afu Matola namkubali kimtindo kuna siku niliwekwa kwenye kona celeb kule akawa teamyangu bureeeeeeee
Aaaaaaaaaaw! My man is so sweet! I am so proud of him! My piko wa moyo wangu!
Back to business ADMIRATION ZIISHIE HAPO HAPO! Dont you dare think the unthikable! Oooooooh! Mnaanzaga hivo hivo, kaniteta, sijui msweet! Mmmmh! Uishie hapo hapo!
HAHAHAHAAAAAAAAAAAAAAAAA,! Mtoto mbaya wewe! Embu ishia kwenye hii thread usinitilie kitumbua changu mchanga! Ukiendelea hivi utakuwa hutoi maoni hapa! Hahahaaaaaaaaaaaaa!hivi unaamini ubwabwa utalika hahahaha utasubiri sana usikute matola mifuko imetuna anapakwa mafuta kwa mgongo wa chupa lol
Mwana umetumwaaaaa wewe! Ohoooooo! Uvunje hoti wapi wakati ninae hapa kitandani tunasoma hizi comment tunakuchora tu! Weeee! Nakaba mpaka PENALTY!hahahaha si afadhali mi nasema kweupe na yeye shahidi afu ahsante sikumpa lol sijui ndo chance ya dhahabu hii nivunje goti la kisukuma kushukuru lol
lara 1 hana huo ubavu, hapa ni kisima cha mahaba.the so called Vin Diesel kaachwa kwenye mataa amah
miss neddy nimekiachia makombo yangu haya upitamo humo nawe mweeeeeeee! Hio direction unayotaka kwenda kwa my new baby sio kabisaaaa!
miss neddy nimekiachia makombo yangu haya upitamo humo nawe mweeeeeeee! Hio direction unayotaka kwenda kwa my new baby sio kabisaaaa!
Mwana umetumwaaaaa wewe! Ohoooooo! Uvunje hoti wapi wakati ninae hapa kitandani tunasoma hizi comment tunakuchora tu! Weeee! Nakaba mpaka PENALTY!
Hahaaaaaaaa! Hizi mambo hazina makombo! Mbona Matola kapiti kwingi si ajabu alikuwa anachunwa huko hadi mifupa!mshamfilisi ndo uniachie mie never
Asante nimeipokea nitamfikishia! I THE ONLY WIFE AM PROUD ALSO OF MY MAN! Taratibu hio asante na my love! Ohooooooo!hahahaha eti leo ndo nataka anijuze siku ile ilikuwaje akanitetea kule celeb afu baada ya mpambano huyooooooo akadisapea hakusubiri hata ahsante na takrima lol
hivi unaamini ubwabwa utalika hahahaha utasubiri sana usikute matola mifuko imetuna anapakwa mafuta kwa mgongo wa chupa lol
hizi fitina zenu haziwezi kufuwa dafu hata, sasa chapaa yako usipospend na mtu wako unataka nispend na nani?
O
Lara 1 anajuwa kujiongeza mimi sasa sipo kwenye umri wa kutafuta maisha bali naishi, mahitaji yote muhimu ya kifamilia yako under control and mind u kwa sababu my beibii upstairs yuko vizuri yeye automatically anakuwa my business partner na system analyst.

Hahaaaaaaaa! Hizi mambo hazina makombo! Mbona Matola kapiti kwingi si ajabu alikuwa anachunwa huko hadi mifupa!
Ila mi nimekutana nae, nimempenda IREGRDLESS ya kasoro yoyote aliyo nayo, nimeridhika nae, nalisongesha! Kuridhika tu ndo muhimu!
Aaaaaaaaw! Thank you my love! I am so lucky to have you in my life! CC miss neddy utuwache tulale na bebito wangu!
Asante nimeipokea nitamfikishia! I THE ONLY WIFE AM PROUD ALSO OF MY MAN! Taratibu hio asante na my love! Ohooooooo!