GE2025 Yeriko Nyerere: Nimejiridhisha asilimia 100% CHADEMA haitainuka tena, msahau

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
TUNDU LISU ANATAKA KULETA SIASA ZA HARAKATI ANASAHAU NCHI YENYEWE INAOGOPA KUMWAGA DAMU,NA CCM MTAJI WAO MKUBWA NI AMANI NA VYOMBO VYA DOLA VYOOTE WAMESHIKILIA WAO,SASA ANADHANI ANGEWEZAJE KUTOBOA??
Kweli kabisa
 
Kusema chochote kwa suala ambalo tayari lipo mahakamani sii itakuwa anangilia uhuru wa mahkama au vipi ?
 
Sasa hivi upinzani upo mioyoni mwa watu ingawa viongozi wa chadema wameamua kusimamia msimamo wao na wale makada tumbotumbo wanatafuta mchele wa bwelele.
 
Jasusi aliyefeli kabisa kumwambia Boss wake muda upi muafaka wa kutoka ulingoni. Baba yake Kapigwa nje ndani sanduku la kura Sacoss imevunjika rasmi. sasa hivi wanahaha na baba yao kisaka maisha mapya wakisaidiwa na watawala.

No Reforms ndiyo habari ya Tanganyika.
 
TUNDU LISU ANATAKA KULETA SIASA ZA HARAKATI ANASAHAU NCHI YENYEWE INAOGOPA KUMWAGA DAMU,NA CCM MTAJI WAO MKUBWA NI AMANI NA VYOMBO VYA DOLA VYOOTE WAMESHIKILIA WAO,SASA ANADHANI ANGEWEZAJE KUTOBOA??
Si kwamba lazima pawe na pa kuanzia? Asingejitokeza tungesema pia kuwa hatuna mtu kufanya hivyo. Yeye kafanya sasa. Kama ulivyoeleza,si kazi ndogo. Hata Kenya, yapo machache mazuri yanaonekana, hayakuja hivihivi. Kuna watu walijilipua,wakafa, wakakimbia nchi na matokeo yanaendelea kuonekana. Hawajafika pa kujivuna,lakini, kuna kitu kinaonekana kutokea.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…