YES Tunahitaji Apartments Tanzania Lakini si kila Mkoa

Pombe imeathiri kichwa chako totally!

Yaani umesoma property marketing lakini unasema huwezi kufanya professional marketing!

Sasa uliweza vipi kufaulu na kupewa cheti?

Hizi degree za kununua zinaliangamiza taifa!

Naona unataka kunitunuku degree mpya ya Marketing!Si mchezo!!!!Hivi kuna umuhimu wa kuwa na B.Com(Marketing), Bsc(Marketing). B.A(Marketing), BBA(Marketing)? Nipe tofauti yangu kati ya hizo na nilichosoma mimi ambazo bado hujui hata nilisoma nini maana Real Estate ina wigo mpana! Mtu wa procurement anasoma Uhasibu, lakini haimfanyi kuwa mhasibu ila inamsaidia kufanya kazi zake kwa ufanisi!

Napata wakati mgumu sana kukuelewesha maana sielewi kiwango chako cha elimu, laiti ningejua ingenisaidia jinsi ya kukutafunia hizi nondo maana kuna tofauti ya kumwelimisha kindergarten, primary, sekondari, na mtu wa level ya college(Basic certificate, Diploma, Degree)! Can you be preciously where do you belong? Ebu taja hata chuo ulichosoma kama kiko accredited?
 
Acha longo longo, swali liko straight forward: kama hujui marketing, umejuaje kuwa markters watashindwa kuuza apartments mikoani?

Nimeongelea investors sijaongelea marketers! Tofautisha Investors na Marketers! Ukitaka ufafanuzi, omba upewe!

TCU hawafanyi kazi yao ipasavyo, ndio maana kwenye industry kuna watu SIFURI kama wewe.

Kumbe wewe kizazi cha TCU, ndio maana utoto mwingi!

In what I do for a living ningekuwa wa level kama yako hata siwezi kuimagine ningejisikiaje!

In wha you do for a living? Bdio ile list ya vijana wetu wa Hong Kong bila shaka! Mimi sihitaji kujua unamiliki nini au unafanya nini, waswasi wangu ni CAPACITY of your MENTAL BOX!
 
Nimeongelea investors sijaongelea marketers! Tofautisha Investors na Marketers! Ukitaka ufafanuzi, omba upewe!

Kumbe wewe kizazi cha TCU, ndio maana utoto mwingi!

In wha you do for a living? Bdio ile list ya vijana wetu wa Hong Kong bila shaka! Mimi sihitaji kujua unamiliki nini au unafanya nini, waswasi wangu ni CAPACITY of your MENTAL BOX!

Yaani wewe ZERO ndio ulisema ulipwe hela hapa ili utoe ufafanuzi, halafu mwishoni unaishia wewe kuelimishwa zaidi! Ngoja nikamilishe majukumu mawili matatu hapa halafu nije kukuelimisha, nadhani sasa hivi kiwango cha pombe kichwani kitakuwa kimepungua may be utaelewa kiasi.
 
Naona unataka kunitunuku degree mpya ya Marketing!Si mchezo!!!!Hivi kuna umuhimu wa kuwa na B.Com(Marketing), Bsc(Marketing). B.A(Marketing), BBA(Marketing)? Nipe tofauti yangu kati ya hizo na nilichosoma mimi ambazo bado hujui hata nilisoma nini maana Real Estate ina wigo mpana! Mtu wa procurement anasoma Uhasibu, lakini haimfanyi kuwa mhasibu ila inamsaidia kufanya kazi zake kwa ufanisi!

Napata wakati mgumu sana kukuelewesha maana sielewi kiwango chako cha elimu, laiti ningejua ingenisaidia jinsi ya kukutafunia hizi nondo maana kuna tofauti ya kumwelimisha kindergarten, primary, sekondari, na mtu wa level ya college(Basic certificate, Diploma, Degree)! Can you be preciously where do you belong? Ebu taja hata chuo ulichosoma kama kiko accredited?

Tatizo la nyinyi wanunuzi wa vyeti feki mnadhani cheti ndio kila kitu. Look dogo, kama huna ujuzi, hata ukiwa na vyeti mia tatu bado huna manufaa kwenye fani and if you have skills hata ukiwa na diploma tu au certifacate unakuwa useful. Wewe unasema ni real estate broker na unasema umesoma marketing lakini hauiwezi na kwamba unachoweza wewe kufanya ni sales. Sawa, sio kosa lako.

Kuwa constistent, based on maelezo yako mwenyewe nitakuja kukufafanulia kwanini huna uhalali wa kusema kuwa apartments hazihitajiki mikoani. It doesnt matter kama information hiyo unamwambia investor au unamwambia mwanafunzi darasani. kama kitu kina rangi ya blue haiwezi rangi hiyo kuwa nyekundu just because unayeongea naye ni investor au mwanafunzi.

So kama apartments hazihitajiki, hazihitajiki. Unaposisitiza kwamba taarifa yako iko applicable kwa investors tu unazidi kudhihirisha kuwa hujui unachoongea.

Ngoja nitoe huduma hapa kidogo halafu nitakufafanulia kwa lugha nyepesi utakayoweza kuielewa.

By the way, correct english is "Can you be precise" not "Can you be preciously". Preciously ni neno ambalo halina kabisa uhusiano na neno precise. I know ulitaka kuandika precisely, lakini bado hiyo sio grammar sahihi. This is just that you can improve your communication skills kwa sababu kwa broker communication skills ni kitu muhimu sana.

Halafu wewe ni mgeni hapa JF. Unapoanza kuuliza na kudoubt elimu ya zemarcopolo unaonekana ----- kwelikweli. Ungekuwa uko jukwaa la siasa ningejua watani wangu wa siasa wanaendeleza utamaduni wetu tuliojiwekea wa kuchangamshana kwa kejeli za hapa na pale, lakini kwenye jukwaa hili sio mahali pake. Hapo nimegundua tatizo lako lingine hujui unafundishwa na mtu wa caliber gani!!! Ndio maana huthamini jitahada ninazofanya kukuelewesha. Anyway, ukubwa ni jalala kwa hiyo mimi sitakata tamaa kukuelewesha.

Ill be back shortly...
 
KWELI NYANI HAONI KUNDILE!!!

Hivi Uenyeji wa JF uko determined na kutembela jukwaa la Siasa au kumjua ZeMarcopolo ni nani! Too childish! Who the hell are you?
 
Yaani wewe ZERO ndio ulisema ulipwe hela hapa ili utoe ufafanuzi, halafu mwishoni unaishia wewe kuelimishwa zaidi! Ngoja nikamilishe majukumu mawili matatu hapa halafu nije kukuelimisha, nadhani sasa hivi kiwango cha pombe kichwani kitakuwa kimepungua may be utaelewa kiasi.

Tofauti ya UNYWAJI na ULEVI imekushinda?
 
Ungekuwa uko jukwaa la siasa ningejua watani wangu wa siasa wanaendeleza utamaduni wetu tuliojiwekea wa kuchangamshana kwa kejeli za hapa na pale, lakini kwenye jukwaa hili sio mahali pake. Hapo nimegundua tatizo lako lingine hujui unafundishwa na mtu wa caliber gani!!! Ndio maana huthamini jitahada ninazofanya kukuelewesha. Anyway, ukubwa ni jalala kwa hiyo mimi sitakata tamaa kukuelewesha.

Ill be back shortly...

Kumbe niko nahangaika Mwanasiasa, now I undertand!
 
Kuna watu ni multi talented. Wewe inaonekana unadhani unajua sales tu, kumbe hata sales yenyewe hujui.

Mimi ukitaka tujadili siasa ok, ukitaka tujadili marketing ok, ukitaka tujadili sales ok, ukitaka tujadili mpira poa, ukïtaka tujadili afya ok, ukitaka kujadili ujenzi ok. Kama specific matter siijui huwa niko mwepesi sana kusema sijui na kuuliza au kukaa pembeni but when I tell you I know something be sure I know what I am talking about, sio mbabaishaji mbabaishaji kama wewe.
 
KWELI NYANI HAONI KUNDILE!!!

Hivi Uenyeji wa JF uko determined na kutembela jukwaa la Siasa au kumjua ZeMarcopolo ni nani! Too childish! Who the hell are you?

Ndio maana wenzako wanakuona ZERO.

Yaani hujui tofauti kati ya error na mistake.

Hivi vyeti vya kununua vina madhara mno!!!
 
Kuna watu ni multi talented. Wewe inaonekana unadhani unajua sales tu, kumbe hata sales yenyewe hujui.

Mimi ukitaka tujadili siasa ok, ukitaka tujadili marketing ok, ukitaka tujadili sales ok, ukitaka tujadili mpira poa, ukïtaka tujadili afya ok, ukitaka kujadili ujenzi ok. Kama specific matter siijui huwa niko mwepesi sana kusema sijui na kuuliza au kukaa pembeni but when I tell you I know something be sure I know what I am talking about, sio mbabaishaji mbabaishaji kama wewe.

You may have some basics of something, lakini haikufanyi ndo uwe umebobea katika kila nyanja! tatizo lako ni kufikiri wewe unajua kila kitu! Unaweza kuchangia kila kitu but huwezi kuwa mtaalamu wa kila kitu! tatizo ni pale unaopfikiri wewe ni mtaalamu wa Real Estate, Afya siasa, Sales, Marketing, Ujenzi, Mpira! et kuna watu MULTI-TALENTED! Utakuwa multi-talented kwenye mashindano ya olympic sio kwenye these professional disciplines!

Yaani umekaaa ukajitathmini kwamba wewe ni Multi-talented, wa olympic au umiseta?

Nipe tofauti ya TALENT na PROFESSION!!!!!
 
Subiri muda kidogo kazi zikipunga nije nikupe darasa MLEVI wewe.
Na tabia yako ya ULEVI nitaitolea mfano ili uelewe vizuri maana ya marketing ni nini.

Nasubiri hilo darasa la tofauti ya UNYWAJI na ULEVI
 
Ndio maana wenzako wanakuona ZERO.

Yaani hujui tofauti kati ya error na mistake.

Hivi vyeti vya kununua vina madhara mno!!!

Hizo ni dalili za kuishiwa!!!

Kwenye social networking, wewe na mwenzio mko busy kuangalia spelling mistake na grammatical error??????????? Mbona font sizes na font type haziko uniform au hamjaona? Wajasiriamali tuko makini na communication skills where necessary!
 
You may have some basics of something, lakini haikufanyi ndo uwe umebobea katika kila nyanja! tatizo lako ni kufikiri wewe unajua kila kitu! Unaweza kuchangia kila kitu but huwezi kuwa mtaalamu wa kila kitu! tatizo ni pale unaopfikiri wewe ni mtaalamu wa Real Estate, Afya siasa, Sales, Marketing, Ujenzi, Mpira! et kuna watu MULTI-TALENTED! Utakuwa multi-talented kwenye mashindano ya olympic sio kwenye these professional disciplines!

Yaani umekaaa ukajitathmini kwamba wewe ni Multi-talented, wa olympic au umiseta?

Nipe tofauti ya TALENT na PROFESSION!!!!!

Wanunuzi wa vyeti huwa mnakuwa waagumu sana kuelewa siku zote.

Nimekwambia nini? Soma tena nilipoandika "Kama specific matter siijui huwa niko mwepesi sana kusema sijui na kuuliza au kukaa pembeni but when I tell you I know something be sure I know what I am talking about, sio mbabaishaji mbabaishaji kama wewe".

Jifunze kusoma na kuelewa, sio unasoma kama kasuku tu...
 
Sasa soma kwa makini hapa ili uelewe ulipokosea
Ukiendelea kubisha, sitakushikia fimbo kwa sababu inawezekana tatizo lako liko kwenye genes na sio kosa lako, umerithi genes za ubishi.

Marketing inachokifanya ni kuangalia kwenye kundi kubwa la watu/jamii ni product/service gani wanahitaji, lakini marketing haiishii hapo, inaenda mbali zaidi na kuangalia kuna potential kiasi gani ya kuwafanya consumers waikubali product husika na kuipa thamani inayoendana na matakwa ya entrepreneur. Mtaalam wa marketing then anatengeneza strategy ya jinsi ya kuinfluence consumers of the product.

Mfano: wataalam wa marketing wamefanikiwa kufanya tabia ya kuvuta sigara ionekane kama sign of freedom and success, hii inasababisha vijana wengi kuvuta sigara not because they need it but because kuvuta sigara kwao inawapa feeling kwamba wamekuwa wakubwa na wanaweza kujiamulia mambo yao. Hivyohivyo kwa beer. Vijana wengi mmeanza kunywa bia chuo mainly because ndio mmeanza kuwa na some income and freedom. Unaposema "bia yangu inashuka taratibu" unataka kuonyesha kwamba kuwa na bia mezani kwako wewe ni sign ya kuwa uko fine. Hiyo haijatokea tu hivihivi, umekuwa influenced by marketing ya bia.
That is what marketing does.

Sales on the other hand iko limited. Mtu wa sales anatakiwa kuuza product ambayo tayari imeshatengenezwa. Mtu wa sales hawezi kubadilisha product characteristics, kwa sababu inakuwa imeshatengenezwa kutokana na ushauri wa mtaalam wa marketing. Mtu wa sales anachokifanya ni kudefine specific group of potential customers na kubuni mbinu ya kuwafanya wainunue product.

Kwa lugha unayoweza kuelewa kirahisi ni kwamba mtu wa marketing anawavuta kundi kubwa la watu towards the product halafu mtu wa sales anaipush hiyo product kwa wateja watakaokuwepo kwenye kundi hilo.

Kwahiyo hapa unaona kwamba mtu wa marketing anaivuta jamii yote halafu mtu wa sales sasa anachambua katika wale waliovutwa ni wepi wenye uwezo wa kuinunua product husika and then anatengeneza strategy ya kudeal nao one-on-one.

Kwa mfano, watu wa marketing wametufanya watu tuipende na kuithamini Mercedes Benz, wamefanya kazi hiyo kwa uhodari sana kwa kweli, as a result watu wengi duniani wanapenda Mercedes. Mtu wa sales wa Mercedes though hawezi kutarget watu wote duniani. Hawezi kutarget kuwauzia Mercedes waalimu wa shule za kata. Atawatarget mabalozi, ma CEO,mawaziri, wafanyabiashara wakubwa na wengine anaoona wanaweza kuinunua Mercedes Benz.

Tambua kwamba marketing na sales vyote lengo lake ni kuongeza revenue lakini sales ndio ultimate goal of marketing.

Turudi kwenye mfano wa apartments. Mtu wa marketing anapaswa kuingia field na kusoma mahitaji ya watu na kubuni marketing strategy ya kuwafanya wawe tayari kununua apartments.
Akushafanya hivyo successfully entrepreneur anajenga apartments na kukupa wewe mtu wa sales uziuze.
Kama ulivyokiri mwenyewe kuwa marketing huna utaalam nayo, basi tambua kuwa huna authority ya kusema kuwa product/apartments hazihitajiki.
Wewe nafasi yako inakuja baada ya kuwa product imeshakuwa designed, then unaweza kusema this particular type of apartments sitaweza kuiuza.

Taarifa yako hiyo itakuwa valid kwa aina hiyo ya apartment in that location na si kwa apartments zote mkoa mzima, kwa sababu kwenye real estate nyumba hiyo hiyo ikiwa just 1 km away mahitaji yake yanaweza kubadilika largely. Nyumba ambayo unapata shida kuiuza kwa bei fulani msasani ukivuka bonde tu na kuikuta nyumba inayofanana na hiyohiyo Oysterbay unaweza kuiuza kwa bei kubwa mara tatu zaidi. Kwahiyo ukishindwa kuuza nyumba msasani usiseme kwamba nyumba za namna hiyo Dar es Salaam hazihitajiki!

Vilevile sales ni kipaji kama zilivyo fani nyingine. Product utakayoshindwa kuiuza wewe, usishangae mwenzako akaiuza kwa mafanikio makubwa. Kwahiyo thread yako ungeibadilisha, badala ya kusema apartments hazihitajiki ungesema, "siwezi kuuza apartments kila mkoa". Hapo tusingekushangaa kwa sababu tungejua umeamua kujikita maeneo fulani.

Nimetoa maelezo marefu ambayo naamini kama uko tayari kujifunza huna sababu ya kushindwa kuelewa kwa sababu nimetumia lugha rahisi ya kawaida.
 
Wewe ni mtupu, kama ulizoea kudanganya watu kwenye jukwaa la siasa, hapa hukatizi Mbulula wewe! Kumbe unapopost utumbo huko kwenye siasa watu wakachangia unajiona ni mtaalamu wakati hujui people want to keep the ball rolling!
 
Marketing inachokifanya ni kuangalia kwenye kundi kubwa la watu/jamii ni product/service gani wanahitaji, lakini marketing haiishii hapo, inaenda mbali zaidi na kuangalia kuna potential kiasi gani ya kuwafanya consumers waikubali product husika na kuipa thamani inayoendana na matakwa ya entrepreneur. Mtaalam wa marketing then anatengeneza strategy ya jinsi ya kuinfluence consumers of the product.

Ungeweza kutofautisha Marketing na Selling, Tungekuwa sawa! Lakini sio kosa lako maana wewe ni Multi-Talented na sio Multi-Professional, umezaliwa na talent ya UKILAZA, sio kosa lako!

Penye RED, kwenye marketing unafanya awareness ya product, but this does not amount to closing the Sale! Jaribu kumtafuta Guru wa Sales, Zig Ziglar, usome Kitabu chake, "The Secrets of Closing the Sale". Rudi chamber ukasome kazi ya Salesman na kazi ya Marketer!

Sales on the other hand iko limited. Mtu wa sales anatakiwa kuuza product ambayo tayari imeshatengenezwa. Mtu wa sales hawezi kubadilisha product characteristics, kwa sababu inakuwa imeshatengenezwa kutokana na ushauri wa mtaalam wa marketing. Mtu wa sales anachokifanya ni kudefine specific group of potential customers na kubuni mbinu ya kuwafanya wainunue product.

PUMBA TUPU, kuna kitu kinaitwa Business Research and Development (R&D)! Kwa maelezo yako R&D inafanywa na watu wa Marketing, au sio? And what do they pre-market? to whom? Nimekuomba unitajie hicho chuo cha nje ulichosoma kama kiko accredited, mbona hukitaji?

Kwa lugha unayoweza kuelewa kirahisi ni kwamba mtu wa marketing anawavuta kundi kubwa la watu towards the product halafu mtu wa sales anaipush hiyo product kwa wateja watakaokuwepo kwenye kundi hilo.

I read a lot mkuu, usifikiri kukwambia mie sio Marketer kwamba sielewi kuhusu marketing, ila leo na hizi pumba ulizoleta hapa, ni full kichefuchefu! Hilo kundi la watu linalovutwa na mtu wa marketing ni kabla ya investment ya hizo apartments au baada?

Turudi kwenye mfano wa apartments. Mtu wa marketing anapaswa kuingia field na kusoma mahitaji ya watu na kubuni marketing strategy ya kuwafanya wawe tayari kununua apartments.

Huko field anaenda muda gani, kabla ya kujenga hizo apartments? Wakati zinajengwa? au Baada ya kujenga?

Akushafanya hivyo successfully entrepreneur anajenga apartments na kukupa wewe mtu wa sales uziuze.

Kwa hiyo mimi ni Marketer au Salesman?

Kama ulivyokiri mwenyewe kuwa marketing huna utaalam nayo, basi tambua kuwa huna authority ya kusema kuwa product/apartments hazihitajiki.
Wewe nafasi yako inakuja baada ya kuwa product imeshakuwa designed, then unaweza kusema this particular type of apartments sitaweza kuiuza.

I am neither NEMC nor Building Permits Issuing Officer, kusema ukijenga hizo apartments nitakuja kukubomolea, wewe ukitaka jenga popote! Mimi nilichotoa ni angalizo (Na I am saying this confidently) kwamba investors wengi wanakurupuka na kujikuta wanajenga apartments mikoani wakifiri zitalipa kama Dar, kwa kuchukulia mikoani kuna shida ya nyumba, but experience inaonesha scale of preference iko kwenye standalone, na hata Dar (and I can bet) wengi wanaishi humo ni tenants, either foreigners au locals! Na huu ndio ulikuwa msingi wa hoja yangu, kwani mfano rahisi ni nyumba za NHC pale Medeli Dodoma, karibu na Bunge, it is as good as a white elephant project!

So ieleweke kwamba sijasema hazihitajiki, but je ni kila mkoa tukaweke apartment? Na si kamwe hazitajengwa, it will come a time kila sehemu zitakuwa zinalipa, but when? NOW?

Nimetoa maelezo marefu ambayo naamini kama uko tayari kujifunza huna sababu ya kushindwa kuelewa kwa sababu nimetumia lugha rahisi ya kawaida.

Tuendelee na mjadala, na sioni haja ya kunikashifu kwenye thread nyingine, maana hii bado ipo! Hizo ni dalili za kuishiwa
 
Sikio la kufa halisikii dawa. Mtu asiyekuwa tayari kujifunza hawezi kufundishika.
 
Wewe una matatizo gani? Umesema mimi nang'ang'ania hoja bila kutaka kuelimishwa! Umeleta hoja yako nikaichambua na kuku-challenge, baada ya kujibu humo kwenye queries unaruka viunzi! Wewe si mtaalamu, tuendelee, na ukishindwa omba msaada kama ambavyo ushaanza kutapatapa kwenye kila thread ni ExpertBroker!

Wewe ndio wa kunifundisha mie na hizo pumba zako?
 
Sasa soma kwa makini hapa ili uelewe ulipokosea
Ukiendelea kubisha, sitakushikia fimbo kwa sababu inawezekana tatizo lako liko kwenye genes na sio kosa lako, umerithi genes za ubishi.

Marketing inachokifanya ni kuangalia kwenye kundi kubwa la watu/jamii ni product/service gani wanahitaji, lakini marketing haiishii hapo, inaenda mbali zaidi na kuangalia kuna potential kiasi gani ya kuwafanya consumers waikubali product husika na kuipa thamani inayoendana na matakwa ya entrepreneur. Mtaalam wa marketing then anatengeneza strategy ya jinsi ya kuinfluence consumers of the product.

Mfano: wataalam wa marketing wamefanikiwa kufanya tabia ya kuvuta sigara ionekane kama sign of freedom and success, hii inasababisha vijana wengi kuvuta sigara not because they need it but because kuvuta sigara kwao inawapa feeling kwamba wamekuwa wakubwa na wanaweza kujiamulia mambo yao. Hivyohivyo kwa beer. Vijana wengi mmeanza kunywa bia chuo mainly because ndio mmeanza kuwa na some income and freedom. Unaposema "bia yangu inashuka taratibu" unataka kuonyesha kwamba kuwa na bia mezani kwako wewe ni sign ya kuwa uko fine. Hiyo haijatokea tu hivihivi, umekuwa influenced by marketing ya bia.
That is what marketing does.

Sales on the other hand iko limited. Mtu wa sales anatakiwa kuuza product ambayo tayari imeshatengenezwa. Mtu wa sales hawezi kubadilisha product characteristics, kwa sababu inakuwa imeshatengenezwa kutokana na ushauri wa mtaalam wa marketing. Mtu wa sales anachokifanya ni kudefine specific group of potential customers na kubuni mbinu ya kuwafanya wainunue product.

Kwa lugha unayoweza kuelewa kirahisi ni kwamba mtu wa marketing anawavuta kundi kubwa la watu towards the product halafu mtu wa sales anaipush hiyo product kwa wateja watakaokuwepo kwenye kundi hilo.

Kwahiyo hapa unaona kwamba mtu wa marketing anaivuta jamii yote halafu mtu wa sales sasa anachambua katika wale waliovutwa ni wepi wenye uwezo wa kuinunua product husika and then anatengeneza strategy ya kudeal nao one-on-one.

Kwa mfano, watu wa marketing wametufanya watu tuipende na kuithamini Mercedes Benz, wamefanya kazi hiyo kwa uhodari sana kwa kweli, as a result watu wengi duniani wanapenda Mercedes. Mtu wa sales wa Mercedes though hawezi kutarget watu wote duniani. Hawezi kutarget kuwauzia Mercedes waalimu wa shule za kata. Atawatarget mabalozi, ma CEO,mawaziri, wafanyabiashara wakubwa na wengine anaoona wanaweza kuinunua Mercedes Benz.

Tambua kwamba marketing na sales vyote lengo lake ni kuongeza revenue lakini sales ndio ultimate goal of marketing.

Turudi kwenye mfano wa apartments. Mtu wa marketing anapaswa kuingia field na kusoma mahitaji ya watu na kubuni marketing strategy ya kuwafanya wawe tayari kununua apartments.
Akushafanya hivyo successfully entrepreneur anajenga apartments na kukupa wewe mtu wa sales uziuze.
Kama ulivyokiri mwenyewe kuwa marketing huna utaalam nayo, basi tambua kuwa huna authority ya kusema kuwa product/apartments hazihitajiki.
Wewe nafasi yako inakuja baada ya kuwa product imeshakuwa designed, then unaweza kusema this particular type of apartments sitaweza kuiuza.

Taarifa yako hiyo itakuwa valid kwa aina hiyo ya apartment in that location na si kwa apartments zote mkoa mzima, kwa sababu kwenye real estate nyumba hiyo hiyo ikiwa just 1 km away mahitaji yake yanaweza kubadilika largely. Nyumba ambayo unapata shida kuiuza kwa bei fulani msasani ukivuka bonde tu na kuikuta nyumba inayofanana na hiyohiyo Oysterbay unaweza kuiuza kwa bei kubwa mara tatu zaidi. Kwahiyo ukishindwa kuuza nyumba msasani usiseme kwamba nyumba za namna hiyo Dar es Salaam hazihitajiki!

Vilevile sales ni kipaji kama zilivyo fani nyingine. Product utakayoshindwa kuiuza wewe, usishangae mwenzako akaiuza kwa mafanikio makubwa. Kwahiyo thread yako ungeibadilisha, badala ya kusema apartments hazihitajiki ungesema, "siwezi kuuza apartments kila mkoa". Hapo tusingekushangaa kwa sababu tungejua umeamua kujikita maeneo fulani.

Nimetoa maelezo marefu ambayo naamini kama uko tayari kujifunza huna sababu ya kushindwa kuelewa kwa sababu nimetumia lugha rahisi ya kawaida.

Nakusubiri unijibu hoja zangu tuendelee na mjadala, au unatafuta kashfa na matusi?
 
Back
Top Bottom