Marketing inachokifanya ni kuangalia kwenye kundi kubwa la watu/jamii ni product/service gani wanahitaji, lakini marketing haiishii hapo, inaenda mbali zaidi na kuangalia kuna potential kiasi gani ya kuwafanya consumers waikubali product husika na kuipa thamani inayoendana na matakwa ya entrepreneur. Mtaalam wa marketing then anatengeneza strategy ya jinsi ya kuinfluence consumers of the product.
Ungeweza kutofautisha Marketing na Selling, Tungekuwa sawa! Lakini sio kosa lako maana wewe ni Multi-Talented na sio Multi-Professional, umezaliwa na talent ya UKILAZA, sio kosa lako!
Penye RED, kwenye marketing unafanya awareness ya product, but this does not amount to closing the Sale! Jaribu kumtafuta Guru wa Sales, Zig Ziglar, usome Kitabu chake, "The Secrets of Closing the Sale". Rudi chamber ukasome kazi ya Salesman na kazi ya Marketer!
Sales on the other hand iko limited. Mtu wa sales anatakiwa kuuza product ambayo tayari imeshatengenezwa. Mtu wa sales hawezi kubadilisha product characteristics, kwa sababu inakuwa imeshatengenezwa kutokana na ushauri wa mtaalam wa marketing. Mtu wa sales anachokifanya ni kudefine specific group of potential customers na kubuni mbinu ya kuwafanya wainunue product.
PUMBA TUPU, kuna kitu kinaitwa Business Research and Development (R&D)! Kwa maelezo yako R&D inafanywa na watu wa Marketing, au sio? And what do they pre-market? to whom? Nimekuomba unitajie hicho chuo cha nje ulichosoma kama kiko accredited, mbona hukitaji?
Kwa lugha unayoweza kuelewa kirahisi ni kwamba mtu wa marketing anawavuta kundi kubwa la watu towards the product halafu mtu wa sales anaipush hiyo product kwa wateja watakaokuwepo kwenye kundi hilo.
I read a lot mkuu, usifikiri kukwambia mie sio Marketer kwamba sielewi kuhusu marketing, ila leo na hizi pumba ulizoleta hapa, ni full kichefuchefu! Hilo kundi la watu linalovutwa na mtu wa marketing ni kabla ya investment ya hizo apartments au baada?
Turudi kwenye mfano wa apartments. Mtu wa marketing anapaswa kuingia field na kusoma mahitaji ya watu na kubuni marketing strategy ya kuwafanya wawe tayari kununua apartments.
Huko field anaenda muda gani, kabla ya kujenga hizo apartments? Wakati zinajengwa? au Baada ya kujenga?
Akushafanya hivyo successfully entrepreneur anajenga apartments na kukupa wewe mtu wa sales uziuze.
Kwa hiyo mimi ni Marketer au Salesman?
Kama ulivyokiri mwenyewe kuwa marketing huna utaalam nayo, basi tambua kuwa huna authority ya kusema kuwa product/apartments hazihitajiki.
Wewe nafasi yako inakuja baada ya kuwa product imeshakuwa designed, then unaweza kusema this particular type of apartments sitaweza kuiuza.
I am neither NEMC nor Building Permits Issuing Officer, kusema ukijenga hizo apartments nitakuja kukubomolea, wewe ukitaka jenga popote! Mimi nilichotoa ni angalizo (Na I am saying this confidently) kwamba investors wengi wanakurupuka na kujikuta wanajenga apartments mikoani wakifiri zitalipa kama Dar, kwa kuchukulia mikoani kuna shida ya nyumba, but experience inaonesha scale of preference iko kwenye standalone, na hata Dar (and I can bet) wengi wanaishi humo ni tenants, either foreigners au locals! Na huu ndio ulikuwa msingi wa hoja yangu, kwani mfano rahisi ni nyumba za NHC pale Medeli Dodoma, karibu na Bunge, it is as good as a white elephant project!
So ieleweke kwamba sijasema hazihitajiki, but je ni kila mkoa tukaweke apartment? Na si kamwe hazitajengwa, it will come a time kila sehemu zitakuwa zinalipa, but when? NOW?
Nimetoa maelezo marefu ambayo naamini kama uko tayari kujifunza huna sababu ya kushindwa kuelewa kwa sababu nimetumia lugha rahisi ya kawaida.
Tuendelee na mjadala, na sioni haja ya kunikashifu kwenye thread nyingine, maana hii bado ipo! Hizo ni dalili za kuishiwa