GE2025 Yeriko Nyerere: Nimejiridhisha asilimia 100% CHADEMA haitainuka tena, msahau

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Hana akili akili huyu..wachumia tumbo parasite wakubwa, wanafeed kupitia siasa..wanapumbazwa eti ni maagenti wa usalama wa taifa, upuuzi mtupu, watu km hawa ni kunyonga tu!
 
MNA AKILI ZA MATOPE KABISA NYIE WATU YAAANI TUCHELEWESHE UCHAGUZO KWAAJILI YA CHADEMA TU? INAMAANA VYAMA VINGINE VYOTE HAWANA AKIL WENYE AKILI NI CHADEM PEKEYAO? MMECHELEWA SANA MAMBO YANAENDA MBELE HAYASIMAMI WALA KURUDI NYUMA MTAELEWA TU
 
Kina
Watu wamekufa kwa ajili yako na wamepoteza kila kitu kwa ajili yako leo unawageuka kisa uenyekiti Africa tuna tatizo gani sijui na huo wenyekiti umekaa miaka 20
 
Binafsi mie niko na chadema tokea mwaka 1995 ule uchaguzi wa kwanza wa vyama vingi, so tokea 1995 hadi leo ni 30 years eti uniambie chadema itakufa, hilo halita kaa itokee
 
Wakuu,

Huyu hapa kada wa CHADEMA aliyehamia CHAUMMA leo, anadai hakukuwa na uhuru wa kutoa mawazo na anasema CHADEMA haitainuka tena kama ilivyokufa NCCR Mageuzi na CUF

Ni kweli enzi za mbowe hakukuwa na uhuru wa kutoa mawazo mpaka pale FAM alipoingia choo cha kike cha kutaka kuwaondoa woote waliokataa pesa ya Abdul na Mama yake...na hapo ndipo game changer TAL aliposhika usukani.....na kuruhusu watu kufunguka..mkatoka baruti washenzi nyie. Hivi sijui chama chenu kitaitwa chama cha nini manake mnapingana na chama cha upinzani....
 
Hawa jamaa wanajidangaya...wao sasa ndo watakufa kimoja....now chadema ndo imepata nguvu mara dufu....
 
Kwa hiyo, Sasa ni zamu ya CHAUMMA nayo kuwafuata aliowataja?
Na wala hajiulizi kwanini hizo vyama vinakufa isipokuwa CCM pekee? Huko ndiko anayo uhakika kuwa haitakufa au anakwenda kunyofoa vyake kabla ya CHAUMA kufa?.
WaTanzania kwa unafiki hawajambo.
 
Chaumma na ACT ni vyama vya msimu. Vinasikika msimu wa uchaguzi tu.
 
TUNDU LISU ANATAKA KULETA SIASA ZA HARAKATI ANASAHAU NCHI YENYEWE INAOGOPA KUMWAGA DAMU,NA CCM MTAJI WAO MKUBWA NI AMANI NA VYOMBO VYA DOLA VYOOTE WAMESHIKILIA WAO,SASA ANADHANI ANGEWEZAJE KUTOBOA??
Anatakiwa awe kondoo tu ndio salama yake? Zama hizo zilishapita boss.
 
Uchaguzi si umekwisha? sasa mbona hiyo Chadema haiwatoki midomoni? Chadema, chadema, chadema... munaitamukia mabaya, kumbekeni tu kwamba kwa mujibu wa maandiko, kila unapomunenea mwenzako mabaya, hayo mabaya ndio yanakurudia wewe uliyeyatamka... kuweni makini na kauli zenu, maneno huumba...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…