ndugaiInasikitisha chama kimekufa
Babako ni nani? We nyumbu utakufa na pressure bure nenda kahudhurie mazishiWewe yeruko ni mbwa koko tu.chadema ipo mioyoni mwetu.mpuuz mkubwa ww
Km wanachama ni wenye akili iliyojaa kinyesi km ww kwanini chama kisife?Kama mlivyomuua ndugai
Kweli kabisaTUNDU LISU ANATAKA KULETA SIASA ZA HARAKATI ANASAHAU NCHI YENYEWE INAOGOPA KUMWAGA DAMU,NA CCM MTAJI WAO MKUBWA NI AMANI NA VYOMBO VYA DOLA VYOOTE WAMESHIKILIA WAO,SASA ANADHANI ANGEWEZAJE KUTOBOA??
Kusema chochote kwa suala ambalo tayari lipo mahakamani sii itakuwa anangilia uhuru wa mahkama au vipi ?Rangi halis ya mbowe ilifahamila mara baada ya kushindwa uchaguzi, mbowe hakuna na mapenzi ya dhati na chadema, kwanza kitendo Cha kukaa kimya aliyekuwa makamu wake upande wa Zanzibar kukifungulia chama kesi bila kusema chochote haikuwa sawa, pili kitendo Cha kukaa kimya pale mwenyekiti wake alivyofunguliwa kesi ya uwongo haikuwa sawa.Kwa mtindo huu Bado tuna safari ndefu
Mnashupaza kichwa bure, acheni ubishi.Chadema ni watu, Bora life kuliko kukubali kushiriki uchaguzi wa kitapeli
Si kwamba lazima pawe na pa kuanzia? Asingejitokeza tungesema pia kuwa hatuna mtu kufanya hivyo. Yeye kafanya sasa. Kama ulivyoeleza,si kazi ndogo. Hata Kenya, yapo machache mazuri yanaonekana, hayakuja hivihivi. Kuna watu walijilipua,wakafa, wakakimbia nchi na matokeo yanaendelea kuonekana. Hawajafika pa kujivuna,lakini, kuna kitu kinaonekana kutokea.TUNDU LISU ANATAKA KULETA SIASA ZA HARAKATI ANASAHAU NCHI YENYEWE INAOGOPA KUMWAGA DAMU,NA CCM MTAJI WAO MKUBWA NI AMANI NA VYOMBO VYA DOLA VYOOTE WAMESHIKILIA WAO,SASA ANADHANI ANGEWEZAJE KUTOBOA??